Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Status
Not open for further replies.
Mkuu nyinyi mnamlinganisha muhammad kama mungu mtu fulani lakini kila mnachokieleza katika hadithi zake kinamshusha mbali sana hastaili kuwa mtume hata nusu.
Mtume wa Mungu analogwa?
Mtume wa Mungu ameogopa Mwishowa dunia, alipoona kupatwa kwa jua!
Mtume wa Mungu anasema mashetani yanamwelekeza kufanya mazuri.!
Kitabu kilichoshushwa kina sura za mashetani na mafundisho yake bado mnakiita ni kitbu cha Mungu!
mtume kauwawa na mkewe!
Mtume amelala na mkewe akiwa kwenye hedhi!!
Mtume alioa wanawake wengi akaagiza muoe mwisho wa4
Mtume aliruhusu sex slave na biashara za utumwa?
Alichukia kufananishwa na mtu Mweusi kwakuwa alikuwa mwarabu... na yoyoyte mwenye kufanya hivyo adhabu ni kifo tu.
Allah anayeruhusu watu kulogwa na uchawi? kwahiyo wanajifunza uchwai kwakuwa allah kauruhusu My foot!!
allah anayeruhusu kusema uongo(Al taqiyya)?
Allaha asiyejua ameumba dunia kwa siku ngapi? infact hayuko consistent na maneno yake..?
Hivi unataka kuniambia ISIS, Alshababu wanachokifanya hakipo katika uislamu au nyinyi msiowaiga alshababu ndio waislamu feki??????
Mtume anapenda bikira za wanawake na dogodogo? Aliwahi kukatamani katoto kadogo akasema angekuja kukaoa!
Hivi MUsa, Abrahamu, waliwahi kufanya haya katika historia yao. hata yle Suleiman je ninani mwenye viwango hivi kama sio mudi pekeyake??? think again...
Pia mkiulizwa kuhusu ingedients za uji wa ngama na wasunna mnakanusha hadharani lakini mioyo yenu ingali inajua ukweli huu mchungu kweu kuukubali hadharani??

Mkuu ningekuomba ukatafakari vizuri hii article hata kama inakukwaza lakini haya yote yapo kimaandiko na kimatendo kwenu.. yangekuwa yapo kimaandiko na hayatendwi nisinge yaanika.
kisha ujiulize hivi ndivyo Mungu alitaka dunia yake iwe??
 

Tazama WAKRISTO wenzako hapa wanavyoabudu UCHI!

Yaani nyie LAANA Mnayoisambaza Hapa ULIMWENGUNI Imepita hata ya wale watu wa SODOMA na GOMORA!

Hivi we na mama yako au baba yako mnaweza kuingia hapa mkasali kwa huyo yesu bandia wenu bila AIBU kweli?

Nyie mashetani sio bure. Haya aibu kidogo HAMNA kweli?
Duhhh!


Watch "THE NAKED TRUTH NUDE CHURCH IN VIRGINIA (LotsO…" on YouTube - THE NAKED TRUTH NUDE CHURCH IN VIRGINIA (LotsO…: http://youtu.be/W_PJ4h-oeI8
 
SHETANI NI MUSLAMU
hatuutaki Uislamu.[/FONT]
[/FONT][/COLOR]

Shetani NI HAWA WAKRISTO wanaongea NA YESU aliyevaa nepi Na wao WAKO UCHI KAMA WALIVYOZALIWA.!!

Hebu TAZAMA WAKRISTO wanavyo lifuata ANDIKO LA BIBILIA KIKAMILIFU HAPA!

Watch "THE NAKED TRUTH NUDE CHURCH IN VIRGINIA (LotsO…" on YouTube - THE NAKED TRUTH NUDE CHURCH IN VIRGINIA (LotsO…: http://youtu.be/W_PJ4h-oeI8
 
Laiti Abraham,Musa,Eliya na Mitume wote.!!
Wangekuja leo dunian wangeshangaa kuona mnavyobishana kidini, Mungu hakuleta dini bala dini ililetwa na wanadamu. Chunguzeni njia zenu kwa maana mwenye haki na Moyo safi atamuona Mungu.!!!
 
Hakuna haja ya kulazimishana ki-dini, kila mtu aabudu anachokijua, hata katiba inaruhusu hivyo maana mtaleta machafuko ya kidini. Ni vizur kuheshim dini ya mwingine, tengenezeni mazingira ya Miungu yenu kupigana na sio nyinyi kupigana au kulumbana halafu Mungu mwenye nguvu ndo ashinde na Atukuzwe..!!!
 
Laiti Abraham,Musa,Eliya na Mitume wote.!!
Wangekuja leo dunian wangeshangaa kuona mnavyobishana kidini, Mungu hakuleta dini bala dini ililetwa na wanadamu. Chunguzeni njia zenu kwa maana mwenye haki na Moyo safi atamuona Mungu.!!!
Yesu ndie Njia pekee.

Bila ya kuwa na Yesu Kristo katika maisha yako, ni bure kabisa, lakini Yesu akiingia moyoni mwako, hakika utaokoka. '

Yesu ni Mungu Mkuu
 

Miungu yenye dini ni ya kiislamu. Watu wenye dini ni Waislam.

Wakristo wao wanafuata Mungu, na hio ndio maana halisi ya Ukristo. Ukristo sio dini. Wakristo hatuitaji dini ili kwenda Mbinguni. Sisi ni wafuasi wa Yesu Kristo ambaye ni Mungu. Na Yesu ndie anaye tupeleka Mbinguni na sio midni yenye chuki na kulazimisha watu wasilimu au utatenganishwa na kichwa chako. What a weak, evil, fiendish, diabolical satania deity of jibricaco cult.
 
we chizi kweli unadhani ukijiita mkristo ndo unakua mkristo moja kwa moja.. kwa taarifa yako anayetambua nani mkristo nani mpambe ni Mungu.
Sio kama dini yenu wachinja watu kama isis na alshababu ni waislamu. kwakuwa wanatawadha na kula uji wa sunna na wa ngama.. watu wa dini nyie .......
 
