Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Status
Not open for further replies.
You like to make assumptions a lot. You guys worship stone and moon god.
The Black Stone, is NOT mentioned in the Qur'an. The Black Stone is located about five feet from the ground on the East corner of the Kaaba (this corner is known as "al-rukn al-Aswad"). While there are traditions about kissing or touching the Stone, its real significance is as marker of the point at which one starts the Tawaaf (circumambulation of the Kaaba as part of hajj or omra.) Even the traditions which talk about kissing or touching the stone are VERY CLEAR that the Stone is just a stone.

Omar bin Al Khatab, Amir Al Muuminin came near the Black Stone and kissed it and said "NO DOUBT, I KNOW THAT YOU ARE A STONE AND CAN NEITHER BENEFIT ANYONE NOR HARM ANYONE. Had I not seen Allah's Apostle kissing you I would not have kissed you."
The Black Stone has had an interesting history during the Islamic period. In 930 AD a ruler of Bahrain - who belonged to a branch of Ismailism known as the Karmatians - sacked Makkah and carried the Black Stone away for some 70 years until it was ransomed.
In the process, the Black Stone was cracked. It is now held together by a silver band. The fact that Islam was able to function without the Black Stone for 70 years is one of the best illustrations that it is but a marker for Tawaaf - and NOT an object of worship. Prophet Muhammad, peace be upon him, claimed that the stone was sent down by Allah Almighty to Prophet Ibrahim (Abraham) and his son Ismail (Ishmael), peace be upon both of them, to give the precise location of where the Kaaba was to be built by them. We believe that Prophets Abraham and Ishmael built the Kaaba. Western Scientists have confirmed that the black stone, which resides near the Kaaba in the Holy City of Makkah Al Mukarama, is an outside METEORITE OBJECT! and BTW Prophet Muhammad forbade us from worshiping any stone. Christians regularly to justify their idolatrous practices, such as prayers to Mary, by claiming that Muslims "worship" the Black Stone at the Kaaba in Makkah.
 
Hizo ndoa ni HARAM
Hivi na kula kitu bila kuchinja au kimekufa siku hizi mmewacha au bado? Kumbe Yesu aliwafundishe mle nyamafu? Dini yenu ni ushetani mtupu. Nakumbuka zamani dingi akifa kuku au mbuzi anasema mpelekeni John pale atamla tu. Tukawa tunamuliza dingi vipi atakula kitu kimekufa akasema hao wakristo wanakula kitu kikifa ni halali kwao.
 
Unaponiona nakaa kimya wakati mwingine usidhani labda uneongea kitu cha maana sana,hoja ambazo Mkuu wa chuo amekupa ni nzito sana kwako na hujaweza kuzijibu na hii inaonekana reasoning yako ni ndogo sana,sina haja ya kukuongezea maswali wakati hayo ya mkuu wa chuo yamekushinda

Hakuna chochote ulichothibitisha hapo zaidi ya kuthibitisha vile usivyojua mambo,nakushauri uache kabisa haya nasuala kwakuwa huyajui kabisa

Jibu maswali ya Ntuzu basi angalau nikuone unajitahidi hata kidogo!
 
Last edited by a moderator:
Ni kazi sana mkuu, kuna siku nilikuwa najadiliana na huyo mwenzake Adiosamigo kule International Forum, anadai eti Yesu akirudi atafikia Uarabuni yaani eti atakuwa Mwarabu akatumia ili andiko hapa chini

Mathayo 24:27 Kwa maana kama vile umeme utokavyo mashariki ukaonekana hata magharibi, hivyo ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.

akadai Mashariki ni uarabuni, eti hapo Yesu anadai atakuja uarabuni, baada ya kumbana ananipeleka kitabu cha Mwanzo analeta vitu vya ajabu, baadae anaanza kuniletea ma copy and paste, kumbana zaidi na ma copy yake aliyoyaleta haelewi zaidi... akashindwa kuelewa kabisa... mchezo ukaishia hapo...

kwa hiyo hawa ndugu wana tatizo la kuelewa maandiko...
 



Mkuu Eiyer wakati mwingine hizi mada mimi huzipa kisogo kwasababu hakuna la maana kutoka upande wa wenzetu...!

