Dogo we ni mfuasi wa Yesu au Paulo tuwache utani, kama mfuasi wa Yesu wapi Yesu alisema kuna Mungu mwingine zaidi ya mmoja, na wapi Yesu alisema muwe mnamuabudu yeye, na wapi Yesu alisema yeye ni Mungu, na wapi Yesu alisema yeye ni Mkristo. Je Musa na Ibrahim walibatizwa? Sa kumbe Yohana na Yesu wao dini yao tofouti na ya kina Mussa na Ibrahim sivyo.
Sa hapo ndio unawacha watu hoi, wapi Prophet Muhammad aliwalika MASHETANI asali nao? Kweli umenikumbusha ile ya Yesu kutekwa na shetani , Ooops Mungu wa wakristo kutekwa na mashetani. Wapi mashetani walimteka Mtume Muhammad. Kama shetani alishindwa kumsogelea mtume Muhammad. Lazima kuna sababu sio. Sababu Mtume wetu siku zote hata kabla ya kula lazima ajikinge na shetani, kulala pia vile vile. Kila kitu hafanyi bila kusuma Audhi billah mina shetani Rajim. Yani alikuwa anamuomba Mwenyezi amkinge na shetani, yani Mtume Muhammad alivyo kuwa aanamchukia Shetani dogo, wa wacha tu hayasemekani. Na ndio sababu mashetani huwa wanajaribu sana kuwashambuali waislam sababu wanajua waislam sio wenzao. Nyie wakristo wamewacheni mpoe kabisa, ndio mana wakasema wamepata group la kwenda nao motoni. Kawapateni pale mliposema Binadamu ni Mungu hapo hata yeye shetani anajua Mungu si Binadamu, lakini anazidi kuwashangilia mpotee, mana hio ndio katika MADHAMBI MAKUBWA KABISA, na ndio Prophet Ibrahim na Mussa waliyapinga vikali sana hayo ya kumshirikisha Mungu na chochote kile :A S wink: Dogo wapi ukristo ulitangazwa na Yesu au Mungu ndio dini yao. Naona unaongea kama kichaa aliye lewa gongo sa ulitaka mtume Muhammad au halalishe ukristo? Kichaa kweli kweli wewe.
Kuna wakati wakristo mnalewa gongo hamjui mnaongea nini? Hivi dini ya kikristo ni dini ya Yesu au ya Paulo? Sa unataka Mtume Muhammad ahalalishe kitu Yesu hajakihalalisha. Wapi Mtume Muhammad alimsema vibaya Yesu, akimsema vibaya Yesu basi ni maneno ya kutungwa hayo. Sijaona Qur'an inamsema vibaya wala sijawahi kusikia hadith mtume anamsema vibaya Yesu. Hapo ni full uwongo dogo, huoni haya kuongea uwongo.Wapi Qur'an ili copy Bibilia leta maneno yalio kuwa copy and paste tuyaone kama kweli, kama Mtume Muhammad ka copy Bibilia angehalalisha ukristo na angesema Paulo ni mtume. Aisay, Prophet Ibrahim, Mussa na kina Yousuf au Jospeh kama mnavyo muita na wao walibatizwa au ilikuwa bado time za kubatizwa. Mungu alikuwa kalala nini. Mana Mungu wawakristo huwa analala na anakufa. Mungu wakislam Halali wala Hafi, wala hana shida ya hewa au kula. Labda Mungu wa wakristo alikuwa amelala, hakuwaona kina Prophet Ibrahim na Mussa wamekuja duniani:A S wink: Malaika gani aliye mpa Yesu jina lake kuwa Yesu, hivi Yesu ni lugha gni haswa? Mana Yesu alikuwa ana lugha yake ambayo ilikuwa inamuita Eashoa' M'sheekha yani kama warabu vile wanamuita Issa Massih. Sa hio ya Yesu malaika gani walimpa. Malaika wa Paulo au?
Kwanza kabla hatujanza kuzichambua hizo Aya za Bibilia na Qur'an lazima kwanza tutazame Yesu alizaliwa Tarehe 25 December kweli? Mnauhakika na hilo. Au mnajimbia nyimbo za Paulo. Qur'an imesha wambia alizaliwa katika wakati wa tende zinawiva yani mwezi wa 7-8, umeona hio December mmeifumia wapi. Ndio nikasema Bibilia yenu yote haiwezi kuwa sawa na Qur'an. Na wewe ulisema kule eti Mtume Muhammad ali fanya Copy and Paste au uwongo. Unaona muongo anajinasisha mwenyewe kwenye mtego.