Upuuzi mtupu, bora niabudu mti kuliko kumwita mtu aliyozaliwa na mwanamke mungu, thats what we call ignorance
Mwisho wa siku mnaishia kubadilika badilika mara mruhusu mashaoga wawe mapadri
Mara papa anataka watu waruhusiwe kuwa mashoga , hivi jamani hamshtuki tuu
 
Wewe inaonekana huabudu kitu chechote. Na huo mti unao chongwa kinyago sio mali kitu maana utatupwa motoni.
 
Kwani nyota ni nn mimi najua nyota zinakaa angani

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hahaha dogo mama yake Mussa alimnyonyesha ndio na aliishi pale kama ni mfanya kazi wa mtoto tu, lakini nani kamlea na kumpa chakula si mke wa Firauni, yani Musa kalelewa na Firauni sa we unacho bisha nini? Mussa kalelewa nyumba gani kama si ya Firauni sa unacho bisha kipi? Hio ya kujidai kumuita Faraoh nikubadilisha mana yake. Kwanza Firauni si jina lake haswa hilo yeye jina lake ni la utani tu. Jina lake haswa ni Malik Bin Nadras, hilo jina la Firauni alipewa toka zamani. Sababu mama yake alikuwa akimtafuta arudi nyumbani anamkimbia haswa pale kagombana na wenzake. Mana ya Fir ni kakimbia kwa kiarabu na ouni kwa kiarabu hapa. Sa mama yake time akiwa na mtafuta, wale watoto wakawa na sema Firoun yani kisha kimbia hapa. Sa we sijui unaleta hadith za uwongo eti jina lake ni Farouh. Hata hadith na story huijui kwanini alitwa vile. Hebu tupe mana ya Farouh ni lugha gani haswa? Au unataka kusema jina lake Firauni ni Farouh hahaha. Kuhusu Mtume hajaenda shule kwanini Yesu alienda shule? Sa sindio ujiuliza mtu ambaye hajaenda shule, vipi akandika Qur'an kama hio, ambayo Mungu anasema hata mjikusanye dunia nzima hamuwezi kushusha sura ndogo kama INA ATWAINAKYA AL KAUTHAR. Hayo mengine ulio andika naona ni pumba tu, hazina mana yoyote ile, sijui hizo hadith mnasimuliwa na Paulo au na nani, au shetani gani, mana hazi exist kabisa.
 
Haha katika hayo yote ulio sema hakuna hata moja ni ya kweli, isipokuwa hio ya kurogwa, na Mungu kasema mtu hawezi kurogwa bila ya Mungu kutaka? sa ajabu ipi? Mitume wote wamefanyiwa mitahani migumu na Mungu. Na Mungu akitaka iwe vile sababu ana lengo lake. Prophet Ibrahim alipo ambiwa amchinje mwanae, kwa hio yeye ni chinja chinja sio, sababu Mitume wote hawakumbiwa wachinje watoto zao? Mbona Mussa alionyesha elimu ya kuwazidi uchawi watu Firauni. Kwa hio Mussa sio Mtume ni mchawii? Mbona Prophet Ibrahim hakuwajua malaika walipo shuka mpaa kawachinjia ndama, bada ya kuwachinjia ndama ndio akajua wale si binadamu? Sa ajabu iko wapi? Mbona nyie mnasema Yesu alitekwa na shetani? Sa kipi bora kurogwa au kutekwa na shetani? Kurogwa unakuwa huna dhambi kabisa, lakini ya kutekwa na shetani, hapo unakuwa ni shetani, sa nyie mungu wenu ni shetani sio:A S wink:
 
And for those who take heed there is a constant reminder in the verse, "Not a word is said except that there is a watcher by him ready to record it." [Qur'an Soorah Qaf 50:18]
Prophet Muhammad said; "Whoever believes in Allah (God) and the Last Day should speak good or keep silent."
 
Sio unaona jamaa hagusi hapa maana tumemshika pabaya.
Mimi nashangaa unazitoa wapi hizo Aya zako haziendi kabisa na Aya za Qur'an, mna copy hamjui mna copy nini. Elimu kitu muhimi sana, na kama elimu yako ni ku copy na ku paste na kutubandika Qur'an huku na kule msidhani mtashinda. Qur'an watu wanaijua kwa Moyo kabla ya kichwa.
 
Sio unaona jamaa hagusi hapa maana tumemshika pabaya.


Unajua Kafiri yyt bongo yake Inakuwa contaminated na Uharo wa Nguruwe na inakuwa ni vigumu sana kumuelekeza.
Na mara nyingine hufanya vitu akidhani ni vya maana kumbe ni Balaa tupu!
Mfano hai ni yule kafiri wa Msalabani.
Jamaa kaamua kujiua eti watu wengine waselebuke tu.
Yaani watu nyie mambulula wa ajabu. Subirini moto wa Jahannam tu.
 
Wewe inaonekana huabudu kitu chechote. Na huo mti unao chongwa kinyago sio mali kitu maana utatupwa motoni.
Ishmael wakristo mnasali kwa siku mara ngapi? Au mungu wenu anawasikia siku ya Juma pili tu? Tena ni nusu siku tu, afu mnajitongoza humo humo kanisani time mnasali hahaha. Ndio mana kila kukicha tunasikia kanisani ushoga, mke wa mtu kakutwa na mchungaji ana tolewa pepo kitandani tena yuko uchi kabisa. Dini yenu ni balaa tupu hata shetani anawashangaa aisay.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…