Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Status
Not open for further replies.
Safi sana Mkuu wa chuo. Napenda sana ukiambatanisha na aya kwa hoja zako.

JIBU.
Hapana simkubali Yesu kristo, na kafir maana yake ni aliekufuru.

Ni nani aliekufuru?
Jibu:
QURAN 5:72-73
72. Hakika wamekufuru
walio sema: Mwenyezi
Mungu ni Masihi mwana
wa Maryamu!
Na hali Masihi
mwenyewe alisema: Enyi
Wana wa Israili!
Muabuduni Mwenyezi
Mungu, Mola wangu
Mlezi na Mola wenu
Mlezi. Kwani anaye
mshirikisha Mwenyezi
Mungu, hakika Mwenyezi
Mungu atamharimishia
Pepo, na mahala pake ni
Motoni...

Mkuu wa chuo najua huamini Qurani.

Sasa msikilize unaemwita Mungu yeye anasemaje ili ujue kati mimi na wewe nani kafiri.

Marko 12 18.
Bwana Mungu wetu ni bwana mmoja.

Yohana 5 30.
Mimi siwezi kufanya neno mwenyewe.

Yohana 20 17.
Ninaapa kwenda kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.

Kabla hatujaendelea naomba uniambie ni kwa namna gani unaiamini biblia.
Jee unaamini aya zote?

Au unaamini baadhi na kuacha baadhi?
Hapana maana ya Kafiri siye aliyekufuru kumbuka hilo fungu la Yuda nililokupa ni la muda mrefu kabla hata kina Sayyidina Abubakari, Umari, Uthumani na Ali hawajaandika Qurani na wala Uislamu haujaanzishwa na Muhammad hajazaliwa

kwa hiyo kwa maana hiyo katika hilo fungu yule anayemkana Bwana wetu Yesu Kristo ni Kafiri, kwa maana hiyo wewe ni Kafiri kwa muktadha huo, kwa sababu hilo sio neno geni na wala alijaanzia kwenye Quran, na Biblia ilikuwepo kabla ya Quran

KAFIRI (KAFIRUNA) ni neno la kiarabu lenye maana ya MPINGAJI yaani anayepinga maneno ya Mwenyezi Mungu, nitatoa mfano, ili kuwe na mpingaji yaani KAFIRI ni lazima kuwe na kauli tangulizi iliyo tangulia , kusema kwa hiyo Kauli itakayofuata ya kupinga inaitwa kauli ya MPINGAJI kwa kiarabu KAFIRI, angali huu mfano

Mwanzo 2:16-17

16 Bwana Mungu akamwagiza huyo mtu, akisema, Matunda ya kila mti wa bustani waweza kula,
17 walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika.

Angalia hapo kwenye bold hii ni kauli ya Mwenyezi Mungu, sasa angalia kauli ya shetani hapa chini

Mwanzo 3:1-4

1 Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya Bwana Mungu. Akamwambia mwanamke, Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani?
2 Mwanamke akamwambia nyoka, Matunda ya miti ya bustanini twaweza kula;
3 lakini matunda ya mti ulio katikati ya bustani Mungu amesema, Msiyale wala msiyaguse, msije mkafa.
4 Nyoka akamwambia mwanamke, Hakika hamtakufa,

Angalia hapo pia kwenye bold hiyo ni kauli ya Ibilisi

kwa hiyo kauli iliyofuata baada ya kauli tangulizi. Huyo ni Kafiri, Mungu alisema ukila UTAKUFA HAKIKA akaja Ibilisi akasema ukila HUTAKUFA HAKIKA, kwa hiyo kauli iliyofuata ya kupinga maneno ya Mwenyezi Mungu ni ya UPINGAJI, kwa hiyo Ibilisi ni KAFIRI wa kwanza

Quran 38:4 Na walistaajabu kuwajia mwonyaji anaye tokana nao wenyewe, na makafiri wakasema: Huyu ni mchawi, mwongo.

Angalia hiyo aya kutoka kwenye Qurani, kulingana na hiyo aya makureshi wa kabila la Muhammad ambalo ni makafiri, alipowaambia kuwa yeye ni mtume walistaajabu ndipo waliposema huyu ni mchawi na muongo, walimpinga kwa kuwa wanajua huyu ni miongoni mwetu, kwa hiyo Muhammad alikuwa miongoni mwa makafiri

Halafu kuhusiana na swala la Biblia naiamini...

Okay tuendelee...
 
Ibrahim alikuwa prophet wa Ummah upi? Acheni Maskhara bana. Kumbe Mungu wa Ibrayim katika Kuran alikuwa Mwezi.
Dogo tatizo lako huwa unarukia train kwa mabele, hivi we una umri gani? unafika hata miaka 13 wewe? Ngoja nikupe story yake hapo na ukamuonyeshe na baba yako anaweza nayeye kujifunza akawacha kukupeleka kanisani, sababu mnapoteza wakati wenu bure mtajuta.
وَإِذْ قَالَ إِبْرَاهِيمُ لِأَبِيهِ آزَرَ أَتَتَّخِذُ أَصْنَامًا آلِهَةً ۖ إِنِّي أَرَاكَ وَقَوْمَكَ فِي ضَلَالٍ مُّبِينٍ ( 74 ) Na pale Ibrahim alipo mwambia baba yake, Azar: Unayafanya masanamu kuwa ni miungu? Hakika mimi nakuona wewe na watu wako mmo katika opotofu ulio wazi.

وَكَذَٰلِكَ نُرِي إِبْرَاهِيمَ مَلَكُوتَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَلِيَكُونَ مِنَ الْمُوقِنِينَ ( 75 ) Na kadhaalika tulimwonyesha Ibrahim ufalme wa mbingu na ardhi, na ili awe miongoni mwa wenye yakini.

فَلَمَّا جَنَّ عَلَيْهِ اللَّيْلُ رَأَىٰ كَوْكَبًا ۖ قَالَ هَٰذَا رَبِّي ۖ فَلَمَّا أَفَلَ قَالَ لَا أُحِبُّ الْآفِلِينَ ( 76 ) Na ulipo muingilia usiku akiona nyota, akasema: Huyu ni Mola Mlezi wangu. Ilipo tua akasema: Siwapendi wanao tua.

