Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
God ni God, sa anaitwa nani.
Nimekuuliza God ni jina?
Jibu ni ndio au sio,mbona ngonjera nyiiiiiingi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
God ni God, sa anaitwa nani.
Ni wakristo ndio mnasema kalaniwa sio waislam hahaha, hakuna muislam anaweza kusema Yesu kalaniwa labda awe kichaa. Bibilia ndio inasema mtu aliye tundikwa kwenye mti/amsalabani amelaniwa.
Maswali yapo.
Yesu si Mungu.
Nyakati wa pili, 6: 18,
Yohana 8: 40,
Na Matayo 38: 40.
Ukimtegemea Yesu badala ya Mungu motoni,
Kwani yesu amelaaniwa.
Kumbu la Taurati 21: 22.
Akiwa mtu ametenda dhambi, ipasayokufa, akauwawa na wakamtundika juu ya mti, mzoga wake usilale usiku kucha juu ya mti, lazima utamzika siku hiyo hiyo, KWANI, ALIYETUNDIKWA AMELAANIWA NA MUNGU.
Nakuuli maswali.
Nini maana ya laana?
Alielaaniwa atakwenda wapi? (mbinguni au motoni?)
Na jee anayemfata alielaaniwa naye atakwenda wapi?
Umesema Yesu ni mwokozi wako. Kivipi?
Sasa hivi Yesu hayupo. Jee unapataje uokovu?
Na kwa vile Yesu anakataa kwamba sio Mungu kama nilivyokuekea vifungu. Nawe umepinga na umeniwekea vifungu kutoka ktk bible hiyo hiyo.
SWALI:
Jee unaamini bible yote au unaamini baadhi na zilizobaki huziamini? (Swali hilo ulijibu)
Kumbuka na kuambatanisha na aya za bible ktk majibu yako. Usijaribu kumzulia Yesu wala Mungu.
Naam ndio God ni Jina la Mungu.Nimekuuliza God ni jina?
Jibu ni ndio au sio,mbona ngonjera nyiiiiiingi?
You are the one who is scared of us.
Q6:77 SURAT AL - AN-A'AM
Alipo uona mwezi unachomoza alisema: Huyu ndiye Mola Mlezi wangu. Ulipotua asema:Kama Mola Mlezi wangu hakuniongoa, nitakuwa katika kaumu walio potea.
Nenda kaombe Mwezi.
Huyo ni Muislam hawezi kuwa mkristo, sa we huoni katoa wapi andiko si kwenu wakristo au unajifanya huoni.Huyu hapa chini ni Mkristo sio?
Umeisha ambiwa Mungu hakuna binadamu anamuona anatuma ujumbe kwa kutumia Jabriil/Jabreel. We kama huna cha kuliza bora kalale tu Tazama .Surat Al-Ĥashr (The Exile) - سورة الحشر![]()
![]()
![]()
This is a portion of the entire surah. View more context, or the entire surah.
59:22to top
Sahih International
He is Allah , other than whom there is no deity, Knower of the unseen and the witnessed. He is the Entirely Merciful, the Especially Merciful.
59:23to top
Sahih International
He is Allah , other than whom there is no deity, the Sovereign, the Pure, the Perfection, the Bestower of Faith, the Overseer, the Exalted in Might, the Compeller, the Superior. Exalted is Allah above whatever they associate with Him.
59:24to top
Sahih International
He is Allah , the Creator, the Inventor, the Fashioner; to Him belong the best names. Whatever is in the heavens and earth is exalting Him. And He is the Exalted in Might, the Wise.
Tafsiri ingine hio kutoka kwenye Qur'an; He is God; there is no god but He, He is the Knower of the unseen and the visible; He is the All-Merciful, the All-Compassionate. He is God, there is no God but He. He is the King, the All-Holy, the All-Peace, the Guardian of Faith, the All-Preserver, the All-Mighty, the All-Compeller, the All-Sublime. Glory be to God, above that they associate! He is God the Creator, the Maker, the Shaper. To Him belong the Names Most Beautiful. All that is in the heavens and the earth magnifies Him; He is the All-Mighty, the All-Wise." (59:22-24)
Ha ha ha ha nakumbuka Sana enzi ya @schiendler
Si kwangu kwa wakristo, siwezi kufata kitabu cha Mungu zaidi ya Qur'an, sema tunapitia pitia kuna sehemu bado hamjazifuta kwenye Injili na Taourat mlizo copy hamkuzibadilisha tunawanasa pale. Kumbe mmelaniwa nyie kutokana na Bibilia yenu si mnavaa misalaba. Mnautukuza ule mti aliyo sulubiwa Yesu au hahaha.Since when Biblia ni kitabu cha Mungu kwako?
Naam ndio God ni Jina la Mungu.
