Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasogei hapa, jamaa ni yeye huyo mfirist Bill Cosby aka #kahtaanNina haki ya kukuuliza sababu ya huyu jamaa huku mtaani anaeitwa Abdul kuiba na kubaka?
Inakuhusu kweli hiyo?
Sikua nahitaji maelezo meengi ambayo hayana mantiki kwakuwa mimi wala sioni umuhimu wa mipasho,uneishia kwenye red tu na ningekuelewa
Sasa swali linakuja [kwa mujibu wa jibu lako kwenye red],Adam ni mtume wa nani,yaani alitumwa kwa akina nani?
Ni kwanini mitume wengine wote ni Wayahudi kasoro Muhammad tu?
Nahii nyota juu ya Msikiti inatokea wapi.Sio bible tu hata kwa sisi waislamu mafundisho yetu yamekataza kabisaa mambo ya nyota na ni katika machukizo makubwa mnoo mbele m/mungu
Muhammad mungu wako alikuwa Mzungu koko.we kweli fwekeche! Hivi ibrahimu ni MYAHUDI?? Ayubu alikuwa MYAHUDI?? we utakuwa mke wa NETANYAHU
Mkuu hawa kondoo wana balaa gani?
Matusi ya nini wewe kijana. AkkhMziziMkavu
Mkuu Elimu ya Falaq Waachie makafiri.
IMANI YAKO inalipiga marufuku kabisa suala hili la Elimu za Kufundisha watu Kuwa Nyota Husababisha Faida au hasara, shida au raha. N.k
Hii NI HARAMU KUBWA MNO!
Na Ni.SHIRKI ISIO SAMEHEKA.
Tumuogope Mungu kikweli kwani mauti hayako mbali.
THE POISONING OF MUHAMMAD
Narrated 'Aisha: The Prophet in his ailment in which he died, used to say, "O 'Aisha! I still feel the pain caused by the food I ate at Khaibar, and at this time, I feel as if my aorta is being cut from that poison."
MUHAMMAD AND GABRIEL PRAY FOR HEALING
From Ibn Sa'd page 265
The apostle of Allah fell ill and he i.e. Gabriel, chanted on him, saying, "In the name of Allah I chant on to ward off from you every thing that harms you and (to ward off you) against every envier and from every evil eye and Allah will heal you."
MUHAMMAD'S DEATH
[again quoting from Bukhari's Hadith 5.713:]
Narrated 'Aisha:
The Prophet in his ailment in which he died, used to say, "O 'Aisha! I still feel the pain caused by the food I ate at Khaibar, and at this time, I feel as if my aorta is being cut from that poison."
QUESTIONS
1) If Muhammad were a real prophet of God, why didn't he catch the poison before he ate it?
2) If you believe that it was God's will for Muhammad to have eaten the poison, along with Bishr, why then did Muhammad try to get well? Even Gabriel prayed for Muhammad to get better, but Allah didn't answer that prayer either.
3) Why did Gabriel not know the will of Allah? Why would Gabriel pray if Allah had decided death?
4) Why did Muhammad force the other Muslims to drink the medicine he was given? One of them was one of his wives, and she was fasting. He forced her to break her fast and drink the medicine as well. Doesn't this sound vindictive and petty?
5) Why, when just before his death, did Muhammad have to utter a curse upon the Christians and the Jews? Wouldn't it have been better for Muhammad to pray for guidance for them? This also sounds like a jealous, bitter prayer to Allah. Muhammad prayed for and uttered curses instead of asking Allah to guide people.
6) Why would pleurisy, which is a normal infection of the lung membrane, be considered to be from Satan, but being poisoned would not be from Satan?
HOW DARE YOU CHRISTIANS Raping And Killing
Usikimbie kijana.Mungu anaweza na anauwezo kuliko malaika.
Lakini jee, unataka kusema wakati Gabriel kajigeuza mtu kulikua na Gabriel mwengine huko juu?
Mkuu wa chuo nahisi ungenipa nafasi ya kuthibisha kwamba bible imechakachuliwa, ili tumalize huu mjadala.
Usikimbie kijana.
