Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Status
Not open for further replies.
Ha ha ha ha ha, kumbe Allah anao wasaidizi na sio muongeaji kwenye Quran yenu.:wacko:

Sasa kwanini huwa mnasema kuwa ETI Allah ndie anamuamrisha MUHAMMAD HUKU LEO WEWE UNAKIRI KUWA Allah hakuwai ongea kwenye Quran yenu?

LINI UTAANZA KUSEMA UKWELI NA KUACHA KUPINDISHA MANENO?

Kumbe Allah hakuwai ogea kwenye Quran....!!!!
 
Ishmael; I've noticed that you sometimes ask the same questions I just answered for you. Do my answers not make sense to you? I'm glad to spend time helping you, but it's confusing when I give you an answer and then you immediately ask the same question.
 
Your answers are blatherskite and are not responding/addressing my questions but creating more questions and doubt in Islam.

It is easier for you to either annex the books I have requested or give us the links. Don't give me the malarkey of Allah hiding the books.
 
Dogo naona tunarudi pale pale, vitabu vyote vya Mungu vilipokelewa kwa njia ya Malaika yule Gabriel. Prophet Mussa tu ndio aliongea na Mungu directly, wengine kama wanasema waliongea naye basi atakuwa ni Paulo katunga nyimbo zake tu.
 
Huwezi kukimbia kijana.

Ni nani msemaji katika Quran?

a. Bin Adam
b. Majini
c. Shetani
d. Allah
e. Mungu
f. Malaika

Can you answer me.
 
Ha ha ha ha ukafiri kweli mzigo mkubwa!! Hiyo #4 nimecheka sana
 
Ha ha ha ha ukafiri kweli mzigo mkubwa!! Hiyo #4 nimecheka sana
Bado haujatuletea aya ambayo inatuonyesha kuwa Muhammad aliwai ongea na Mungu. Je, utume wake Muhammad tutauamini vipi maana hakuwai ongea na aliye mtuma?

Huo ni Msiba mKubwa sana katika Uislamu.
 
maandiko haya ni kwa mujibu wa Injili ya Yohana.
yesu akasema...16:24 Mpaka sasa hamjaomba chochote kwa jina langu. Ombeni nanyi mtapata ili furaha yenu ikamilike.
16:26 Siku hiyo mtaomba kwa jina langu, na siwaambii kwamba nitamwomba Baba kwa niaba yenu;
16:27 maana yeye mwenyewe anawapenda ninyi, kwa sababu ninyi mmenipenda mimi na mmeamini kwamba nimetoka kwa Mungu.
16:28 Mimi nilitoka kwa Baba, nikaja ulimwenguni; na sasa nauacha ulimwengu na kurudi kwa Baba."

Injili hii ndiyo Muhammad aliwaasa wakristo waisome kwani ni Nuru!! Muhammad akawaambia wakristo you follow no good until you read injeel and tourati..light and guidence).
Nami nakuambia wewe Adiosamigo you follow no Good until you read Gospel of Jesus.

Nyinyi mechakachua na kuwaita wakristo makafiri.. Wakati yeye Muhammadi wenu aliwaita ni wasomi na wachamungu..

malaika alimtokea Yusufu na kumwambia jina la kumpa mtoto atakayezaliwa.

MAthayo 1; 21 Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.
Mathayo 1:22 Hayo yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii akisema,23 Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi.

tarehe 25 decemba ni siku imewekwa rasmi kwa ajili ya kuadhimisha siku ya Kuzaliwa kwa Yesu. kama vile kusema jumapili tumeweka siku ya kupumzika. Wakati saudi arabia wanapumzika Ijumaa.

Yohana 21:16
Yesu Akamwambia mara ya tatu, Simoni wa Yohana, wanipenda? Petro alihuzunika kwa vile alivyomwambia mara ya tatu, Wanipenda? Akamwambia, Bwana, wewe wajua yote; wewe umetambua ya kuwa nakupenda. Yesu akamwambia, Lisha kondoo zangu.

