Ishmael
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 15,039
- 6,017
Jesus is not "god" but "God". Be informed accordingly.Jesus is called god in the Bible? Yes, and so are Satan, Mosses, the spiritual leaders of Israel, and pagan deities:A S wink:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jesus is not "god" but "God". Be informed accordingly.Jesus is called god in the Bible? Yes, and so are Satan, Mosses, the spiritual leaders of Israel, and pagan deities:A S wink:
You like to make assumptions a lot. You guys worship stone and moon god.
![]()
Hizo ndoa ni HARAMMkuu kile Kikao cha Rome kimeishiaje. .. mnatambua ndoa zao sasa. ?
The Black Stone, is NOT mentioned in the Qur'an. The Black Stone is located about five feet from the ground on the East corner of the Kaaba (this corner is known as "al-rukn al-Aswad"). While there are traditions about kissing or touching the Stone, its real significance is as marker of the point at which one starts the Tawaaf (circumambulation of the Kaaba as part of hajj or omra.) Even the traditions which talk about kissing or touching the stone are VERY CLEAR that the Stone is just a stone.You like to make assumptions a lot. You guys worship stone and moon god.
![]()
The Bible never records Jesus saying the precise words, I am God'Jesus is not "god" but "God". Be informed accordingly.
Hivi na kula kitu bila kuchinja au kimekufa siku hizi mmewacha au bado? Kumbe Yesu aliwafundishe mle nyamafu? Dini yenu ni ushetani mtupu. Nakumbuka zamani dingi akifa kuku au mbuzi anasema mpelekeni John pale atamla tu. Tukawa tunamuliza dingi vipi atakula kitu kimekufa akasema hao wakristo wanakula kitu kikifa ni halali kwao.Hizo ndoa ni HARAM
Unaponiona nakaa kimya wakati mwingine usidhani labda uneongea kitu cha maana sana,hoja ambazo Mkuu wa chuo amekupa ni nzito sana kwako na hujaweza kuzijibu na hii inaonekana reasoning yako ni ndogo sana,sina haja ya kukuongezea maswali wakati hayo ya mkuu wa chuo yamekushindaEiyer huna kitu.
leta izo hoja zako kwa nilichokithibitisha hapo.
tena imekuwa njema ulisema wewe si mkiristo kwasababu umezaliwa na wakiristo. kumbe uzshi mtupu.
sasa hapo nimekuthibitishia kwamba wewe ndie umeingia chaka.
ukifa kafiri utakwenda motoni.
bado hujachelewa. hata leo waweza kuata mila na desturi za Yesu kwenda kuabudu kwenye sinagogi.
Mashaxizo ni sahihi kutumia ushahidi wa andiko hili kuthibitisha mapungufu ya qur-an?
Qur-an 15:91 au Surat Al-Hijr
"Ambao wameifanya Qur-an kua mkusanyiko wa UONGO alioukusanya nabii Muhammad akadai kua ni maneno ya Mwenyezi Mungu"
Ni kazi sana mkuu, kuna siku nilikuwa najadiliana na huyo mwenzake Adiosamigo kule International Forum, anadai eti Yesu akirudi atafikia Uarabuni yaani eti atakuwa Mwarabu akatumia ili andiko hapa chiniUnaponiona nakaa kimya wakati mwingine usidhani labda uneongea kitu cha maana sana,hoja ambazo Mkuu wa chuo amekupa ni nzito sana kwako na hujaweza kuzijibu na hii inaonekana reasoning yako ni ndogo sana,sina haja ya kukuongezea maswali wakati hayo ya mkuu wa chuo yamekushinda
Hakuna chochote ulichothibitisha hapo zaidi ya kuthibitisha vile usivyojua mambo,nakushauri uache kabisa haya nasuala kwakuwa huyajui kabisa
Jibu maswali ya Ntuzu basi angalau nikuone unajitahidi hata kidogo!
Unaponiona nakaa kimya wakati mwingine usidhani labda uneongea kitu cha maana sana,hoja ambazo Mkuu wa chuo amekupa ni nzito sana kwako na hujaweza kuzijibu na hii inaonekana reasoning yako ni ndogo sana,sina haja ya kukuongezea maswali wakati hayo ya mkuu wa chuo yamekushinda
Hakuna chochote ulichothibitisha hapo zaidi ya kuthibitisha vile usivyojua mambo,nakushauri uache kabisa haya nasuala kwakuwa huyajui kabisa
Jibu maswali ya Ntuzu basi angalau nikuone unajitahidi hata kidogo!
Wenyewe wanadai imeshushwa...
Ni kazi sana mkuu, kuna siku nilikuwa najadiliana na huyo mwenzake Adiosamigo kule International Forum, anadai eti Yesu akirudi atafikia Uarabuni yaani eti atakuwa Mwarabu akatumia ili andiko hapa chini
Mathayo 24:27 Kwa maana kama vile umeme utokavyo mashariki ukaonekana hata magharibi, hivyo ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.
akadai Mashariki ni uarabuni, eti hapo Yesu anadai atakuja uarabuni, baada ya kumbana ananipeleka kitabu cha Mwanzo analeta vitu vya ajabu, baadae anaanza kuniletea ma copy and paste, kumbana zaidi na ma copy yake aliyoyaleta haelewi zaidi... akashindwa kuelewa kabisa... mchezo ukaishia hapo...
kwa hiyo hawa ndugu wana tatizo la kuelewa maandiko...
