Maisha yangu yaliharibika kwasababu ya yule

Maisha yangu yaliharibika kwasababu ya yule

Wezi wauza ngada na matapeli wote maisha yenu yaliharibika wakati wa utawala wa Magufuli,hilo liko wazi kabisa
Siyo kweli, jamaa aliua kila kitu na kuharibu nchi, pata picha kama Mungu asingesikia kilio cha Watanzania
 
Nilikuwa na kipato Cha kawaida, Ila yule akaharibu kabisa mipango ya maisha yangu.

Kwa vile nipo hai naendelea kupambana
Kama kipato chako kilikuwa halali atakuharibiaje? Wengi waliokuwa kwenye kipato cha kusambaza ngada lazima mlalamike. Hata ningekuwa ningeharibu kabisa hicho kipato chako.
Kwa taarifa yako, baada ya huyu tunapata mwingine serious kama yule, kwa hiyo pambana kihalali.
 
Hivi wote hamkustahili kuharibiwa iliyokuwa mipango yenu ya maisha na bwana YULE au wapo ambao bwana YULE alifanya vyema kuharibu mipango yenu?
 
Back
Top Bottom