Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Status
Not open for further replies.
Ni wakristo ndio mnasema kalaniwa sio waislam hahaha, hakuna muislam anaweza kusema Yesu kalaniwa labda awe kichaa. Bibilia ndio inasema mtu aliye tundikwa kwenye mti/amsalabani amelaniwa.

Huyu hapa chini ni Mkristo sio?
 
You are the one who is scared of us.
Q6:77 SURAT AL - AN-A'AM
Alipo uona mwezi unachomoza alisema: Huyu ndiye Mola Mlezi wangu. Ulipotua asema:Kama Mola Mlezi wangu hakuniongoa, nitakuwa katika kaumu walio potea.

Nenda kaombe Mwezi.


Ha ha ha ha nakumbuka Sana enzi ya @schiendler
 
Huyu hapa chini ni Mkristo sio?
Huyo ni Muislam hawezi kuwa mkristo, sa we huoni katoa wapi andiko si kwenu wakristo au unajifanya huoni.
We ni ama mwendawazi au wendawazimu unakukaribia. Laana ya kumita Yesu Mungu inakuandama.
 

Yaani Allah anasema He is Allah. HUU NI MSIBA

Aiseee
 
Ha ha ha ha nakumbuka Sana enzi ya @schiendler

I see,

Kumbukumbu na Bukhari katika al-Adab ul-Mufrad (namba 493), kuthibitishwa halisina al-Albani "Usitarajiemazuri, kwa sababu Allah ndiye huwapa magonjwa waumini wake kama kafara (kwa ajili ya dhambi yake) ili kumpumzisha, na kwa Makafiri ni kama ugonjwa ni kama Ngamia aliye fungwa na Bwana wake, humuachia huru pale anapotaka, ni hawezi kuelewa ni kwa nini alikuwa amefungwa,wala kwa nini ni huru. "

Pole sana.
 
Since when Biblia ni kitabu cha Mungu kwako?
Si kwangu kwa wakristo, siwezi kufata kitabu cha Mungu zaidi ya Qur'an, sema tunapitia pitia kuna sehemu bado hamjazifuta kwenye Injili na Taourat mlizo copy hamkuzibadilisha tunawanasa pale. Kumbe mmelaniwa nyie kutokana na Bibilia yenu si mnavaa misalaba. Mnautukuza ule mti aliyo sulubiwa Yesu au hahaha.
 

Mkuu mbona unanipa pole?
 
Tumekopi kutoka kwenye Injili na Taurati ipi?
 
Huyo ni Muislam hawezi kuwa mkristo, sa we huoni katoa wapi andiko si kwenu wakristo au unajifanya huoni.
We ni ama mwendawazi au wendawazimu unakukaribia. Laana ya kumita Yesu Mungu inakuandama.

Hujaona kama amesema Yesu amelaaniwa?

Mimi nimesema wapi Yesu amelaaniwa?

Yesu ni Mungu wangu,nitasemaje huo uchafu?
 
Dogo hii aibu sijui mtaificha wapi...mnalana nyie na Paulo wenu.

Wagalatia 3:13 inasema: Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa ALIFANYWA LAANA kwa ajili yetu; maana imeandikwa, AMELAANIWA KILA MTU AANGIKWAYE JUU YA MTI.

Na Kumbukumbu 21:22 nayo inasema: Ikiwa mtu ametenda dhambi ipasayo kufa, akauawa, nawe ukamtundika juu ya mti; mzoga wake usikae usiku kucha juu ya mti; lazima utamzika siku iyo hiyo; kwani aliyetundikwa AMELAANIWA NA MUNGU; usije ukatia unajisi katika nchi yako.
 
Yaani Allah anasema He is Allah. HUU NI MSIBA

Aiseee

Hahahaaaaa ..

Hao jamaa hawajui kama wameingizwa chaka

Hivi inawezekanane Adiosamigo akiwa anasema yeye ni mwanaume aseme "Yeye Adiosamigo ni mwanaume"?

Hiyo kauli atakuwa ameitoa yeye au ni mtu mwingine anamsemea?

Hawa jama wana msiba mkubwa sana mkuu!
 
Last edited by a moderator:
You are the one who is scared of us.
Q6:77 SURAT AL - AN-A'AM
Alipo uona mwezi unachomoza alisema: Huyu ndiye Mola Mlezi wangu. Ulipotua asema:Kama Mola Mlezi wangu hakuniongoa, nitakuwa katika kaumu walio potea.

Nenda kaombe Mwezi.
Dogo wewe huwezi kuikosoa Qur'an watu wameihifadhi kwa kichwa, moyo na yakini. Hatuendi kuimbishwa kwaya sisi kama nyie. FYI hio point ni Prophet Ibrahim alipo ona mwezi siku ya kwanza akasema vile. Sio Mungu we ngojea tu ukisha kufa utakiona kama Yesu atakuokoa.
 