MAthayo 28: 18 Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
Yesu yupo nasi siku zote hadi mwisho. Muhammad kaacha dini kadedi hayupo na sisi. Umecheki tofauti hiyo

mkuu ninaposema jina huwezi ukaja na jina lolote meaningless na ukasema ni Yesu. Nimekupa maana ya jina ISa haimaanishi jina lile la ukombozi wa wanadamu. Hii bila kuangalia lugha gani wala kabila gani.
NA majini yanapenda jina Isa kwakuwa halimwakilishi YEsu. Nilimsikia shekh aliyehasi Uislamu Shekh (PAul Hussein) mmoja mwanazuoni wa kiislamu aliyesoma Korani miaka 12 akisema jina la yesu linayadhuru majini ndio maana liliondolewa kwenye Korani. Wakaweka Isa lenye maana chanya kwa maslahi ya mashetani ak.a majini.
 
Last edited by a moderator:

I suppose I did answer your question against your wishes, but the whole situation comes down to personal beliefs. BTW Ishmael; Is it possible to make reason a belief system? We base things on reason and logic, but our entire system of reasoning is based on the facts that 1st logic is true, and 2nd everything follows logic. By perceiving the entire universe through the lens of logic and reasoning, is one believing. By accepting that that statement is true without proof, in logic like one believes in religious beliefs? Is belief in Reasoning a belief system in and of itself?
 
Huwezi kukimbia kijana.

Ni nani msemaji katika Quran?

a. Bin Adam
b. Majini
c. Shetani
d. Allah
e. Mungu
f. Malaika

Can you answer me.
Mungu anayaleta kwa njia ya Malaika Gabriel, kama vile Injil ni malaika ndio aliongea na Yesu si Mungu.
 
Mungu anayaleta kwa njia ya Malaika Gabriel, kama vile Injil ni malaika ndio aliongea na Yesu si Mungu.
Bado unaogopa kujibu maswali kama Mtume wako alivyo kuwa.

Ni nani msemaji katika Quran?

a. Bin Adam
b. Majini
c. Shetani
d. Allah
e. Mungu
f. Malaika

Can you answer me.
 
YOU NEVER ANSWER QUESTIONS.

Wapi zilipo Injil, Taurat and Zaburi? Mbona unapatwa na mshtuko wa moyo wewe kijana wa Muhammad? You don't need to get heart attack. It is too early for you. Msaidie kwanza mungu wako ambaye amekimbia maswali miaka kibao iliyo pita.

Now please answer my questions.
1. Where is the Injil?
2. Where is the Taurat?
3. Where is the Psalm?
 
Mungu anayaleta kwa njia ya Malaika Gabriel, kama vile Injil ni malaika ndio aliongea na Yesu si Mungu.
wakati Yesu anabatizwa: Sauti Ya Mungu, kutoka mbinguni ilisikika ikasema Huyu ni MWanangu mpendwa nipendezwaye naye.

Nyinyi mnasema Mungu hana Mke wala hana Mwana. Kana kwamba Ili mtoto apatikane lazima kuwe na Mke. Kwanini hambishi Adam alitokeaje ikiwa Mungu hana Mke?

NA hii ni kwakuwa mnajadili mambo ya kiroho kwa kutumia hoja za kibinadamu. Mwishowe Mnakufuru.

Lakini injili zote utakuta Yesu anajishuhudia kuwa "Mungu ni baba yake". ..Muhammad hakuwahi kupinga hili bali aliisifu injili. Alipata wapi ujasiri wa kutetea asichokikubali? Ikiwa Muhammad ametuasa tuendelee kusoma Injili where is the heck????
Ukichanganya hakuna mahali Koran ya waarabu ilisema imekuja ku-replace Ukristo. Kama ingekuwa hivyo basi Muhammad angeshasema haya mapema. lakini aliishia kusema nyinyi mna dini yenu nami nina dini yangu(Quran 109:6
Surat Al-Kafirun [verse 6] - For you is your religion, and for me is my religion." ). Muhammad alikuwa obsessed na Dini kuliko Mungu. ndiyo maana alibishania dini.

Tujiulize. Ikiwa YEsu hana Baba hapa Duniani. Je ametoka wapi.?
Suppose Isa ndiyoYEsu:
----------
Jibrili alimwambia Mariamu kwamba mimi ni mjumbe wa mola wako ili nikupe
Mwana Mtakatifu Qurani 19:19 Suratul MariamJibrili alisema kwa Mariamu kuwa ili tumfanye mtoto muujiza kwa wanadamu QuranI 19:21Suratul Mariam.

