Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Status
Not open for further replies.
Hahahahaaa.

Ivi ntuzu ni kweli hujaangalia nyuma ya bible yako na kujionea sinagogi ni nini?
kwani wameandika Msikiti wa Wayahudi au Msikiti wa Waislamu!?

Hata kule Nigeria kuna Synagogue Church Of All Nations
 
Hivi na kula kitu bila kuchinja au kimekufa siku hizi mmewacha au bado? Kumbe Yesu aliwafundishe mle nyamafu? Dini yenu ni ushetani mtupu. Nakumbuka zamani dingi akifa kuku au mbuzi anasema mpelekeni John pale atamla tu. Tukawa tunamuliza dingi vipi atakula kitu kimekufa akasema hao wakristo wanakula kitu kikifa ni halali kwao.
Where did you get that bunch of malarkey?

Surah Al Baqara 173.Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilicho tajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi kula Mzoga na damu na nyama ya Nguruwe. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
 
Mukarama, is an outside METEORITE OBJECT! and BTW Prophet Muhammad forbade us from worshiping any stone. Christians regularly to justify their idolatrous practices, such as prayers to Mary, by claiming that Muslims "worship" the Black Stone at the Kaaba in Makkah.

So, Allah never stopped you guys from worshiping the Black Stone. That is why I said, you guys worship stone like PAGANS.
169q6p4.jpg
 
jee wewe ni mchungaji au ni kondoo??????
Kwisha habari yako.

What do you get when you worship a Black Stone? A stone which has no life!! You kiss it, worship it, and bow to it. Weird religion.
2qsqulc.jpg
 
kwani wameandika Msikiti wa Wayahudi au Msikiti wa Waislamu!?

Hata kule Nigeria kuna Synagogue Church Of All Nations

Mkuu tunajadili vitu muhimu sn Lkn naona km Mtu anafanya masihala ktk haya tunayojadili..! Mi naungana na Eiyer na wewe kwamba Huyu mwenzetu ktk haya mambo hayawezi! Ameingia tu!
 
Last edited by a moderator:

Ni kweli mkuu jamaa haelewi scripture analeta kumbe watu wanamwona anafanya vituko tu...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wa chuo Naomba ujibu hili swali vyovyote vile uwezavyo km wewe ni kondoo wa Yesu au namna gani Tuone kile anachotaka kusema ndugu yetu!
Mkuu nimekwisha lijua lengo lake anataka kuleta andiko halafu aweke maana yake yeye ili aweze kupotosha... nimekwisha msoma muda mrefu...

Si unaona alivyoleta yale maandiko kwenye Isaya kuhusiana na Tiro hajui hata kinazungumziwa nini, yeye amekariri ukahaba tu halafu anaweka na hitimisho...

Sasa na hapo amekomalia hilo swali yaani hapo nikijibu kati ya hayo mawili utaona andiko atakalolileta hata hatojua kinazungumziwa nini, halafu baadae atauliza swali hadi utashangaa...

Jamaa anachokifanya yaani kana kwamba sisi tumekuwa Wafuasi wa Yesu wakati hatujui tunasimamia nini, sasa yeye ana assume kwamba anatufungua macho, kumbe watu wanamshangaa tu...

ni sawa na mtu yule anayejifunza kuruka sarakasi, sehemu yoyote atataka kuruka tu, hadi sokoni ili watu wamwone tu kwamba na yeye ni mtaalamu, kumbe watu wapo na shughuli zao tu... ndio anachokifanya jamaa...
 
Hahahaaa!

si umeona hapo?
KONDOO wako anakuamini ila wewe unaogopa, kwani mimi nitatumia quran? hapana. wewe waogopa maneno halisi ya biblia. COME UP WATU WANAFUATILIA HUU MJADALA.
 
Kikubwa mkuu ni kuwambo kujadili taratibu na kwa facts na lugha nzuri. Yani mkishaweka hayo makubaliano lazima waishiwe hoja. Lkn km mtajadili kwa mfumo ule wa hovyo watakushinda tu mkuu.

Ngoja tumsubiri Mashaxizo aje atupe majibu au huyu mwenzake Adiosamigo amsaidie....!
dogo Ntuzu , tuliza ball mimi hamniwezi wakristo wote wa humu JF hapa sijisifu lakini huwa nawachambulia Bible mpaa mnakimbia. Nilimuwachia ndugu Mashaxizo ammalize huyo anaye jidai eti mkuu wa chuo, sidhani hata secondary kamaliza huyo. Hana kitu ni kama wale kondoo wengine walio potea, hawajui wametoka wapi na wanaelekea wapi. Nyie wakristo mmebaki kumuabudu binadamu aliye zalliwa kwenye zizi la ngo'mbe ndio bibilia zenu zinasema vile au uwongo, yani huyo mungu wenu hana hata thamani basi, simgeficha aibu hio yakusema kazaliwa kwenye zizi la ngo'mbe, kweli nyie makondoo haswa.
 
Where did you get that bunch of malarkey?