Dogo tatizo Mungu wenu analana sa nyie mtakuwa wazima? Ajabu ipi nikisema mimi Adiosamigo ni mwanaume? Sijui aibu hii mtaificha wapi Mungu wenu ana laana??

Wagalatia 3:13 inasema: Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa ALIFANYWA LAANA kwa ajili yetu; maana imeandikwa, AMELAANIWA KILA MTU AANGIKWAYE JUU YA MTI.

Na Kumbukumbu 21:22 nayo inasema: Ikiwa mtu ametenda dhambi ipasayo kufa, akauawa, nawe ukamtundika juu ya mti; mzoga wake usikae usiku kucha juu ya mti; lazima utamzika siku iyo hiyo; kwani aliyetundikwa AMELAANIWA NA MUNGU; usije ukatia unajisi katika nchi yako …
 

Ni kweli Yesu alifanywa laana kwaajili yangu na wala hilo sio siri ....

Sasa nikuulize unapotoa taarifa ya tukio ambalo umelifanya wewe utasema "alifanya" au "nilifanya"?
 
Hivi umeelewa nilichokuandikia kweli wewe?

A a!
Usichopoe Eiyer, nimekuelewa vizuri sana.

Unachojaribu kufanya hapa ni kupindisha ukweli, na kufanya hivyo ni kosa kiblia Mungu anasema utakwenda motoni. Timoteo wa pili, 3: 7.

Naomba utoe maana ya sinagogi kama ilivyotafsiriwa nyuma ya bible unayoiamini. Acha bla bla! Hekalu na msikiti wapi na wapi?

Ukishindwa kujibu hapo, naomba unitajie msikiti mmoja tu ambao unatumika kinyume na Uislamu.

Usikimbie hoja.
Nakukumbusha tena:
rudia Luka 4: 16.
 
Unajicontradict sana wewe

Huku unasema Yesu amelaaniwa na kumfuata ni kwenda motoni
Kule unasema Yesu ni Muislam na kila leo mnadai mnamkubali na kufuata mafundisho yake

Nikueleweje wewe?

Eiyer sijajikontradict popote.

Ni bible ndio imesema Yesu kalaaniwa. Rudia Kumbukumbu la taurati, 21:22.

Mimi nilikwambia toka mwanzo wa mjadala huu kwamba bible imechakachuliwa.

Nimenukuu hiko kifungu kwa imani yako.

Mimi nipo na msimo wangu uliomo ktk Quran kwamba hakuuliwa wala hakusulubiwa.

Na nimekuahidi nitakuekea mpango mzima wa uchakachuzi ulivyotendeka ktk bible.

Kwahiyo sasa naomba unijibu maswali niliyokuuliza, ambo ndiyo haya apa chini:

Maswali yapo.
Yesu si Mungu.
Nyakati wa pili, 6: 18,
Yohana 8: 40,
Na Matayo 38: 40.
Ukimtegemea Yesu badala
ya Mungu motoni,
Kwani yesu amelaaniwa.
Kumbu la Taurati 21: 22.
Akiwa mtu ametenda
dhambi, ipasayokufa,
akauwawa na
wakamtundika juu ya mti,
mzoga wake usilale usiku
kucha juu ya mti, lazima
utamzika siku hiyo hiyo,
KWANI, ALIYETUNDIKWA
AMELAANIWA NA
MUNGU.
Nakuuli maswali.
Nini maana ya laana?
Alielaaniwa atakwenda
wapi? (mbinguni au
motoni?)
Na jee anayemfata
alielaaniwa naye
atakwenda wapi?
Umesema Yesu ni
mwokozi wako. Kivipi?
Sasa hivi Yesu hayupo. Jee
unapataje uokovu?
Na kwa vile Yesu anakataa
kwamba sio Mungu kama
nilivyokuekea vifungu.
Nawe umepinga na
umeniwekea vifungu
kutoka ktk bible hiyo hiyo.
SWALI:
Jee unaamini bible yote au
unaamini baadhi na
zilizobaki huziamini? (Swali
hilo ulijibu)
Kumbuka na
kuambatanisha na aya za
bible ktk majibu yako.
Usijaribu kumzulia Yesu
wala Mungu.
 
Ibrahim alikuwa prophet wa Ummah upi? Acheni Maskhara bana. Kumbe Mungu wa Ibrayim katika Kuran alikuwa Mwezi.

Surah An Nisaai 21. Na mtachukuaje na ilhali mmekwisha ingiliana nyinyi kwa nyinyi, na wao wanawake wamechukua kwenu ahadi iliyo madhubuti?

Haya pinga kama huu sio Uliberia mnao uficha kwenye Kuruwani.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…