Je, Allah ni Mungo? Hebu tuendelee kusoma Koran. Quran 1539. Akasema: Mola wangu Mlezi! Ilivyo kuwa umenipotosha na kunitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa duniani na nitawapoteza wote,
Katika aya hapo juu, Shetani anasema kuwa, Allah ndiye aliye mpotosha na kumfanya awe mbaya. Kumbe Allah ndie mwanzislishi wa upotoshaji/uongo? Ushaidi zaidi utaupata katia Surah na aya zifuatazo 3:54, 3:54, 7:123, 13:42, 14:46, 16:26, 16:45, 27:50, 40:45, 71:22 impf. act. 6:123, 6:123, 6:124, 8:30, 8:30, 8:30, 10:21, 12:102, 16:127, 27:70, 35:10 n.vb. 7:99, 7:99, 7:123, 10:21, 10:21, 12:31, 13:33, 13:42, 14:46, 14:46, 14:46, 27:50, 27:50, 27:51, 34:33, 35:10, 35:43, 35:43, 71:22 pcple. act. 3:54, 8:30
My friend 2013 , Allah does not force anyone to submit to Him. He has laid out a clear path and then made it known to them the two ways (Heaven or Hell). The person is always free to make his or her own choice. There is not Compulsion in the way of "Islam." Whoever choses to worship Allah without partners and is devoted to Him and is obeying His commands as much as possible, has grasped the firm handhold that will never break. Whoever denies God and choses some other way to worship or not to believe at all, for them there is an eternal punishment that is most horrible (Hell).All religions originated with Allah and then people began to add or take away from the teachings so as to take control over each other. Man made religions are an abomination before the Lord and will never be accepted. He will only accept true submission, obedience and in purity and peace to His commandments.Allah said in the Quran" Lakum Deenakum Waliya Deen", if thats what you belive then be it so.
Kutokana na Bibilia zenu ukisoma vizuri utaona mtu wa kwanza kutajwa kuwa Mtume ni Adam. Lazima Ufahamu Mtume ni yule ambaye anaongea na kusikia directly from God, and is commissioned by God to speak on His behalf to mankind. Mtume anaweza kukupa mafunzo ya vitu vitakavyo tokea siku za mbele, na kama ni Mtume kweli yatatokea. Adam is called a prophet because he spoke with God. Tazama Genesis at Chapter 2 and verses 16,17. Naukitaza verses 23.24 of the same chapter utaona Adam, under the authority of God, utaona kaleta sharia za ndoa baina ya mke na mme. Wakristo ndio sababu mnapotea siku hizi , hamfati sharia zake. Mnaozeshana wanaume kwa wanaume, na wanawake kwa wanawake hio ni lana ya kumkataa Adam kama si Mtume. Ukitaza verse 24, utaona Adam na Hawa (Eve) walikuwa the only two living souls on earth. In verse 24 Adam makes his first prophetic prediction and says of men and women, "Therefore shall a man leave his father and mother, and shall cleave unto his wife: and they shall be one flesh." Keep in mind that there were no fathers and mothers in the garden at this time so this represents a prediction of a coming event. Because prophets speak by inspiration from God, this tells us that God knew in advance that Adam and Eve would eat of the forbidden fruit, be forced out of the garden of Eden and would have children. We can see from these accounts that Adam was indeed the first Prophet who ever walked the earth.Wapi Adamu ameelezewa kama mtume!? Halafu nyie si ndio wimbo wenu huo kila mtume na kitabu chake na umma wake, sasa hao mitume wenu wengine vitabu vyao viko wapi!?
dogo tatizo lako wewe unaongea vingine na unajibu vingine. Swali lilikuwa Prophet Muhammad hajalelewa na baba yake sio? Na mimi nilijibu Prophet Mussa na yeye kalelewa na Firauni. Naona umeishiwa point sa unasema Mtume Muhammad alikuwa mshamba , una uhakika na maneno yako hayo au ndio uwongo wenu wa kila siku? Any way usituletee maneno mengi sisi waislam Prophet Mussa tuna mheshima kama Mtume Muhammad, na Mitume wote. Dogo wewe unasema Mtume Mussa kalelewa na mama yake kama mfalme sawa hakuna anaye kataa? Je mitume wote walilelewa kama wafalme? Nikisema wewe point zako ni za kitoto na hazina mana yoyote ile. Hivi mama yake Yesu alilelewa na nani, na je alikuwa tajiri? na Yesu alizaliwa katika mazingara gani? Hivi we hujui Yesu alizaliwa katika mazingara ya kimasikini na tena kazaliwa chini ya mtende? Wakati wakristo mlizidi kumdharaulisha nakusema kazaliwa kwenye zizi la ngo'mbe. Yesu dogo alipanda punda na Mtume Muhammad alipanda farasi sa nani ni bora hapo, kama tutafata akili zako:A S wink:Musa alilelewa kama prince, hakuwa mtumwa wakati wa-Israel walikuwa watumwa, ila alikuwa ana wa-feel kwani walikuwa ndugu zake. Alinyonyeshwa na mama yake mzazi aliyekaaa akajifanya ni house girl ili tu kumlinda mtoto wake asiuwawe. Binti mfalem alijua mtoto aliyemwokota hana wazazi. NA hakujua kuwa yule mama anayemlelea mtoto wake ni mama mzazi. ndio maana alimpa kazi ya kumlea huku akimlipa. kwahiyo maisha hayakuw amagumu kwa Musa.