I see,
Kumbukumbu na Bukhari katika al-Adab ul-Mufrad (namba 493), kuthibitishwa halisina al-Albani "Usitarajiemazuri, kwa sababu Allah ndiye huwapa magonjwa waumini wake kama kafara (kwa ajili ya dhambi yake) ili kumpumzisha, na kwa Makafiri ni kama ugonjwa ni kama Ngamia aliye fungwa na Bwana wake, humuachia huru pale anapotaka, ni hawezi kuelewa ni kwa nini alikuwa amefungwa,wala kwa nini ni huru. "
Pole sana.
Tumekopi kutoka kwenye Injili na Taurati ipi?Si kwangu kwa wakristo, siwezi kufata kitabu cha Mungu zaidi ya Qur'an, sema tunapitia pitia kuna sehemu bado hamjazifuta kwenye Injili na Taourat mlizo copy hamkuzibadilisha tunawanasa pale. Kumbe mmelaniwa nyie kutokana na Bibilia yenu si mnavaa misalaba. Mnautukuza ule mti aliyo sulubiwa Yesu au hahaha.
Huyo ni Muislam hawezi kuwa mkristo, sa we huoni katoa wapi andiko si kwenu wakristo au unajifanya huoni.
We ni ama mwendawazi au wendawazimu unakukaribia. Laana ya kumita Yesu Mungu inakuandama.
Dogo hii aibu sijui mtaificha wapi...mnalana nyie na Paulo wenu.I see,
Kumbukumbu na Bukhari katika al-Adab ul-Mufrad (namba 493), kuthibitishwa halisina al-Albani "Usitarajiemazuri, kwa sababu Allah ndiye huwapa magonjwa waumini wake kama kafara (kwa ajili ya dhambi yake) ili kumpumzisha, na kwa Makafiri ni kama ugonjwa ni kama Ngamia aliye fungwa na Bwana wake, humuachia huru pale anapotaka, ni hawezi kuelewa ni kwa nini alikuwa amefungwa,wala kwa nini ni huru. "
Pole sana.
Yaani Allah anasema He is Allah. HUU NI MSIBA
Aiseee
Dogo wewe huwezi kuikosoa Qur'an watu wameihifadhi kwa kichwa, moyo na yakini. Hatuendi kuimbishwa kwaya sisi kama nyie. FYI hio point ni Prophet Ibrahim alipo ona mwezi siku ya kwanza akasema vile. Sio Mungu we ngojea tu ukisha kufa utakiona kama Yesu atakuokoa.You are the one who is scared of us.
Q6:77 SURAT AL - AN-A'AM
Alipo uona mwezi unachomoza alisema: Huyu ndiye Mola Mlezi wangu. Ulipotua asema:Kama Mola Mlezi wangu hakuniongoa, nitakuwa katika kaumu walio potea.
Nenda kaombe Mwezi.
Dogo tatizo Mungu wenu analana sa nyie mtakuwa wazima? Ajabu ipi nikisema mimi Adiosamigo ni mwanaume? Sijui aibu hii mtaificha wapi Mungu wenu ana laana??Hahahaaaaa ..
Hao jamaa hawajui kama wameingizwa chaka
Hivi inawezekanane Adiosamigo akiwa anasema yeye ni mwanaume aseme "Yeye Adiosamigo ni mwanaume"?
Hiyo kauli atakuwa ameitoa yeye au ni mtu mwingine anamsemea?
Hawa jama wana msiba mkubwa sana mkuu!
Dogo tatizo Mungu wenu analana sa nyie mtakuwa wazima? Ajabu ipi nikisema mimi Adiosamigo ni mwanaume? Sijui aibu hii mtaificha wapi Mungu wenu ana laana??
Wagalatia 3:13 inasema: Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa ALIFANYWA LAANA kwa ajili yetu; maana imeandikwa, AMELAANIWA KILA MTU AANGIKWAYE JUU YA MTI.
Na Kumbukumbu 21:22 nayo inasema: Ikiwa mtu ametenda dhambi ipasayo kufa, akauawa, nawe ukamtundika juu ya mti; mzoga wake usikae usiku kucha juu ya mti; lazima utamzika siku iyo hiyo; kwani aliyetundikwa AMELAANIWA NA MUNGU; usije ukatia unajisi katika nchi yako …
Hivi umeelewa nilichokuandikia kweli wewe?
Unajicontradict sana wewe
Huku unasema Yesu amelaaniwa na kumfuata ni kwenda motoni
Kule unasema Yesu ni Muislam na kila leo mnadai mnamkubali na kufuata mafundisho yake
Nikueleweje wewe?
Ibrahim alikuwa prophet wa Ummah upi? Acheni Maskhara bana. Kumbe Mungu wa Ibrayim katika Kuran alikuwa Mwezi.Dogo wewe huwezi kuikosoa Qur'an watu wameihifadhi kwa kichwa, moyo na yakini. Hatuendi kuimbishwa kwaya sisi kama nyie. FYI hio point ni Prophet Ibrahim alipo ona mwezi siku ya kwanza akasema vile. Sio Mungu we ngojea tu ukisha kufa utakiona kama Yesu atakuokoa.