Nimekusoma mkuu na ninaendelea kukusoma huku nilipo umeme unazingua ila naendelea kukusoma kwenye mobile...Imeshushwa wapi wakati kuna aya kibao ndani ya quran zikiwaagiza kurudi kusoma biblia km hawaelewi?? Hizo aya zinakipa udhaifu mkubwa sn hicho kitabu ktk kuelekeza rejea zifatwe kwenye biblia. Hicho kitu cha kuelekeza rejea ktk kitabu chochote kile huwezi kuta biblia inasema hivyo...ata aya moja hakuna....!
Nimekusoma mkuu na ninaendelea kukusoma huku nilipo umeme unazingua ila naendelea kukusoma kwenye mobile...
Ni bora kidogo huyu Mashaxizo, huyo mwingine anajadili kilevi unaweza ukaletewa li copy limoja hata alipolitolea hapaeleweki na haelewi ameleta kitu gani halafu anataka we ndio uchambue...Kikubwa mkuu ni kuwambo kujadili taratibu na kwa facts na lugha nzuri. Yani mkishaweka hayo makubaliano lazima waishiwe hoja. Lkn km mtajadili kwa mfumo ule wa hovyo watakushinda tu mkuu.
Ngoja tumsubiri Mashaxizo aje atupe majibu au huyu mwenzake Adiosamigo amsaidie....!
Okay pamoja sana mkuu...Yaah umeme ni shida....! Hii nchi bhana....!
Pamoja mkuu, ngoja tusubiri majibu kutoka upande wao. Maana km hoja umezitoa nyingi sn hapo nyuma tena umefanya kz kubwa sn. Kwahiyo tusubiri na wao watoe majibu kwa yale tuliyowauliza....!
Hapo nilipoweka green kwenye hiyo quote yako
Angalia hapa chini hii aya nairudia tena angalia nilipoweka red, halafu utaangalia na zile rangi nyingine, uone tofauti, then unijibu
Quran 22:40 Wale ambao wametolewa majumbani mwao pasipo haki, ila kwa kuwa wanasema: Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu! Na lau kuwa Mwenyezi Mungu hawakingi watu kwa watu, basi hapana shaka zingeli vunjwa nymba za wat'awa, na makanisa, na masinagogi, na misikiti, ambamo ndani yake jina la Mwenyezi Mungu linatajwa kwa wingi. Na bila ya shaka Mwenyezi Mungu humsaidia yule anaye msaidia Yeye. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu Mtukufu.
Mashaxizo kama masinagogi ingekuwa ni misikiti vipi Quran mbona imetofautisha hayo majumba!? kwa mujibu wa hiyo aya hapo juu masinagogi na misikiti ni viwili tofauti ndio maana vimetajwa vyote...
Baada uombe uelekezwe we unaleta mzaha, lakini hata hivyo mmeonywa hapa
Qurani 6:156 Msije mkasema: Hakika mataifa mawili kabla yetu yameteremshiwa Kitabu; na sisi tulikuwa hatuna khabari ya waliyo kuwa wakiyasoma.
Huyu Mashaxizo anafurahisha sn.
Na Mimi namuongezea Maswali hapa. Nampa Kz yeye alete kwa lugha ya kiarabu ili tupate kuona km SINAGOGI ina Maana sawa na Msikiti km ambavyo wamekua wanadanganyana siku zote..!
Kanisa ni Kiswahili na church ni kiingereza Je kwa kiarabu kanisa itakua nini?
Hekalu ni kiswahili, temple ni kiimgereza na kwa kiarabu itakua nini?
Msikiti ni Kiswahili na mosque ni kiingereza na masjid ni kiarabu.
Hapa Sasa ndo patumu:
Sinagogi ni Kiswahili na kwa kiingereza inabaki hivyo hivyo Je kwa kiarabu itakuaje?
Mashaxizo hili swali la mwisho ndo la muhimu kujibu hayo mengine nimekutolea tu Lkn ni km mfano ili uweze kuona kile nachotaka wewe ujibu!
Unaponiona nakaa kimya wakati mwingine usidhani labda uneongea kitu cha maana sana,hoja ambazo Mkuu wa chuo amekupa ni nzito sana kwako na hujaweza kuzijibu na hii inaonekana reasoning yako ni ndogo sana,sina haja ya kukuongezea maswali wakati hayo ya mkuu wa chuo yamekushinda
Hakuna chochote ulichothibitisha hapo zaidi ya kuthibitisha vile usivyojua mambo,nakushauri uache kabisa haya nasuala kwakuwa huyajui kabisa
Jibu maswali ya Ntuzu basi angalau nikuone unajitahidi hata kidogo!