Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Aliposema nitakuja kama mwivi, hakika anamekuja kama mwizi. Yaani sasa hivi huwezi jipangia au kujikadiria nitafika muda au umri gani. Tunaishi tu, ukiishi muda mrefu ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu. Yaani sasa hivi kifo ni muda wowote, popote na kwa vyovyote.
Tumuombe Mungu atupe mwisho mwema maana wote na vyote vinapita, tusiumize wengine Kwa ajili ya Mali, tutaziacha, tuishi tukifanya kilakitu Kwa kiasi.🙏🙏🙏🙏
Tumuombe Mungu atupe mwisho mwema maana wote na vyote vinapita, tusiumize wengine Kwa ajili ya Mali, tutaziacha, tuishi tukifanya kilakitu Kwa kiasi.🙏🙏🙏🙏