20yrs to come ya huko ughaibuni labda kidogo na mijini ila sio Tz nzima, maeneo mengi hayataathirika.
Teknolojia ya simu janja imefika muda mrefu sana lakini kuna maeneo huwezi itumia ipasavyo kwa shida kubwa ya mtandao.
Tech ili ikuathiri inabidi ujue kuitumia, kama hujui kama kipo hakiwezi kukudhuru.