Huyo mnayesema Isa ambae mnang'ang'ania ni Yesu japokuwa mi sikubaliani, ndio atakuja afanye haya, soma hii aya
Qurani 43:61 Na kwa hakika yeye ni alama ya Saa ya Kiyama. Basi usiitilie shaka, na nifuateni. Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka.
Halafu pia nyie mnaambiwa mtuulize sisi, iweje tena mimi nije huko, ambapo nyie manatakiwa mjifunze kwetu, hii hapa aya
Qurani 10:94 Na ikiwa unayo shaka katika tuliyo kuteremshia, basi waulize wasomao Kitabu kabla yako. Kwa yakini imekwisha kujia Haki kutoka kwa Mola wako Mlezi. Basi usiwe miongoni mwa wenye shaka.
Umesoma hio Qur'an hizo sura za karibu ya point hio ukafahamu? Soma au nikuwekee usome UTAONA WANAMBIWA WAISLAM NDIO WANAINGIA PEPONI SIO NYIE WAKRISTO NYIE MTAISHIA NA Paulo MOTONI tu; Surat Az-Zukhruf (The Ornaments of Gold) - سورة الزخرف
This is a portion of the entire surah. View
more context, or the
entire surah.
43:60to top
Sahih International
And if We willed, We could have made [instead] of you angels succeeding [one another] on the earth.
Swahili
Na tungeli penda tungeli wafanyia miongoni mwenu Malaika katika ardhi wakifuatana.
43:61to top
Sahih International
And indeed, Jesus will be [a sign for] knowledge of the Hour, so be not in doubt of it, and follow Me. This is a straight path.
Swahili
Na kwa hakika yeye ni alama ya Saa ya Kiyama. Basi usiitilie shaka, na nifuateni. Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka.
43:62to top
Sahih International
And never let Satan avert you. Indeed, he is to you a clear enemy.
Swahili
Wala asikuzuilieni Shet'ani. Hakika yeye ni adui yenu wa dhaahiri.
43:63to top
Sahih International
And when Jesus brought clear proofs, he said, "I have come to you with wisdom and to make clear to you some of that over which you differ, so fear Allah and obey me.
Swahili
Na alipo kuja Isa na dalili zilizo wazi, alisema: Nimekujieni na hikima, na ili nikuelezeni baadhi ya yale mliyo khitalifiana. Basi mcheni Mwenyezi Mungu, na mnit'ii mimi.
43:64to top
Sahih International
Indeed, Allah is my Lord and your Lord, so worship Him. This is a straight path."
Swahili
Kwa hakika Mwenyezi Mungu ni Mola wangu Mlezi, na ni Mola wenu Mlezi. Basi Muabuduni Yeye tu. Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka.
43:65to top
Sahih International
But the denominations from among them differed [and separated], so woe to those who have wronged from the punishment of a painful Day.
Swahili
Lakini makundi kwa makundi yao yalikhitalifiana wao kwa wao. Ole wao walio dhulumu kwa adhabu ya siku chungu.
43:66to top
Sahih International
Are they waiting except for the Hour to come upon them suddenly while they perceive not?
Swahili
Je! Nini wanangojea ila Saa iwajie kwa ghafla na wala wao hawatambui?
43:67to top
Sahih International
Close friends, that Day, will be enemies to each other, except for the righteous
Swahili
Siku hiyo marafiki watakuwa ni maadui, wao kwa wao, isipo kuwa wachamngu.
43:68to top
Sahih International
[To whom Allah will say], "O My servants, no fear will there be concerning you this Day, nor will you grieve,
Swahili
Enyi waja wangu! Hamtakuwa na khofu siku hiyo, wala hamtahuzunika.
43:69to top
Sahih International
[You] who believed in Our verses and were Muslims.
Swahili
Ambao waliziamini Ishara zangu na walikuwa Waislamu.
43:70to top
Sahih International
Enter Paradise, you and your kinds, delighted."
Swahili
Ingieni Peponi, nyinyi na wake zenu; mtafurahishwa humo.
Hio Quote ya pili ya Qur'an hapo anambiwa mtume asiwe na wasi wasi na maneno ya Mungu kabisa ayafikishe tu kama walivyo yafikisha wale Mitume wa Mungu WENGINE.Surat Yūnus (Jonah) - سورة يونس
This is a portion of the entire surah. View more context, or the entire surah.
10:94to top
Sahih International
So if you are in doubt, [O Muhammad], about that which We have revealed to you, then ask those who have been reading the Scripture before you. The truth has certainly come to you from your Lord, so never be among the doubters.
Swahili
Na ikiwa unayo shaka katika tuliyo kuteremshia, basi waulize wasomao Kitabu kabla yako. Kwa yakini imekwisha kujia Haki kutoka kwa Mola wako Mlezi. Basi usiwe miongoni mwa wenye shaka.