The words in red are not in the Quran. Quran said "dharura" ambayo haina uhusiano na mauti bali imewaruhusu kula pale inapokuwa dharura.
Kama Nguruwe ni haram, je unapo mla wakati wa dharura uharamu wake unaisha? Astaghfirullah. Surah Al Baqara 173.Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilicho tajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi kula Mzoga na damu na nyama ya Nguruwe. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
Ishmael kwa kizungu tunasema necessity , inapokuwa hakuna chakula kingine na kutokula kwako kunaweza kukusababishia mauti hapo , mwenyezimungu atakusamehe, ndio tafsiri yake kwa kiswahili tunasema dharura
