Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Status
Not open for further replies.

Mkuu naomba unisamehe kwa maneno machafu niliyotoa hapo nyuma, ukweli ni kwamba kama wewe ulivyoshindwa kujizuia kutoa lugha chafu baada ya kukashfiwa dini yako, na mimi vivyo hivyo roho yangu haikutulia kukaa bila kukashfu

"FORGIVE ME ALL MUSLIM FOR THAT"

Owkeey after that you said you'll find me, if you trully mean it then
Karib GWANAK main campus, GWANAKSA DOMITORIES katka jiji la SEOUL nchini KOREA KUSINI
Ulizia FATHER CHRISMAS, ukiniona utanijua tu kozi bongo wananiitaga "UNCLE KIDEVU" au ukimuona negro kabeba begi limeandikwa "GOD SAID LET THIS NYAKYUSA BE AND IT WAS ALRIGHT"
au lililo na bandiko hili
"MADE IN MBY CITY' then that's me

.made in mby city.
 
Hapo nilipoweka red mkuu una habari kupaka wanja ni suna kwa nyie, lakini mimi kupaka wanja siwezi, una habari Rasulullah alikuwa anapaka wanja mkuu!? sasa sikupatii picha na wewe ukijipigilia wanja... kweli wendawazimu ni fani...

Hizo suna za namna hiyo mimi sisiwezi...
 
Hapo Mungu anaonyesha vipi yeye anathamini vitu alivyo viumba. Mungu gani asiye thamini alicho kiumba? Ndio siku zote wakristo mkiambiwa Mungu anamavuno mnabisha, mkiambiwa Mungu anasifa za kila kitu kizuri mnabisha, sa Mungu asiye thamini alicho kiumba huyo atakuwa mumbaji kweli? Hebu tumia akili dogo. Afu lazima ufahamu kuna watu wana muasi na wanafanya dhambi lakini wakirudi kwake anawasamehe, hivi Mungu anashida nao? Mungu we unadhani kakuleta hapa kula na kunya tu dogo Ishmael? Jiulize sababu gani ulizaliwa? Na ujiuliza sababu gani unapumua mpaka sa hivi? Na ujiuliza utaenda wapi baada ya kuondolewa pumzi ya dunia. Kunamsemo mzuri sana unasema binadamu mwenye akili anatakiwa ajibu maswali matatu.
Swali la kwanza; Ametoka wapi? Swali la Pili;Yuko wapi? Swali la tatu; Anaelekea wapi. Akiweza yajibu hayo atakuwa ana akili kweli kweli.
 
mwandishi wa biblia ndio nani!?
Paulo ndio champion wao, lakini wandishi ni kina Matthew, Mark, Luke na John.

Gabriel hakabi watu, anayekaba watu ni Jibril...
Aisay hapa dalili wazi umekwama. Safi sana.

mbona ninachokuomba hutaki kuleta sasa!?
Kipi ulcho uliza sijakijibu au unatafuta uwongo.

si ndio uniambie Waraqa alitafsiri Biblia kutoka lugha ipi kwenda ipi!?
Alitafsiri Injili ya ki Hebrew kwenda kiarabu.


Wacha kuzuwa uwongo, kubali kwamba umerekebisha, nitakuelewa tu, bado hapo hatujawaangalia hawa waarabu wanne yaani Sayyidina Abubakari, Umari, Uthumani na Ali...
Sijakubali unacho sema, sababu mimi maisha yangu sisemi uwongo, kama unasema nimesema uwongo leta dalili zako mbona huzileti.

Nimekuuliza unaelewa Biblia ni nini!? naona hujanijibu, halafu mkuu ningependa kukuomba uwache kumfananisha Yesu wangu na Issa...
Sa mimi nataka wewe uniambia Yesu alikuwa akitwa Yesu anaitika? Mbona sisi tunajua Yesu alikuwa akiitwa Issa Al masih, na warabu na wahebrew ni mtu na dada yake kilugha. Sijawahi kusikia Yesu ikawa lugha ya kina Yesu. Wewe tuambie Yesu alipokuwa duniani alitwa nani kama sio Eashoa . Dalili hii hapa naweka jifunze dogo, eti Yesu ni mungu hahaha kicheko hicho Pronouncing the name of the Lord in the Aramaic language
 
Paulo ndio champion wao, lakini wandishi ni kina Matthew, Mark, Luke na John.
Hao ndio waliandika Biblia yote!? wacha kuzuwa uwongo...