Surah Al Baqara 173.Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilicho tajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi kula Mzoga na damu na nyama ya Nguruwe. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
Firimbi zako ziataishia hapa, wewe umefahamu lakini lugha hapo? soma unaambiwe usile nguruwe na hata Yesu alisema msile nguruwe. Sa kama Yesu ni Mungu wenu hamjamheshimu mungu wenu alipowakataza kula nguruwe. Mkaona Yesu ni mjinga bora Paulo anaakili haha. Waislam tunambiwe tusile kabisa nguruwe mpaa ukikosa chakula kabisa yani unaona mauti mbele yako ndio unaweza kumla. Wewe Kiswahili hufahamu na kizungu ndio zero kabisa umebaki ku copy na kupaste tu hapa. Tazama Bibilia zenu zinasema nini makondoo nyie. "Basi, usiiharibu kazi ya Mungu kwa sababu ya ubishi juu ya chakula. Vyakula vyote ni halali, lakini haifai kula chakula ambacho kitamfanya aanguke katika dhambi" (Waroma 14: 20). Pia, "Katika kuungana na Bwana Yesu, nina hakika kwamba hakuna kitu chochote kilicho najisi kwa asili yake" (Waroma 14: 14). Paulo amesema tena kuwa kila kitu alichoumba Mungu ni chema wala hakuna kinachohitaji kukataliwa (1 Timetheo 4: 3 – 5).
 
So, Allah never stopped you guys from worshiping the Black Stone. That is why I said, you guys worship stone like PAGANS.
169q6p4.jpg
This magnificent pile of shit destroyed by the god of lightning!!!

Touchdown_Jesus.jpg

Big Butter Jesus, Destroyed!! In the twinkling of an eye, MUNGU ANAMCHUKIA SANA mungu WA WAKRISTO.
 
Kwisha habari yako.

What do you get when you worship a Black Stone? A stone which has no life!! You kiss it, worship it, and bow to it. Weird religion.
2qsqulc.jpg
False Apostle Paul's god manifestt.
God was manifested in the flesh, 1 Timothy 3:16
Let this mind be in you which was also in Christ Jesus, who, being in the form of God, Philippians 2:5
Over the last two thousand years, the false apostle Paul and his christian followers have been saying (to the Jewish people), ‘Let's follow other gods, which you have not known; and let us serve them,' (Deuteronomy 13:2,3)
a god whom his fathers did not know…(Daniel 11:38)
 
Firimbi zako ziataishia hapa, wewe umefahamu lakini lugha hapo? soma unaambiwe usile nguruwe na hata Yesu alisema msile nguruwe. Sa kama Yesu ni Mungu wenu hamjamheshimu mungu wenu alipowakataza kula nguruwe. Mkaona Yesu ni mjinga bora Paulo anaakili haha. Waislam tunambiwe tusile kabisa nguruwe mpaa ukikosa chakula kabisa yani unaona mauti mbele yako ndio unaweza kumla. Wewe Kiswahili hufahamu na kizungu ndio zero kabisa umebaki ku copy na kupaste tu hapa. Tazama Bibilia zenu zinasema nini makondoo nyie. "Basi, usiiharibu kazi ya Mungu kwa sababu ya ubishi juu ya chakula. Vyakula vyote ni halali, lakini haifai kula chakula ambacho kitamfanya aanguke katika dhambi" (Waroma 14: 20). Pia, "Katika kuungana na Bwana Yesu, nina hakika kwamba hakuna kitu chochote kilicho najisi kwa asili yake" (Waroma 14: 14). Paulo amesema tena kuwa kila kitu alichoumba Mungu ni chema wala hakuna kinachohitaji kukataliwa (1 Timetheo 4: 3 – 5).
The words in red are not in the Quran. Quran said "dharura" ambayo haina uhusiano na mauti bali imewaruhusu kula pale inapokuwa dharura.

Kama Nguruwe ni haram, je unapo mla wakati wa dharura uharamu wake unaisha? Astaghfirullah. Vipi kuhusu KUHALISHWA KULA MIZOGO NA KUNYWA DAMU YA WANYAMA? Mbona umekimbia hayo? Hakika kuna Msiba kwenye dini yenu.

Surah Al Baqara 173.Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilicho tajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi kula Mzoga na damu na nyama ya Nguruwe. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
 
Ni bora kidogo huyu Mashaxizo, huyo mwingine anajadili kilevi unaweza ukaletewa li copy limoja hata alipolitolea hapaeleweki na haelewi ameleta kitu gani halafu anataka we ndio uchambue...

anataka kufanana na Elungata sema Elungata yeye akiishiwa anaanza kashifa na kutukana...
We unaye jidai mkuu wa chuo mimi huwa sina mambo ya copy and paste kama jamaa yako Ishmael na vasco da gamma. Mimi ni ki copy basi ujuwe sikatai na ninaleta dalili kabisa unajua nime copy na ku paste. Lazima ufahamu watu wanachukua PhD kwa kufanya vile lakini wanatumia akili zao sio kama Ishmael hajui anacho copy ni nini hahaha. Nadhani karithi tabia za wakristo hata bibilia zao hawajui namna ya kuzisoma Paulo kawavuruga akili sio mchezo. Lazima mfahamu nyie mnasema Shetani ni Mungu wa dunia sisi tunawachia muendelee kumtukuza shetani wenu na picture lake la kumfananisha na Yesu. Mkifa mmeumia moto wa kule ni moto ha hivi wengine mnaasili ya kuchunga ngo'mbe basi mtazikumbuka kondoo za dunia.
 
This magnificent pile of shit destroyed by the god of lightning!!!

Big Butter Jesus, Destroyed!! In the twinkling of an eye, MUNGU ANAMCHUKIA SANA mungu WA WAKRISTO.

Mbona unakimbia kijana. Kwanini mnaabudu Jiwe Jeusi?

169q6p4.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom