MUWHWELA
Senior Member
- Oct 26, 2013
- 167
- 238
Nikusalimu Ndugu!!
Kwa kuwa tumepewa UHAI basi wajibu wetu ni kuhakiki wajibu unatimizwa wa Kila mmoja wetu akiwa na huu Mwili, usijipe woga Wala USIOGOPE Kuwa na wazo mbadala.
Maisha ya hapa ulimwenguni yameanza KUKOSA maana Lakini ifikapo 2045 takriban miaka 20 ijayo maisha ya mwanadamu YATAKOSA maana kabisa.
1-Ngono kwa lengo lile kuu la uzazi na kuleta uzao, litakuwa limepoteza maana au halina maana kabisa. Why?
Leo Kuna technology ya IVF na nyingine nyingi ambazo zimeleta mbadala wa kupata uzao, mwanamke anaweza kupata mtoto maabara wa jinsi na RANGI anayotaka yeye, hapa kwetu tumefanya na uzinduzi wake kabisa, ni jambo jema. Lakini kwa future ya utu wa MTU kwa Asili yake inaenda kupotea .
Tumeruhusu wanaume wawili nao wawe na watoto wa maabara as if ni jambo jema, huu ni mwelekeo wa kuangamiza kizazi chenye Asili ya uumbaji, as nature laws speak.
Tuendako MTU akichoka kubembelezana na MTU mwenye HISIA ataenda kujipatia MTU mwenye akili bandia ambaye kwa maana ya uwezo wa akili atakuwa amemzidi mwanadamu huko ndiko tuendako. ...hapafurahishi hata kidogo.
2: ELIMU (education system) "Ukiwa mjinga hutapona ujinga wako kwa kuonewa huruma Bali kuelewa na kutambua vitu vinafanyikaje"
20yrs to come kwa Elimu hii inayotolewa na mifumo yetu itakuwa useless kwa zaidi ya 50%. Speed ya KUKUA kwa technology kunawatisha hata nchi tajiri Duniani. Je sisi tumeianza safari ya 2045?
Nafahamu ni ngumu kubadilisha mifumo kwa haraka,Lakini ni rahisi sana kubadilisha mifumo hasa unaoumiliki ambao ni familia yako. Change from there our future scare. Ruhuusu mtoto akili yake ifanye kazi, taaluma imeletwa Bali akili amekuja Nayo mwenyewe as gift.
Yapo mengi..tuanzie hapa