فَلَمَّا رَأَى الْقَمَرَ بَازِغًا قَالَ هَٰذَا رَبِّي ۖ فَلَمَّا أَفَلَ قَالَ لَئِن لَّمْ يَهْدِنِي رَبِّي لَأَكُونَنَّ مِنَ الْقَوْمِ الضَّالِّينَ ( 77 ) Alipo uona mwezi unachomoza alisema: Huyu ndiye Mola Mlezi wangu. Ulipotua akasema: Kama Mola Mlezi wangu hakuniongoa, nitakuwa katika kaumu walio potea.

فَلَمَّا رَأَى الشَّمْسَ بَازِغَةً قَالَ هَٰذَا رَبِّي هَٰذَا أَكْبَرُ ۖ فَلَمَّا أَفَلَتْ قَالَ يَا قَوْمِ إِنِّي بَرِيءٌ مِّمَّا تُشْرِكُونَ ( 78 ) Na alipo liona jua linachomoza akasema: Huyu ndiye Mola Mlezi wangu. Huyu mkubwa kuliko wote. Lilipo tua, alisema: Enyi watu wangu! Mimi simo katika hayo mnayo fanyia ushirikina.

إِنِّي وَجَّهْتُ وَجْهِيَ لِلَّذِي فَطَرَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ حَنِيفًا ۖ وَمَا أَنَا مِنَ الْمُشْرِكِينَ ( 79 ) Hakika mimi nimeuelekeza uso wangu sawa sawa kwa aliye ziumba mbingu na ardhi, wala mimi si miongoni mwa washirikina
Surah An Nisaai 21. Na mtachukuaje na ilhali mmekwisha ingiliana nyinyi kwa nyinyi, na wao wanawake wamechukua kwenu ahadi iliyo madhubuti?

Haya pinga kama huu sio Uliberia mnao uficha kwenye Kuruwani.
Dogo tatizo lako huwa hufahamu unadndia tu hujui unadandia wapi, ngoja nikufahamishe hapo Mungu anasema; Vipi ukachukue tena mahari kutoka kwa mwanamke ambaye ulisha muowa na umeisha muingilia haifai.
 
What do you know? All you know is talking unintelligibly while jabbering like a kid.
If you are using this experience for self-improvement. When you play to your best self, the result is a positive, focus-on your own-weaknesses.
 
Safi sana Mkuu, hawa watu wakifa makafiri ni upumbavu wao wenyewe. Kiukweli wamepata bahati at least ya kupata watu wa kuwatoa matongo ila wanashindwa kutumia nafasi.

Wewe endelea na huyo kichwa ngumu mimi namsubiri Eiyer tumalizane na issue za mjadala tunaokwenda nao, then nimpeleke stage nyengine na nategemea sana kama anaiamini bible basi mwisho wa siku kheri kubwa itapatikana.
Kabisa huyo dogo Ishamel we niwachie mimi, nimeisha ona udhaifu wake elimu yake ni ile ya ku copy tu hajui anacho copy, anadhani ku copy na kupaste ndio ushindi, tamtengeneza tu, we usijali brother endelea na dogo yule:A S wink: Mimi huwa nawatafuta watu type hizo kama za kina Ishmael, afu nawamaliza kabisa.
 
Mimi nawaonea sana huruma hawa. Yaani wanamzulia Allah uongo hawa.

Hata Muhammad mtume wao hakuwai sema "MIMI MUHAMMAD NI MTUME WA MUNGU. Hakika huu ni Msiba Mkubwa sana kwao.

Nimeomba aya weeeeeh, mpaka nimechoka sasa.

WAISLAM:

WAPI AYA AMBAYO MUHAMMAD ANASEMA: "Mimi Muhammad ni Mtume wa Mungu"
Jionee wewe huruma kwanza sababu huna Mungu, kutokana na Bibilia zenu Mungu wenu kasha kufa tena amebeba dhambi zenu zote sa mtu aliye fiwa na Mungu si tabu tu kuishi duniani, mana hana tena wakumsaidia Mungu wake kafa, hamsikii wala hajui anacho fanya au mana ya KUFA ni kitu kingine kwa wakristo?

Pili Mungu wenu kutokana na Bibilia yenu nimekuwekea hapo ana laana, sa mtu akisha kuw aana laana na haswa Mungu wenu kama mnavyo dai ana laana sa nyie mtakuw amna laana sana au uwongo? Tatizo lako dogo huw asijui hufahamu tunacho kuwekea au tukikuambia soma husomi, nadhani wazazi wako wanakazi sana mana hufahamu hata ufahamishwe vipi. Wacha nikuwekee Qur'an inasema nini;They ask you - WHO IS ALLAH?

Say: He is Allah, He is One; The Self-Sufficient,
The Eternal God; He begets not,
nor was He begotten;
There is none equal to Him.

[The Holy Qur'an, Surah 112:1-4]

Where in the Quran does it say that Muhammad was the last Prophet and Messenger of GOD?
Let us look at the following Noble Verse in the Noble Quran:
"Muhammad is not the father of any of your men, but (he is) the Apostle of God, and the Seal of the Prophets: and God has full knowledge of all things. (The Noble Quran, 33:40)"
 
Wewe niambie, kati ya Wakristo na Waislam, ni nani wanasema kuwa HAKUNA MUNGU ILA ALLAH?

Sasa tuwasikilize na maswahiba wa Mtume Muhammad.
Simulizi za Maswahaba wa Mtume wa Allah:
Pia imesimuliwa na Ibn Jarir, iliyosimuliwa na Abu Kurayb, imesimuliwa na Ibn Yaman, imesimuliwa na Ibn Malik Maghul, imesimuliwa na Ibn Ishaq ambaye alisema, "Kila mara Abu Maysarah anapo kwenda kulala na akiwa kitandani kwake yeye husema, 'Mimi nasikia Uchungu kuzaliwa na Mama yangu. 'na kisha anaanza kulia kwa Machozi. Alipoulizwa kwa nini alikuwa akilia, alijibu ayafuatayo,' Tuliambiwa kwamba SISI WAISLAMU tutaingia Jehannamu, LAKINI HATUKUAMBIWA kwamba TUTATOLEWA HUKO JEHANAMU NA HATUKUAMBIWA NI KIVIPI TUTATOKA HUKO'"

Mfuasi huyu wa Muhammad anaoneka kupatwa na mshtuko mkubwa, pale alipo ambiwa kuwa, Waislam wote wataingia Jehannam. Mshtuko huu umemfanya ailaani siku ambayo alizaliwa. Kitu cha kujiuliza, kwanini Allah ambaye ni mungu wa Waislam anatoa ahadi ya Jehannam na si Akhera kama wafundishavyo Waislam?
Dogo hapo Mungu anasema hivi; “And if you all are in doubt about what I have revealed to My servant, bring a single chapter like it, and call your witnesses besides God if you are truthful.” (Quran 2:23)

These challenges were not just empty words with no one caring to prove them wrong.
 
Mwanzo 3:1-4

1 Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya Bwana Mungu. Akamwambia mwanamke, Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani?
2 Mwanamke akamwambia nyoka, Matunda ya miti ya bustanini twaweza kula;
3 lakini matunda ya mti ulio katikati ya bustani Mungu amesema, Msiyale wala msiyaguse, msije mkafa.
4 Nyoka akamwambia mwanamke, Hakika hamtakufa,

Angalia hapo pia kwenye bold hiyo ni kauli ya Ibilisi

kwa hiyo kauli iliyofuata baada ya kauli tangulizi. Huyo ni Kafiri, Mungu alisema ukila UTAKUFA HAKIKA akaja Ibilisi akasema ukila HUTAKUFA HAKIKA, kwa hiyo kauli iliyofuata ya kupinga maneno ya Mwenyezi Mungu ni ya UPINGAJI, kwa hiyo Ibilisi ni KAFIRI wa kwanza

Quran 38:4 Na walistaajabu kuwajia mwonyaji anaye tokana nao wenyewe, na makafiri wakasema: Huyu ni mchawi, mwongo.

Angalia hiyo aya kutoka kwenye Qurani, kulingana na hiyo aya makureshi wa kabila la Muhammad ambalo ni makafiri, alipowaambia kuwa yeye ni mtume walistaajabu ndipo waliposema huyu ni mchawi na muongo, walimpinga kwa kuwa wanajua huyu ni miongoni mwetu, kwa hiyo Muhammad alikuwa miongoni mwa makafiri

Halafu kuhusiana na swala la Biblia naiamini...

Okay tuendelee...
Wacha kupoteza watu wewe, Mtume (s.a.w.) tangu utotoni mwake aliepukana na tabia zote chafu zenye kuchukiza watu kwa ujumla. Pia aliepushwa na matendo yote maovu yenye kuchukiza Allah (s.w.) ambayo yalionekana mazuri mbele za watu wa jamii yake.
Tangu utotoni mwake, Muhammad (s.a.w.) alisifika kwa kila sifa nzuri zilizobainishwa katika Qur'an. Bibi Aisha (r.a.) alipoulizwa juu ya tabia ya Mtume (s.a.w.) alijibu kuwa tabia yake ni Qur'an yaani amejipamba na vipengele vyote vya tabia njema vilivyobainishwa katika Qur'an tangu utotoni mwake. Qur'an yenyewe miongoni mwa aya zake za mwanzo mwanzo kushuka, inamsifu Mtume (s.a.w.) kwa tabia yake tukufu: "Na bila shaka unatabia njema kabisa"

Prophet Muhammad: Mkweli na Muaminifu Tabia yake njema iliyoshehenezwa na ukweli, uaminifu, uchungaji ahadi na mahusiano mema na watu wote ilimfanya Muhammad (s.a.w.) kujulikana na kupewa heshima na hadhi na watu wa jamii yake. Hapakutokea kijana mwenye tabia ya mfano wake katika Bara Arabu nzima. Umaarufu na hadhi yake katika jamii, ulidhihirishwa na majina ya heshima aliyoitwa kwayo. Ni wakati huu wa ujana wake aliitwa kwa majina ya Muhammad As-Sadiq na Muhammad Al-Amin.
 
Hapana maana ya Kafiri siye aliyekufuru kumbuka hilo fungu la Yuda nililokupa ni la muda mrefu kabla hata kina Sayyidina Abubakari, Umari, Uthumani na Ali hawajaandika Qurani na wala Uislamu haujaanzishwa na Muhammad hajazaliwa

kwa hiyo kwa maana hiyo katika hilo fungu yule anayemkana Bwana wetu Yesu Kristo ni Kafiri, kwa maana hiyo wewe ni Kafiri kwa muktadha huo, kwa sababu hilo sio neno geni na wala alijaanzia kwenye Quran, na Biblia ilikuwepo kabla ya Quran

KAFIRI (KAFIRUNA) ni neno la kiarabu lenye maana ya MPINGAJI yaani anayepinga maneno ya Mwenyezi Mungu, nitatoa mfano, ili kuwe na mpingaji yaani KAFIRI ni lazima kuwe na kauli tangulizi iliyo tangulia , kusema kwa hiyo Kauli itakayofuata ya kupinga inaitwa kauli ya MPINGAJI kwa kiarabu KAFIRI, angali huu mfano

Mwanzo 2:16-17

16 Bwana Mungu akamwagiza huyo mtu, akisema, Matunda ya kila mti wa bustani waweza kula,
17 walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika.

