Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili mnemba huwa ailewiAkili Mnemba (IA)... Hii ndiyo inaniogopesha sana....
Yaani mambo ni vululuvululu......
Bwana Musk nasikia ameshaomba kibali TCRA ku operate starlink kwa Tanzania Mainland, ingawa nasikia nape aliipiga chini kulinda wawekezaji kina Voda na wenzake 😁. Na ukizingatia ni internet ambayo hata vijijini pasipo na miundombinu mizuri ina perform tu20yrs to come ya huko ughaibuni labda kidogo na mijini ila sio Tz nzima, maeneo mengi hayataathirika.
Teknolojia ya simu janja imefika muda mrefu sana lakini kuna maeneo huwezi itumia ipasavyo kwa shida kubwa ya mtandao.
Tech ili ikuathiri inabidi ujue kuitumia, kama hujui kama kipo hakiwezi kukudhuru.