2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,360
- 6,069
Mkuu nyinyi mnamlinganisha muhammad kama mungu mtu fulani lakini kila mnachokieleza katika hadithi zake kinamshusha mbali sana hastaili kuwa mtume hata nusu.Hizo kelele tu za wendawazimu Yesu mbona alisema wazi kabisa; Sijatumwa kwa akina Adiosamigo au kwa kina 2013, alisema katumwa kwa kondoo walio potea tu, tena wa wayahudi. Hivi dogo, unawajua wayahudi ni wakina nani? Hayo mengine ni Paulo ndio kayatunga. Nyie kuwazulia Mitume wa Mungu KWANI MMEANZA LEO mlisha mzulia Prophet Ibrahim kama mzinifu, mlisha mzulia Mungu kasex na mama yake Jesus, mmeisha wazulia Mitume wengi uwongo. Wengine mliwachinja kabisa sa ajabu iko wapi kusema mmemuwa mtume Muhamamd kwa sumu? Lakini cha kushangaza kuna sumu inauwa baada ya miaka minne? Hio lazima itakuwa ni siku yake ya kufa ya kawaida ilifika. Yani hio ya sumu ni wakristo tu mnadhani vile, sababu aliletewa chakula chenye sumu na alipo kila alikijua kama kina sumu, sa mbona hamfatilii pale alijua vipi kina sumu kama sio Mtume? Na alikitupa chini? Kweli hapo mmenikumbusha kitu siku zote mnasema Mtume Muhammad huwa anawachukia wayahudi na wakristo? Sa mbona alikula chakula cha wayahudi? Hapo mnasema vipi madogo'z. Yani mnamzulia Mtume uwongo we afu mnanasa pale pale kujiona waongo.
Mtume wa Mungu analogwa?
Mtume wa Mungu ameogopa Mwishowa dunia, alipoona kupatwa kwa jua!
Mtume wa Mungu anasema mashetani yanamwelekeza kufanya mazuri.!
Kitabu kilichoshushwa kina sura za mashetani na mafundisho yake bado mnakiita ni kitbu cha Mungu!
mtume kauwawa na mkewe!
Mtume amelala na mkewe akiwa kwenye hedhi!!
Mtume alioa wanawake wengi akaagiza muoe mwisho wa4
Mtume aliruhusu sex slave na biashara za utumwa?
Alichukia kufananishwa na mtu Mweusi kwakuwa alikuwa mwarabu... na yoyoyte mwenye kufanya hivyo adhabu ni kifo tu.
Allah anayeruhusu watu kulogwa na uchawi? kwahiyo wanajifunza uchwai kwakuwa allah kauruhusu My foot!!
allah anayeruhusu kusema uongo(Al taqiyya)?
Allaha asiyejua ameumba dunia kwa siku ngapi? infact hayuko consistent na maneno yake..?
Hivi unataka kuniambia ISIS, Alshababu wanachokifanya hakipo katika uislamu au nyinyi msiowaiga alshababu ndio waislamu feki??????
Mtume anapenda bikira za wanawake na dogodogo? Aliwahi kukatamani katoto kadogo akasema angekuja kukaoa!
Hivi MUsa, Abrahamu, waliwahi kufanya haya katika historia yao. hata yle Suleiman je ninani mwenye viwango hivi kama sio mudi pekeyake??? think again...
Pia mkiulizwa kuhusu ingedients za uji wa ngama na wasunna mnakanusha hadharani lakini mioyo yenu ingali inajua ukweli huu mchungu kweu kuukubali hadharani??
Mkuu ningekuomba ukatafakari vizuri hii article hata kama inakukwaza lakini haya yote yapo kimaandiko na kimatendo kwenu.. yangekuwa yapo kimaandiko na hayatendwi nisinge yaanika.
kisha ujiulize hivi ndivyo Mungu alitaka dunia yake iwe??