Angalia hapo kwenye bold hii ni kauli ya Mwenyezi Mungu, sasa angalia kauli ya shetani hapa chini

Mwanzo 3:1-4

1 Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya Bwana Mungu. Akamwambia mwanamke, Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani?
2 Mwanamke akamwambia nyoka, Matunda ya miti ya bustanini twaweza kula;
3 lakini matunda ya mti ulio katikati ya bustani Mungu amesema, Msiyale wala msiyaguse, msije mkafa.
4 Nyoka akamwambia mwanamke, Hakika hamtakufa,

Angalia hapo pia kwenye bold hiyo ni kauli ya Ibilisi

kwa hiyo kauli iliyofuata baada ya kauli tangulizi. Huyo ni Kafiri, Mungu alisema ukila UTAKUFA HAKIKA akaja Ibilisi akasema ukila HUTAKUFA HAKIKA, kwa hiyo kauli iliyofuata ya kupinga maneno ya Mwenyezi Mungu ni ya UPINGAJI, kwa hiyo Ibilisi ni KAFIRI wa kwanza

Quran 38:4 Na walistaajabu kuwajia mwonyaji anaye tokana nao wenyewe, na makafiri wakasema: Huyu ni mchawi, mwongo.

Angalia hiyo aya kutoka kwenye Qurani, kulingana na hiyo aya makureshi wa kabila la Muhammad ambalo ni makafiri, alipowaambia kuwa yeye ni mtume walistaajabu ndipo waliposema huyu ni mchawi na muongo, walimpinga kwa kuwa wanajua huyu ni miongoni mwetu, kwa hiyo Muhammad alikuwa miongoni mwa makafiri

Halafu kuhusiana na swala la Biblia naiamini...

Okay tuendelee...

Safi sana mkuu wa chuo.

Kwa hakika napenda unavyojibu hoja na unavyofafanua.

Mungu atakulipa kwani yeye anapenda wasema kweli.
...
Kwa mujibu wa maelezo yako unamanisha neno kafiri linamaana tofauti linavyotumiwa na wakiristo ukilinganisha na linavyotumiwa na waislamu.

Kwa mantiki hiyo, Wewe mkuu wa chuo ni kafiri kwa imani yangu.

Na mimi Mashaxizo ni kafiri kwa imani yako.

Jee mpaka hapo tuko pamoja?
...

Nimekuuliza Bible unaiamini yote au baadhi ya aya na umejibu unaiamini. But hukujibu kama nilivyokuuliza! Kwani hata mimi najua kwamba waiamini bible, nisichokijua ni kwamba unaiamini yote au baadhi!?

Ila sio kesi, kwa vile uliliona swali vizuri na ukaamua kujibu hivyo, MIMI KWA MANENO YAKO NITACHUKULIA UNAIAMINI YOTE.

Twende taratibu.
Jee tuko pamoja mpaka hapo?
 
Hapana maana ya Kafiri siye aliyekufuru kumbuka hilo fungu la Yuda nililokupa ni la muda mrefu kabla hata kina Sayyidina Abubakari, Umari, Uthumani na Ali hawajaandika Qurani na wala Uislamu haujaanzishwa na Muhammad hajazaliwa

kwa hiyo kwa maana hiyo katika hilo fungu yule anayemkana Bwana wetu Yesu Kristo ni Kafiri, kwa maana hiyo wewe ni Kafiri kwa muktadha huo, kwa sababu hilo sio neno geni na wala alijaanzia kwenye Quran, na Biblia ilikuwepo kabla ya Quran

KAFIRI (KAFIRUNA) ni neno la kiarabu lenye maana ya MPINGAJI yaani anayepinga maneno ya Mwenyezi Mungu, nitatoa mfano, ili kuwe na mpingaji yaani KAFIRI ni lazima kuwe na kauli tangulizi iliyo tangulia , kusema kwa hiyo Kauli itakayofuata ya kupinga inaitwa kauli ya MPINGAJI kwa kiarabu KAFIRI, angali huu mfano

Mwanzo 2:16-17

16 Bwana Mungu akamwagiza huyo mtu, akisema, Matunda ya kila mti wa bustani waweza kula,
17 walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika.

Angalia hapo kwenye bold hii ni kauli ya Mwenyezi Mungu, sasa angalia kauli ya shetani hapa chini

Mwanzo 3:1-4

1 Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya Bwana Mungu. Akamwambia mwanamke, Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani?
2 Mwanamke akamwambia nyoka, Matunda ya miti ya bustanini twaweza kula;
3 lakini matunda ya mti ulio katikati ya bustani Mungu amesema, Msiyale wala msiyaguse, msije mkafa.
4 Nyoka akamwambia mwanamke, Hakika hamtakufa,

Angalia hapo pia kwenye bold hiyo ni kauli ya Ibilisi

kwa hiyo kauli iliyofuata baada ya kauli tangulizi. Huyo ni Kafiri, Mungu alisema ukila UTAKUFA HAKIKA akaja Ibilisi akasema ukila HUTAKUFA HAKIKA, kwa hiyo kauli iliyofuata ya kupinga maneno ya Mwenyezi Mungu ni ya UPINGAJI, kwa hiyo Ibilisi ni KAFIRI wa kwanza
Wacha nyimbo nataka unionyeshe wapi Yesu alianzisha ukristo au Mussa au Ibrahim? Kama huna we kubali kauli ya Yesu aliyosema yey ni Muislam.
hebrew_2.gif

"Ein talmeed na'leh 'al rabbo; shekken kal adam she'MUSHLAM yihyeh k'rabbo."
Translation in English: "No student can be above his teacher, but everyone that is a MUSLIM, can be as his teacher." Yani dogo we utasumbuka sana kujua ukweli wa Yesu kama huisomi Bibilia yote, unaruka page kwa page. Point zingine unazikataa za ukweli za Yesu, na unachukua za Paulo alizo pachika za uwongo haswa hio ya kusema Yesu ni Mungu hata huyo huyo Paulo anasema hadhani kama Yesu ni Mungu, sa we kichaa ndio unazikubali au? Poleni sana.
 
Safi sana mkuu wa chuo.

Kwa hakika napenda unavyojibu hoja na unavyofafanua.

Mungu atakulipa kwani yeye anapenda wasema kweli.
...
Kwa mujibu wa maelezo yako unamanisha neno kafiri linamaana tofauti linavyotumiwa na wakiristo ukilinganisha na linavyotumiwa na waislamu.

Kwa mantiki hiyo, Wewe mkuu wa chuo ni kafiri kwa imani yangu.