Isitoshe Jibrili hakutaja jina la Mwana kwa Mariamu. Bali alisema ili nikupe Mwana Mtakatifu

Qurani 3:45 Suratul Aal-Imran (watu wa Imran)
(Kumbukeni)waliposema malaika, "Ewe Maryamu Mwenyenzi Mungu anakupa habari njema za (kumzaa mtoto bila mume bali kwa kutamka] Neno tu litokalo kwake (la kumwambia zaa ukazaa pasina kuingiliwa) jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na ahera na miongoni mwa waliopelekwa mbele na Mwenyenzi Mungu

sasa TUjiulize ikiwa Isa ni mwana wa MAriam. MAriam anaye Mume au ni "Shemale"??? Ikiwa mtoto ametokana na nguvu za Miungu, iweje mpuuze Umungu wake, na mkauchukua Ubinadamu wake? Ili hali mngali mkijua Ni Mtakatifu. Je kuna Binadamu ambaye anazaliwa na binadamu na kuwa mtakatifu ???????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????

Kuzaliwa kwa Muhammadi ni kwa maagizo ya nani?????????????????????????????????????????????? Koran imeweka sura za majini huko kwakuwa hakuna cha mungu wala nini ni majini ndiyo wanayajua. Muhammad mwenyewe alimwambia waraqah nimezugwa akili na mashetani. Waraqah na mkewe khadija wakawa wanampa moyo Muhammad kuwa aseme ametokewa na malaika...hivyo ajiite mtume.
 
We unasema Huyo yesu ni MUNGU!

Mara unasema wakati Yesu anatiwa maji Aliskia Sauti ya Mungu !!!!!
Hivi nyie mna miungu wangapi?

Halafu hebu msome hapa Yesu anavyoomba Dua Asije kusulibiwa Lkn Huyo Unaesema Aliimba kwaya wakati mwanae anachezea maji HAKUMSIKILIZA hatta kidogo mwanae.
Yesu anaomba anasema .

"Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; walakini si mapenzi yangu, bali yako yatendeke.- Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu.
- Luka 22.42-4

Baada ya Huyo mtoa sauti kali ka Ni hadija kopa Kumkaushia Yesu ikabidi apelekwe akauawe msalabani.
Alipofikishwa pale baada ya Kichapo kitakatifu akashindwa kuvumilia akalia akisema :-

Na mwishoni naye yupo mslabani:

Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani?- yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, Mbona umeniacha?

Mathayo 27.46

Nakuuliza km huyu babake na yesu ni mwenye huruma ilikuwaje AKAAMUA kumpuuza mwanae anaeloa KWA SAUTI namna hii?

Na wewe mkishumundu ukiambiwa yule Baba yake na Yesu juu ya kuwa una meno meusi lkn ameamua kukupenda tu! Je utakubali MAPENZI ya kutundikwa Msalabani?

Acheni UONGO nyie.
 
Dogo wapi Mungu alishusha kitabu cha kina Mathew, Luke, John and Mark. Ukiweza nipatia hapo tajua ukristo ni dini ya Mungu.

Qur'an inasema;
SURAT AL I'MRAN 2. Mwenyezi Mungu, hakuna mungu ila Yeye Aliye Hai, Msimamizi wa yote milele. 3- Amekuteremshia Kitabu kwa haki, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake. Na aliteremsha Taurati na Injili. 7-Yeye ndiye aliye kuteremshia Kitabu hichi. Ndani yake zimo Aya muhkam, zenye maana wazi. Hizo ndizo msingi wa Kitabu hichi. Na ziko nyengine za mifano. Ama wale ambao nyoyoni mwao umo upotovu wanafuata zile za mifano kwa kutafuta fitna, na kutafuta maana yake; na wala hapana ajuaye maana yake ila Mwenyezi Mungu. Na wale wenye msingi madhubuti katika ilimu husema: Sisi tumeziamini, zote zimetoka kwa Mola wetu Mlezi. Lakini hawakumbuki hayo isipo kuwa wenye akili.
18. Mwenyezi Mungu, na Malaika, na wenye ilimu, wameshuhudia kuwa hakika hapana mungu ila Yeye, ndiye Mwenye kusimamisha uadilifu; hapana mungu ila Yeye Mwenye nguvu na Mwenye hikima.19- Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.
malaika alimtokea Yusufu na kumwambia jina la kumpa mtoto atakayezaliwa.
Yani Jesus baba yake alikuwa Yusufu au? Kichekesho kikubwa hichi.