Mudi alikuwa kama shamba boy wa mfanyabiashara bi khadija. Baadaye khadija akakubali kuolewa naye..very fortunate. Kufiwa na baba yake na yeye kukosa elimu ni dalili tosha kuwa aliishi maisha magumu, na kupelekea kuwa mfanyakazi wa mwanamke tajiri ambapo hadi miaka anafikisha miaka 40 alikuwa hajaoa.. Khadija na mjomba wake Waraqah ndiyo waliomshauri Mudi ajiite Mtume. Kwa maelezo kuwa ili jamaa yake iinuke.LAkini yeye alikuwa anasumbuliwa na mashetani kwa madai yake mwenyewe. Khadija alikubali kuolewa na Mudi kwakuona kuwa Biashara alizokuwa akizisimamia zilikuwa zinatengeneza faida kubwa, na hii ni kwakuwa alikuwa na nguvu za majini zinazovuta biashara, hivyo alikuwa akitengeneza faida kubwa sana, na pia alikuwa akianguka kifafa cha majini hadi huko mapangoni. Khadija akapenda boga na Ua lake.
Swala la yeye kuwa mtume haliendani na stori husika... mara mia moja...
Lakum Deenakum Waliya Deen
Dalili zako ziko wapi Mitume wote walikuwa wayahudi kasoro Muhammad. Mungu ana wambia wayahudi na wakristo leteni dalili au ushahidi kama mnao ukweli wowote kama Prophet Ibrahim alikuwa myahudi au mkristo. Qur'an 3:67. Abraham was not a Jew, nor a Christian; but he was one pure of faith and Muslim (who submitted to God with a sound heart). He was never of those who associate partners with God.Sikua nahitaji maelezo meengi ambayo hayana mantiki kwakuwa mimi wala sioni umuhimu wa mipasho,uneishia kwenye red tu na ningekuelewa
Sasa swali linakuja [kwa mujibu wa jibu lako kwenye red],Adam ni mtume wa nani,yaani alitumwa kwa akina nani?
Ni kwanini mitume wengine wote ni Wayahudi kasoro Muhammad tu?
Sa hapo ndio mnaniwacha hoi yani kila aliye andika hadith za Mtume Muhammad, akiwa ana jina la kislam basi yuko sawa hawezi kuwa kakosea. Hivi elimu watu wanasoma mara moja basi, hawachunguzi wanacho soma kiko sawa au fake? Yani mwalimu wako shule akisema 1+1+1=1 we ukubali tu, sababu ni mwalimu sio. Hivi kijana uliwahi kusoma kwenye bibilia yenu inasema hivi kwa kizungu; The Prophet who will come from the lands and "tents of Kedar" and "lands of Teman". Kedar and Teman (also called "Tema" in the Bible) are two of Ishmael's sons: Genesis 25:13-15. Hebu kasome ujuwe huyo Mtume ambaye kila Mmoja alikuwa anamgojea kama si Mtume Muhammad. Afu ukienda kusoam kitabu cha Matthew utaona hivi kwenye New Testament, Yesus anasema hivi kuambia Mayahudi: "So [For this reason; Therefore] I tell you that the kingdom of God will be taken away from you and given to people [a nation] who do the things God wants in his kingdom [will produce its fruit]." (Matthew 21:43). Jesus Christ here spoke about foreign people; non-Jews. Jesus was a Jew and was speaking with Jews. Siku njema wahi dogo kabla hujakata roho utajuta kuendelea kuabudu binadamu badala ya Mungu.Katika Kitabu cha Maisha Nabii Muhammad kilichoandikwa na Sheikh Abdullah Saleh Farsy unazipata hizo habari...