Na mimi Mashaxizo ni kafiri kwa imani yako.

Jee mpaka hapo tuko pamoja?
...

Nimekuuliza Bible unaiamini yote au baadhi ya aya na umejibu unaiamini. But hukujibu kama nilivyokuuliza! Kwani hata mimi najua kwamba waiamini bible, nisichokijua ni kwamba unaiamini yote au baadhi!?

Ila sio kesi, kwa vile uliliona swali vizuri na ukaamua kujibu hivyo, MIMI KWA MANENO YAKO NITACHUKULIA UNAIAMINI YOTE.

Twende taratibu.
Jee tuko pamoja mpaka hapo?
Okay sawa tupo pamoja tuendelee...
 
Sawa kama unaiamini yote.

Swali:
Jee Yesu ni mtu au ni Mungu?
Yesu ni mwana wa Mungu na ni Mungu pia...

na sababu ni hizi

1. Mungu ni wa milele
2. Mungu ndiye muumbaji wa vyote
3. Mungu ana uwezo wote, Anaweza kujidhihirisha kuonekana au kutokuonekana, kwasababu ana uwezo wote...
4. Mungu ndiye anasamehe dhambi za watu...
5. Mungu yupo mahali pote
6. Mungu anayejua yote hata yaliyo katika mioyo yetu...
7. Mungu ni Nuru ya mbingu na ardhi...
8. Mungu ndiye anayewatuma mitume, manabii na malaika

Bwana Yesu anazosifa na uwezo wote huo wote

Waebrania 13:8 Yesu Kristo ni yeye yule, jana na leo na hata milele.

Yohana 8:58 Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko.

Yohana 17:5 Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako.

Hayo maandiko hapo juu yote yanasema Yesu ni wa milele, na sifa za kuwako milele ni za Mungu

Zaburi 90:2 Kabla haijazaliwa milima, wala hujaiumba dunia, Na tangu milele hata milele ndiwe Mungu.

Isaya 57:15 Maana yeye aliye juu, aliyetukuka, akaaye milele; ambaye jina lake ni Mtakatifu; asema hivi; Nakaa mimi mahali palipoinuka, palipo patakatifu; tena pamoja na yeye aliye na roho iliyotubu na kunyenyekea, ili kuzifufua roho za wanyenyekevu, na kuifufua mioyo yao waliotubu.

Yesu ndiye neno la Bwana lililoumba Vyote

Zaburi 33:6 Kwa neno la Bwana mbingu zilifanyika, Na jeshi lake lote kwa pumzi ya kinywa chake.

kumjua neno pitia Yohana 1

Wakolosai 2:2 ili wafarijiwe mioyo yao, wakiunganishwa katika upendo, wakapate utajiri wote wa kufahamu kwa hakika, wapate kujua kabisa siri ya Mungu, yaani, Kristo;

Tito 2:13 tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;

Yohana 13:13 Ninyi mwaniita, Mwalimu, na, Bwana; nanyi mwanena vema, maana ndivyo nilivyo.

Waebrania 1:1-2

1 Mungu, ambaye alisema zamani na baba zetu katika manabii kwa sehemu nyingi na kwa njia nyingi,
2 mwisho wa siku hizi amesema na sisi katika Mwana, aliyemweka kuwa mrithi wa yote, tena kwa yeye aliufanya ulimwengu.

Pitia kwanza hayo maelezo nitarudi...
 
Nimezipitia zote na ziko sawa kwa mujibu wa biblia.

Ktk aya ulizoziweka hapo. Mimi nimezigawa sehemu 3:

1
Aya moja inasema Yesu ni Mwalimu. Yohana 13: 13.

2
Aya nyingi hapo zinaongelea sifa za Mungu.

3
Aya nyingi lakini si nyingi kama no 2 hapo. Zinasema Yesu ni Mungu. Katika kundi hili, aya nyingi zinasema Yesu ni Mungu indirect na aya chache zimesema Yesu ni Mungu direct kwa mfano: Wakolosai 2: 2 na Tito 2: 13.

Jee tuko pamoja mpaka hapo?

Katika maelezo yako na aya ulizoweka, Hakuna sehemu umesema Yesu ni Mtoto wa Mungu.

Jee tuko pamoja na hapo?
...
Kundi la kwanza la aya zako.

Umeweka Yohana 13: 13. Inasema hivi:

Ninyi MWANIITA MWALIMU na bwana, nanyi mwanena vyema, MAANA NDIVYO NILIVYO.

Safi kabisa, hapa nakubaliana nawe kwa asilimia 100.

Fungua Matayo 12: 38. Inasema hivi:

Wafarisayo na waandishi walimwambia, 'MWALIM, twataka kuona ishara kwako'...

Siumeona hapo?
Yesu kakubali Yeye ni mwalimu na waliekuwa nae walimwita mwalim.

Swali:

Waliokuwa na Yesu walimwita mwalimu, wewe usiekuwa naye, Yesu unamwita nani? (Hili ni swali no 1)

Kundi la pili la aya ulizoweka, linatoa sifa za Mungu. Nakubaliana nawe kwa asilimia mia.

Kundi la tatu katika aya ulizoweka, zinasema YESU NI MUNGU.

Hapo napinga. Ila sipingi kwa ubishi.

Fungua Yohana 8: 40. Yesu anasema hivi:

Lakini sasa, mnatafuta kuniua MIMI MTU ambaye nimewambia iliyokweli.

Nyakati wa pili, 6: 18. Inasema hivi:

Lakini Mungu, Je? Yamkini atakaa na watu duniani.

Hapo imekuja interm of question. Yaani Mungu akae na watu duniani?
Masikini si wangempiga roba! Itakuaje fulani umpe utajiri afu mimi unipe umasikini?!!

Hosea 11: 9 inasema hivi:

Sitatumia ukali wa hasira yangu, sitarudi kumuangamiza Ibrahim, KWA MAANA, MIMI NI MUNGU, SI MWANADAMU MIMI.

Swali la pili.
Umesema unaamini bible yote, Jee unaamini na aya tatu hizo ambazo Yesu kasema yeye ni Mtu na Mungu kasema yeye si binadamu?
 