MAthayo 1; 21 Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.
Yani wewe unamini hayo maneno, sawa we fanya tu dhambi sababu Yesu kasha kuokoa kwenye dhambi, anza tu kufanya kila ushenzi wa dunia sababu umeisha okolewa, mwenye akili lazima ajiulize sa huyu ni Mungu anasema haya au shetani? Yani hata kama ni Mungu kasema hayo basi nadhani tamshangaa sana, kama nia yake kusamehe madhambi yote ya binadamu yanini amtwishe masikini mtoto wake kipenzi dhambi zenu hahaha. Kweli jamani akili ni mali poleni sana wakristo.
Mathayo 1:22 Hayo yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii ani akisema,23 Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi..
Yani vichekesho vingine ni ajiib, yani Mariam hajatokewa na Malaika? Aliye tokewa ni Yusufu au? Na kwanini Malaika wamtokee Yusufu, wasimtokee mama yake Yesu. Na kama Malaika alimtokea Yusufu dalili zipi malaika alisema jina lake ataitwa Yesu, wakati malaika waliongea ki Hebrew, hio lugha haina neono Yesu dogo, nadhani umechanganyikiwa.

tarehe 25 decemba ni siku imewekwa rasmi kwa ajili ya kuadhimisha siku ya Kuzaliwa kwa Yesu. kama vile kusema jumapili tumeweka siku ya kupumzika. Wakati saudi arabia wanapumzika Ijumaa.
Hio tarehe hamna dalili yoyote Yesu alizaliwa hio tarehe, navyo jua hio ni tarehe ya kuzaliwa kwa miungu wa kipgani.

Yohana 21:16
Yesu Akamwambia mara ya tatu, Simoni wa Yohana, wanipenda? Petro alihuzunika kwa vile alivyomwambia mara ya tatu, Wanipenda? Akamwambia, Bwana, wewe wajua yote; wewe umetambua ya kuwa nakupenda. Yesu akamwambia, Lisha kondoo zangu.
Hapo Yesu kapiga fumbo wenye akili tu ndio wamemuelewa sio wewe dogo, we akili zako zero sana
MAthayo 28: 18 Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
Yani hii kiboko kabisa, wakosaji akili ndio wanaweza kuiamini. Mana yake hata baba yake kisha kuwa chini ya Yesu, ukisha pewa mmlaka yani wewe ndio kiongozi peke, unamhukumu hata baba yako. Aisay hio kali. Yani mtu azaliwe na binadamu aende kutawala mpaa kiti cha Mungu na Mungu anampa ufalme huo ajib. Kama si maajabu haya ya duniani na ya mbinguni.

Ikiwa Yesu kasema maneno hayo basi Yesu mmeisha mpa ule u star wa uwongo, sababu navyo jua hio hio bibilia Yesu anakanusha kuwa yeye si Mungu, Yesu anasema yeye katumwa kwa kondoo wa kiyahudi tu, tena walio potea sio wale wanaoenda straight. Yesu alisema yeye ni mtoto wa mwanadamu na alikanusha kabisa kuwa yeye ni mbora, alisema msiniite mimi mbora yani mzuri, na hajawahi kusema kwa mdomo wake yeye ni Mungu.
 
mmm mmm Yani hii kali aisay ya mwaka nime quote hi kucheka tu, hivi dogo wewe uko sawa lakini, Mungu ana mke ulimfugisha ndoa wewe au? Yani hili bahari, miti, wanyama, matunda, navyenyewe vilitokea wapi, kama huwezi amini Mungu ana umba. Sa mke wa Mungu ndio yule mama yake Yesu au? Au ana wake wawili mama wa Adam mwingine na wa Yesu mwingine? Hii kali dogo kweli nimeamini wakristo hamna akili. hizo point zingine nimemuachia kamanda Bill Cosby , ameisha kupa dozi sina hoja ya kuzidisha mengi.
 
Nimeisha kujibu yote maswali yako na haswa hayo ulio yauliza, rudia huko nyuma utayakuta, kama kichwa chako kibovu hakifahmu basi tabu kufahamu, ndio sababu unatuleta maswali yale yale na ujinga ule ule.
 
Umejibu makosa.
 
Hivi kuna uhusiano wowote ule wa nyota juu ya Msikiti na Allah?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…