Ukianza ile movie yote ya Muhammad alipokuwa katika pango la Jabal Hira alipobanwa kule na mchizi ambaye hata hamjui mpaka akaenda kumuelezea mke wake Khadija, mkewe alidhani kwanza ana homa akamfunika baada ya homa kumuachia ndio akamueleza mkewe, mkewe akaenda kwa Waraqa, baadae Waraqa kuonana na Muhammad baada ya kuambiwa aitwe, Khadija akampeleka huko...
Bwana Waraqa akamwambia HUYO NDIYE JIBRIL ALIYEMSHUKIA NABII MUSSA NA NABII ISA BASI JIBASHIRIE KUWA WEWE NI MTUME WA UMA HUU NAMI NATAMANI KUWA HAI NIKUONE UNAVYOSIMAMA KUWATENGENEZA JAMAA ZAKO. INSHAALAH nitakuwa mkono wako wa kulia, wakarejea kwao na hofu yote imemtoka (utasoma ukurasa wa 17)
Haya niambie sasa huyo Waraqa ni nani!?
Hayo unayoongelea umejibiwa na Eiyer hapa chini, lakini unajifanya hujaona unarudia kitu kile kile, tena unajitoa akili kabisa, hebu angalia tena hujibuKutokana na Bibilia zenu ukisoma vizuri utaona mtu wa kwanza kutajwa kuwa Mtume ni Adam. Lazima Ufahamu Mtume ni yule ambaye anaongea na kusikia directly from God, and is commissioned by God to speak on His behalf to mankind. Mtume anaweza kukupa mafunzo ya vitu vitakavyo tokea siku za mbele, na kama ni Mtume kweli yatatokea. Adam is called a prophet because he spoke with God. Tazama Genesis at Chapter 2 and verses 16,17. Naukitaza verses 23.24 of the same chapter utaona Adam, under the authority of God, utaona kaleta sharia za ndoa baina ya mke na mme. Wakristo ndio sababu mnapotea siku hizi , hamfati sharia zake. Mnaozeshana wanaume kwa wanaume, na wanawake kwa wanawake hio ni lana ya kumkataa Adam kama si Mtume. Ukitaza verse 24, utaona Adam na Hawa (Eve) walikuwa the only two living souls on earth. In verse 24 Adam makes his first prophetic prediction and says of men and women, "Therefore shall a man leave his father and mother, and shall cleave unto his wife: and they shall be one flesh." Keep in mind that there were no fathers and mothers in the garden at this time so this represents a prediction of a coming event. Because prophets speak by inspiration from God, this tells us that God knew in advance that Adam and Eve would eat of the forbidden fruit, be forced out of the garden of Eden and would have children. We can see from these accounts that Adam was indeed the first Prophet who ever walked the earth.
Ukitazama list ya Mitume kwenye Bibilia Adam yuko wa kwanza; Old Testament Bible Prophets (A List)
Hujui hata unazungumza nini
Hivi kama Mungu anaweza kuongea na wewe na anafanya hivyo kila siku kuna haja gani Mungu kumtumia mtu mwingine kukufikishia ujumbe wakati yeye mwenyewe anaweza kuongea na wewe na anaongea nawe kila siku?
Ni wapi panaonesha hayo waliyoyafanya Kaini na Abeli walifundishwa na Adam?
Halafu nani kakuambia zaka ni sawa na sadaka?
Sijui nguzo za Uislam ni kitu gani,unaniulizaje hili swali?
Wengi sana na hata mimi natoa ....
Waliwasiliana na Mungu kama wewe unavyowasiliana na dada yako au mama yako,hapo Mungu aliwasiliana nao kwa kuzungumza,Abeli na Kaini walijifunza kuongea kama watoto wengine,unataka kuniambia kuwa utume wa Adam ni wa kuwafundisha akina Abeli kuongea?
Soma hapo juu ....
Kwenye Biblia Adama anatambuliwa kama mzazi wetu wa kwanza na sio zaidi ya hapo,utume mnauleta nyie
Mara nabii Adama mara mtume,yaani hamueleweki ......!