Hapo nilipoweka red sio kwamba hiyo aya haipo ila ninazo aya nyingi sana ngojea nikuwekee baadhi

Luka 1:32 Huyo atakuwa mkuu, ataitwa Mwana wa Aliye juu, na Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, baba yake.

Luka 1:35 Malaika akajibu akamwambia, Roho Mtakatifu atakujilia juu yako, na nguvu zake Aliye juu zitakufunika kama kivuli; kwa sababu hiyo hicho kitakachozaliwa kitaitwa kitakatifu, Mwana wa Mungu.

Luka 8:28 Alipomwona Yesu alipiga kelele, akaanguka mbele yake, akasema kwa sauti kuu, Nina nini nawe, Yesu, Mwana wa Mungu aliye juu? Nakusihi usinitese.

Wagalatia 4:4 Hata ulipowadia utimilifu wa wakati, Mungu alimtuma Mwanawe ambaye amezaliwa na mwanamke, amezaliwa chini ya sheria,

Hata aya zinazozungumza Yesu ni Mungu zipo zaidi ya hizo, lakini ngojea tuendelee
...
Kundi la kwanza la aya zako.

Umeweka Yohana 13: 13. Inasema hivi:

Ninyi MWANIITA MWALIMU na bwana, nanyi mwanena vyema, MAANA NDIVYO NILIVYO.

Safi kabisa, hapa nakubaliana nawe kwa asilimia 100.

Fungua Matayo 12: 38. Inasema hivi:

Wafarisayo na waandishi walimwambia, 'MWALIM, twataka kuona ishara kwako'...

Siumeona hapo?
Yesu kakubali Yeye ni mwalimu na waliekuwa nae walimwita mwalim.

Swali:

Waliokuwa na Yesu walimwita mwalimu, wewe usiekuwa naye, Yesu unamwita nani? (Hili ni swali no 1)
Yesu Kristo ni Mungu, Yesu Kristo ni Masihi...
Kundi la pili la aya ulizoweka, linatoa sifa za Mungu. Nakubaliana nawe kwa asilimia mia.

Kundi la tatu katika aya ulizoweka, zinasema YESU NI MUNGU.

Hapo napinga. Ila sipingi kwa ubishi.

Fungua Yohana 8: 40. Yesu anasema hivi:

Lakini sasa, mnatafuta kuniua MIMI MTU ambaye nimewambia iliyokweli.

Nyakati wa pili, 6: 18. Inasema hivi:

Lakini Mungu, Je? Yamkini atakaa na watu duniani.

Hapo imekuja interm of question. Yaani Mungu akae na watu duniani?
Masikini si wangempiga roba! Itakuaje fulani umpe utajiri afu mimi unipe umasikini?!!

Hosea 11: 9 inasema hivi:

Sitatumia ukali wa hasira yangu, sitarudi kumuangamiza Ibrahim, KWA MAANA, MIMI NI MUNGU, SI MWANADAMU MIMI.

Swali la pili.
Umesema unaamini bible yote, Jee unaamini na aya tatu hizo ambazo Yesu kasema yeye ni Mtu na Mungu kasema yeye si binadamu?
Angalia hili andiko Mungu akisema

Luka 3:22 Roho Mtakatifu akashuka juu yake kwa mfano wa kiwiliwili, kama hua; sauti ikatoka mbinguni, Wewe ndiwe Mwanangu, mpendwa wangu; nimependezwa nawe.

Ili hapa fungu la Wafilipi linajibu hizo hoja zako, Wafilipi 2:5-11

5 Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya Kristo Yesu;
6 ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho;
7 bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu;
8 tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba.
9 Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina;
10 ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi;
11 na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba.

1 Timotheo 3:16 Na bila shaka siri ya utauwa ni kuu. Mungu alidhihirishwa katika mwili, Akajulika kuwa na haki katika roho, Akaonekana na malaika, Akahubiriwa katika mataifa, Akaaminiwa katika ulimwengu, Akachukuliwa juu katika utukufu.

Kumbe alipokuja duniani alikuja kwa umbo la mwanadamu, Halafu pia Mungu ni Roho...
 
Dogo hapo Mungu anasema hivi; “And if you all are in doubt about what I have revealed to My servant, bring a single chapter like it, and call your witnesses besides God if you are truthful.” (Quran 2:23)

These challenges were not just empty words with no one caring to prove them wrong.

Who do you think is willing to make such a book while knowing it is the consolidation of satanic verses? No sane person will do that. Nevertheless, Satan did it and have Satanic verses in the Quran. Accordingly, Satana has proved that is either Allah or able to impute his verses in the Quran.

We know that Satan gave revelation which Muhammad recited as being divine Qur'an. This revelation was sufficiently "like it" because Muhammad himself was not able to recognize that those verses were from Satan instead of from God.

So, the claim that no one can produce Quran is bogus ad infinitum.

Here is some of the proof:

"By the Star when it sets, your comrade does not err, nor is he deceived; nor does he speak out of (his own) desire..."

and when he came to the words:

Have you thought upon al-Lat and al-Uzza and Manat, the third, the other?
Satan cast on his tongue, because of his inner debates and what he desired to bring to his people, the words:

"These are the high flying cranes; verily their intercession is accepted with approval. (172)
 
Jionee wewe huruma kwanza sababu huna Mungu, kutokana na Bibilia zenu Mungu wenu kasha kufa tena amebeba dhambi zenu zote sa mtu aliye fiwa na Mungu si tabu tu kuishi duniani, mana hana tena wakumsaidia Mungu wake kafa, hamsikii wala hajui anacho fanya au mana ya KUFA ni kitu kingine kwa wakristo?
Those are your opinions and you are entitled of it, but it does not mean that, your opinions are impeccable but rather slippery slope. You can not use Quranic knowledge to teach about Jesus who is God and came more than 700 before the revelation of Quranic ayats from Jibril who is not God.

Quran is not from God but Jibril. Is Jibril and Allah the same person since Allah has no helper? You don't need to answer this question. It is food for thought.