Hebu tizama hii aya:

Quran 87:18 au Surat Al-A'la

"Hakika hayo mnayoambiwa humu (ndani ya Quran) yamo ktk vitabu vilivyotangulia. Vitabu vya Ibrahimu, Musa, Isa na MANABII WENGINE"

Mkuu Eiyer zingatia hapo kwenye herufu kubwa:

Kulikua na haja gani kwa Mashaxizo kutuletea hoja kwa biblia alipewa nani na kwamba Torati alipewa Musa, Zaburi Dawdi, Injili Isa na Quran Muhammad wakati quran inatambua kua kuna manabii wengine walipewa vitabu kwa mujibu wa hiyo aya?

Na pia hiyo aya inathibitisha kua yale yaliyomo ktk quran ndio yaliyimo ktk biblia ingawa mimi binafsi sikubaliani kwamba yaliyomo yote kwenye biblia ni sawa na yaliyomo yote ktk quran. Hilo sukubali ingawa quran inadai hivyo.


Alafu kwa kumuongezea tu huyo Mashaxizo quran inatambua uwepo wa manabii na mitume laki moja na 25 lkn walioandikwa ni 24 tu. Je ktk hawa ambao hawajaandikwa hawamo kina Paul, Mathayo, yohana na Luka? Hii ni km chagizo maana wasivyompenda Paul..... ni hatari.
 
Last edited by a moderator:
Wenyewe wanadai imeshushwa...



Imeshushwa wapi wakati kuna aya kibao ndani ya quran zikiwaagiza kurudi kusoma biblia km hawaelewi?? Hizo aya zinakipa udhaifu mkubwa sn hicho kitabu ktk kuelekeza rejea zifatwe kwenye biblia. Hicho kitu cha kuelekeza rejea ktk kitabu chochote kile huwezi kuta biblia inasema hivyo...ata aya moja hakuna....!
 



Kikubwa mkuu ni kuwambo kujadili taratibu na kwa facts na lugha nzuri. Yani mkishaweka hayo makubaliano lazima waishiwe hoja. Lkn km mtajadili kwa mfumo ule wa hovyo watakushinda tu mkuu.

Ngoja tumsubiri Mashaxizo aje atupe majibu au huyu mwenzake Adiosamigo amsaidie....!
 
Last edited by a moderator:
Nimekusoma mkuu na ninaendelea kukusoma huku nilipo umeme unazingua ila naendelea kukusoma kwenye mobile...
 
Nimekusoma mkuu na ninaendelea kukusoma huku nilipo umeme unazingua ila naendelea kukusoma kwenye mobile...



Yaah umeme ni shida....! Hii nchi bhana....!

Pamoja mkuu, ngoja tusubiri majibu kutoka upande wao. Maana km hoja umezitoa nyingi sn hapo nyuma tena umefanya kz kubwa sn. Kwahiyo tusubiri na wao watoe majibu kwa yale tuliyowauliza....!
 
Ni bora kidogo huyu Mashaxizo, huyo mwingine anajadili kilevi unaweza ukaletewa li copy limoja hata alipolitolea hapaeleweki na haelewi ameleta kitu gani halafu anataka we ndio uchambue...

anataka kufanana na Elungata sema Elungata yeye akiishiwa anaanza kashifa na kutukana...
 
Last edited by a moderator:
Yaah umeme ni shida....! Hii nchi bhana....!

Pamoja mkuu, ngoja tusubiri majibu kutoka upande wao. Maana km hoja umezitoa nyingi sn hapo nyuma tena umefanya kz kubwa sn. Kwahiyo tusubiri na wao watoe majibu kwa yale tuliyowauliza....!
Okay pamoja sana mkuu...
 

Nimekwambia aya hiyo hakuna.
Acha unafiki basi.

nimewathitishia bible imechakachuliwa.
sijui unachokipinga ni nini!!!!!!
 
Baada uombe uelekezwe we unaleta mzaha, lakini hata hivyo mmeonywa hapa

Qurani 6:156 Msije mkasema: Hakika mataifa mawili kabla yetu yameteremshiwa Kitabu; na sisi tulikuwa hatuna khabari ya waliyo kuwa wakiyasoma.

Mkuu hujanijibu kwa wewe ni mchungaji au ni kondoo!!!

niambie tu mkuu.
 

Hahahahaaa.

Ivi ntuzu ni kweli hujaangalia nyuma ya bible yako na kujionea sinagogi ni nini?
 
Last edited by a moderator:

Huna kitu Eiyer, wewe unafata tu mkumbo.

Kiaje mtoto wa kiume huwezi kusimama mwenyewe?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…