Mkuu nimekwisha lijua lengo lake anataka kuleta andiko halafu aweke maana yake yeye ili aweze kupotosha... nimekwisha msoma muda mrefu...
Si unaona alivyoleta yale maandiko kwenye Isaya kuhusiana na Tiro hajui hata kinazungumziwa nini, yeye amekariri ukahaba tu halafu anaweka na hitimisho...
Sasa na hapo amekomalia hilo swali yaani hapo nikijibu kati ya hayo mawili utaona andiko atakalolileta hata hatojua kinazungumziwa nini, halafu baadae atauliza swali hadi utashangaa...
Jamaa anachokifanya yaani kana kwamba sisi tumekuwa Wafuasi wa Yesu wakati hatujui tunasimamia nini, sasa yeye ana assume kwamba anatufungua macho, kumbe watu wanamshangaa tu...
ni sawa na mtu yule anayejifunza kuruka sarakasi, sehemu yoyote atataka kuruka tu, hadi sokoni ili watu wamwone tu kwamba na yeye ni mtaalamu, kumbe watu wapo na shughuli zao tu... ndio anachokifanya jamaa...