Pili Mungu wenu kutokana na Bibilia yenu nimekuwekea hapo ana laana, sa mtu akisha kuw aana laana na haswa Mungu wenu kama mnavyo dai ana laana sa nyie mtakuw amna laana sana au uwongo? Tatizo lako dogo huw asijui hufahamu tunacho kuwekea au tukikuambia soma husomi, nadhani wazazi wako wanakazi sana mana hufahamu hata ufahamishwe vipi. Wacha nikuwekee Qur'an inasema nini;They ask you - WHO IS ALLAH?

So, you do know and consent that Jesus is God. I asked you previously, how possible is it for Jesus to be able to save the world per the same verses you annexed? YOU HAVE FAILED TO ANSWER THAT BUT RUN just like Allah who hates questions.
In Sahih al-Bukhari, the most canonical hadith collection:

Volume 2, Book 24, Number 555:
Narrated Ash-sha'bi:
The clerk of Al-Mughira bin Shu'ba narrated, "Muawiya wrote to Al-Mughira bin Shu'ba: Write to me something which you have heard from the Prophet (p.b.u.h) ." So Al-Mughira wrote: I heard the Prophet saying, "Allah has hated for you three things:

1. Vain talks, (useless talk) that you talk too much or about others.

2. Wasting of wealth (by extravagance)

3. And asking too many questions (in disputed religious matters) or asking others for something (except in great need).
Does it mean that your deity is less knowledgeable or not God at all? Why is he scared of questions?

Say: He is Allah, He is One; The Self-Sufficient,
The Eternal God; He begets not,
nor was He begotten;
There is none equal to Him.

[The Holy Qur'an, Surah 112:1-4]
It is Jibril asking your clergy Muhammad to say those words, although we all know that Muhammad never said those words neither repeated them.

Where in the Quran does it say that Muhammad was the last Prophet and Messenger of GOD?
Let us look at the following Noble Verse in the Noble Quran:
"Muhammad is not the father of any of your men, but (he is) the Apostle of God, and the Seal of the Prophets: and God has full knowledge of all things. (The Noble Quran, 33:40)"
Quran is not trustworthy, since it carries Satanic verses. Your book fails the litmus test and does not carry the words of God but a certain angle called Jibril.

WHEREFORE, there is no verse in the Quran where Allah is claiming divinity, inter-alia, his prophet claiming to be the send by God, in contrast, there are numerous verses where Allah is saying, THERE IS NO GOD. Furthermore, Quran is not the words of God but JIBRIL.
 
If you are using this experience for self-improvement. When you play to your best self, the result is a positive, focus-on your own-weaknesses.
I am testing your comprehension. It seems you guys are either blind or decided to act wantonly since you know that believing in Jesus will terminate your earthly life.

An Nisa 4:89 They but wish that ye should reject Faith, as they do, and thus be on the same footing (as they): But take not friends from their ranks until they flee in the way of Allah (From what is forbidden). But if they turn renegades, seize them and slay them wherever ye find them; and (in any case) take no friends or helpers from their ranks;-
 
Dogo tatizo lako huwa unarukia train kwa mabele, hivi we una umri gani? unafika hata miaka 13 wewe? Ngoja nikupe story yake hapo na ukamuonyeshe na baba yako anaweza nayeye kujifunza akawacha kukupeleka kanisani, sababu mnapoteza wakati wenu bure mtajuta.
وَإِذْ قَالَ إِبْرَاهِيمُ لِأَبِيهِ آزَرَ أَتَتَّخِذُ أَصْنَامًا آلِهَةً ۖ إِنِّي أَرَاكَ وَقَوْمَكَ فِي ضَلَالٍ مُّبِينٍ ( 74 ) Na pale Ibrahim alipo mwambia baba yake, Azar: Unayafanya masanamu kuwa ni miungu? Hakika mimi nakuona wewe na watu wako mmo katika opotofu ulio wazi.

وَكَذَٰلِكَ نُرِي إِبْرَاهِيمَ مَلَكُوتَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَلِيَكُونَ مِنَ الْمُوقِنِينَ ( 75 ) Na kadhaalika tulimwonyesha Ibrahim ufalme wa mbingu na ardhi, na ili awe miongoni mwa wenye yakini.

فَلَمَّا جَنَّ عَلَيْهِ اللَّيْلُ رَأَىٰ كَوْكَبًا ۖ قَالَ هَٰذَا رَبِّي ۖ فَلَمَّا أَفَلَ قَالَ لَا أُحِبُّ الْآفِلِينَ ( 76 ) Na ulipo muingilia usiku akiona nyota, akasema: Huyu ni Mola Mlezi wangu. Ilipo tua akasema: Siwapendi wanao tua.

فَلَمَّا رَأَى الْقَمَرَ بَازِغًا قَالَ هَٰذَا رَبِّي ۖ فَلَمَّا أَفَلَ قَالَ لَئِن لَّمْ يَهْدِنِي رَبِّي لَأَكُونَنَّ مِنَ الْقَوْمِ الضَّالِّينَ ( 77 ) Alipo uona mwezi unachomoza alisema: Huyu ndiye Mola Mlezi wangu. Ulipotua akasema: Kama Mola Mlezi wangu hakuniongoa, nitakuwa katika kaumu walio potea.

فَلَمَّا رَأَى الشَّمْسَ بَازِغَةً قَالَ هَٰذَا رَبِّي هَٰذَا أَكْبَرُ ۖ فَلَمَّا أَفَلَتْ قَالَ يَا قَوْمِ إِنِّي بَرِيءٌ مِّمَّا تُشْرِكُونَ ( 78 ) Na alipo liona jua linachomoza akasema: Huyu ndiye Mola Mlezi wangu. Huyu mkubwa kuliko wote. Lilipo tua, alisema: Enyi watu wangu! Mimi simo katika hayo mnayo fanyia ushirikina.