Aisay hapa dalili wazi umekwama. Safi sana.
hapo naona umetoka kapa, nimekwambia anayekaba ni Jibril sio Gabriel...

Kipi ulcho uliza sijakijibu au unatafuta uwongo.
niletee maneno ya Muhammad akimsimulia Waraqa...

Alitafsiri Injili ya ki Hebrew kwenda kiarabu.
Wacha kumzulia mpiga falaq uwongo, leta ushahidi...

Sijakubali unacho sema, sababu mimi maisha yangu sisemi uwongo, kama unasema nimesema uwongo leta dalili zako mbona huzileti.
ni mara ngapi umemzulia Allah uwongo!?
Mkuu nakuomba usimfananishe Yesu wangu na Isa, Isa alizaliwa chini ya mtende... nimeelezea jina Yesu ukirudi kwenye page ya/za nyuma...
 
Ilisha fichwa na wakristo lakini iko siku itaonekana tu. BTW; wewe Ishmael rudi shule ukasome huna unacho kijua zaidi ya ku copy na ku paste.

Hahahaha ushamjua huyu jamaaa! Naskia ni Mwizi Mchungaji anapatkana kenyaa! Pastor Kinyari
 

Hapa ndo penye mapungufu yako hasa
Nani kakwambia mimi ni mkristu mpaka unipe mafungu ya kitabuni??
Au kila unayekutana naye asiye wa dini yako basi lazima atakua mkristu??
Mbona wenzenu wakristu hawapo hivyo??

Narudia kwa mara ya mwisho, ukinchokonoa tena nakurushia ma.........
"I'M NOT CHRISTIAN, I'M NOT MUSLIM, DON'T CALL ME ATHEIST BECAUSE I BELIEVE IN GOD (not in allah but in GOD)

.made in mby city.
 

Wacha kutisha Wazee wewe mtoto.
Nikuchokonoe kwani umeskia Mimi Mchungaji?

Hao ndio wenye Tabia za Kuchokonoa Watoto wadogo makanisani mwao!

You believe in God But Not Allah!
What was That suppose to mean!

Unachanganya Utumbo Na maharage halafu unataka watu wakae kimya!?
Mnfnssssssssss!

Which religion or Faith Believes in ONE GOD and They are NOT MUSLIMS? which one!

Dont just puke like those Galatian whose Spend all weekends drunk jesus blood and Singing like mary go round!

Talk straight with me nigga!
Dont give that dregs full of dross and lumber with offal smell in a rummage fields!

Now Drop it like Hot! Let me feel you!
 

Milembe ndio wapi Mkuu.?

Tatizo kubwa kwenye Jamii yetu ji Vijana kutumia majani ya ule Mti uliolaaniwa bila Kuwa na afya!
Na nadhani wewe ni Mmoja wapo.

Nakuuliza unaifahamu "A" we unanijibu "Q"! Sasa mkui km sio Bangi Hii ni nini?
Nani aliyekwambia Tunahitaji Waislamu Sampuli Yako?
Basi we ndio kishoka Kweli kweli!

Acha Ganja mkuu. Inadhuru kichwa!
 
Captain Adiosamigo naona bado unaendelea Kupiga msasa makafiri.
Nakukumbusha tu mkuu wangu kuwa Hawa watu Ni Viziwi na vipofu. Halafu Lugha zote Duniani Zinawapa tabu!
Nasoma bayana zako hapo Juu naona Huyu jamaa Anavyo changanya Maneno!.

Inataka Subira mno Kuwafahamisha kitu hawa viumbe.
Allah akulipe kheri Inshallah.

Pamoja Sana Captain.
 
Last edited by a moderator:

Professor Adiosamigo Achana na huyo WHITESWORSHIPER hv karibuni atapata Bwana wa kizungu Kwan Baba mtakatifu amewaamuru wapakuane NYA kwa amri roho mtakatifu kama wanavyodai.
 
Hivi kwanini Waislam mnapenda sana kutukana na hamna hoja za msingi? Kwanini msiwe na heshika kama Wakristo?

Jamani tuweni na heshima na tuheshimu imani za wengine. Matusi ya Bill Cosby faby Elungata FaizaFoxy hayajengi Uislam zaidi ya kuubomoa.

 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…