إِنِّي وَجَّهْتُ وَجْهِيَ لِلَّذِي فَطَرَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ حَنِيفًا ۖ وَمَا أَنَا مِنَ الْمُشْرِكِينَ ( 79 ) Hakika mimi nimeuelekeza uso wangu sawa sawa kwa aliye ziumba mbingu na ardhi, wala mimi si miongoni mwa washirikina
Dogo tatizo lako huwa hufahamu unadndia tu hujui unadandia wapi, ngoja nikufahamishe hapo Mungu anasema; Vipi ukachukue tena mahari kutoka kwa mwanamke ambaye ulisha muowa na umeisha muingilia haifai.
You did not answer my question.
 
Who do you think is willing to make such a book while knowing it is the consolidation of satanic verses? No sane person will do that. Nevertheless, Satan did it and have Satanic verses in the Quran. Accordingly, Satana has proved that is either Allah or able to impute his verses in the Quran.[/FONT]

We know that Satan gave revelation which Muhammad recited as being divine Qur'an. This revelation was sufficiently "like it" because Muhammad himself was not able to recognize that those verses were from Satan instead of from God.

So, the claim that no one can produce Quran is bogus ad infinitum.

Here is some of the proof:

"By the Star when it sets, your comrade does not err, nor is he deceived; nor does he speak out of (his own) desire..."

and when he came to the words:

Have you thought upon al-Lat and al-Uzza and Manat, the third, the other?
Satan cast on his tongue, because of his inner debates and what he desired to bring to his people, the words:

"These are the high flying cranes; verily their intercession is accepted with approval. (172)
The Qur'an makes it clear that God is author of the Qur'an, Surah 26:210-212 The devils did not bring it (the Quran) down. It is not meet for them, nor is it in their power, Lo! verily they are banished from the hearing. Qur'an does not demand belief. the Quran invites belief, and here is the fundamental difference. It is not simply delivered as; Here is what you are to believe, but throughout the Quran the statements are always; Have you O man thought of such and such, have you considered so and so. It is always an invitation for you to look at the evidence; now what do you believe .

Now let us see; Bible's original authors are mysterious people. No one knows who they were. Mark 3:22-26
[SUP]22[/SUP]And the teachers of the law who came down from Jerusalem said, "He is possessed by Beelzebub[SUP][c][/SUP]! By the prince of demons he is driving out demons." [SUP]23[/SUP]So Jesus called them and spoke to them in parables: "How can Satan drive out Satan? [SUP]24[/SUP]If a kingdom is divided against itself, that kingdom cannot stand. [SUP]25[/SUP]If a house is divided against itself, that house cannot stand. [SUP]26[/SUP]And if Satan opposes himself and is divided, he cannot stand; his end has come.
The story is repeated in the gospel of Matthew; Matthew 12:24-26 [SUP]24[/SUP]But when the Pharisees heard this, they said, "It is only by Beelzebub,[SUP][d][/SUP] the prince of demons, that this fellow drives out demons." [SUP]25[/SUP]Jesus knew their thoughts and said to them, "Every kingdom divided against itself will be ruined, and every city or household divided against itself will not stand. [SUP]26[/SUP]If Satan drives out Satan, he is divided against himself. How then can his kingdom stand? AND btw; Most Christians believe that the God of the Bible is the most fair and just and most important, most loving; Let us see how much truth this belief really holds; Many will say to me (Jesus) on that day, 'Lord, Lord, did we not prophesy in your name, and in your name drive out demons and perform many miracles?' Then I will tell them plainly, 'I never knew you. Away from me, you evildoers!' (From the NIV Bible, Matthew 7:22-23)" Let us look at further verses from the Bible that prove that most Christians are going to Hell;"If your right eye causes you to sin, gouge it out and throw it away. It is better for you to lose one part of your body than for your whole body to be thrown into hell. (From the NIV Bible, Matthew 5:29)"
 
Those are your opinions and you are entitled of it, but it does not mean that, your opinions are impeccable but rather slippery slope. You can not use Quranic knowledge to teach about Jesus who is God and came more than 700 before the revelation of Quranic ayats from Jibril who is not God.
I see how can Christians be so sure they're right and everyone else is wrong? The Bible proclaim Jesus existed before Abraham I don't think so, Lets us see ; John 8:39 ►
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]
"Abraham is our father," they answered. "If you were Abraham's children," said Jesus, "then you would do what Abraham did.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Quran is not from God but Jibril. Is Jibril and Allah the same person since Allah has no helper? You don't need to answer this question. It is food for thought. .
One might wonder if you get that information direct from God.
So, you do know and consent that Jesus is God. I asked you previously, how possible is it for Jesus to be able to save the world per the same verses you annexed? YOU HAVE FAILED TO ANSWER THAT BUT RUN just like Allah who hates questions..
Jesus didn't say he existed before Adam, why?

In Sahih al-Bukhari, the most canonical hadith collection:

Volume 2, Book 24, Number 555:
Narrated Ash-sha'bi:
The clerk of Al-Mughira bin Shu'ba narrated, "Muawiya wrote to Al-Mughira bin Shu'ba: Write to me something which you have heard from the Prophet (p.b.u.h) ." So Al-Mughira wrote: I heard the Prophet saying, "Allah has hated for you three things:

1. Vain talks, (useless talk) that you talk too much or about others.

2. Wasting of wealth (by extravagance)

3. And asking too many questions (in disputed religious matters) or asking others for something (except in great need).
Does it mean that your deity is less knowledgeable or not God at all? Why is he scared of questions?
According to their basic definitions, they both represent a supreme power. However, sometimes God as a term is used to represent the only supreme power, whereas deity can be used to refer to any of the forms of this supreme power and thus can be multiple in number.

It is Jibril asking your clergy Muhammad to say those words, although we all know that Muhammad never said those words neither repeated them.

Quran is not trustworthy, since it carries Satanic verses. Your book fails the litmus test and does not carry the words of God but a certain angle called Jibril.

WHEREFORE, there is no verse in the Quran where Allah is claiming divinity, inter-alia, his prophet claiming to be the send by God, in contrast, there are numerous verses where Allah is saying, THERE IS NO GOD. Furthermore, Quran is not the words of God but JIBRIL.
I'm pretty sure that, Jibreel is not Satan.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom