Sana mkuu, kufa kupo tu anytime.Kula maisha mama! Kula mifupa angali meno bado yapo. Hakuna aijuaye kesho yake! Ukipata nafasi ya kuupa moyo wako raha, usisite.
Kufa kupo tu. Watu wanaogopa tu kutangulia. Ila kifo kama kifo, hakikwepeki.
Kwangu mimi vice versa, maisha ni adhabu na kufa ni zawadi, sijawahi kuona umuhimu wa kuishi kuna wakati nasema bora nisingezaliwa, sioni kipya duniani.AMINA, hili tunatakiwa tulifahamu kila iitwapo leo
Maisha in zawadi tu na kifo kinaweza kumkuta yeyote muda wowote, hata kama ana Afya nzuri kabisa.
Tusijisahau.
Ndicho nilichomaanisha, ni yeye ashakuja kitambo.Atakuja kama mwizi hehe ... Unafikiri yeye haoni Panyaroad wanavyopelekewa mioto?
Haoni huku raia wenye hasira kali wanavyojichukulia sheria mkonyoni ?
Huyo mwamba ni mwongo...
Joke aside ... Kilichozungumziwa hapo siyo kuja KWA masiha kulingana na ngano hizo na visasili vya kiyahudi KWA mtazamo wangu kifo ndicho huyo masiha..
AmeeeeeenaTumwombe Mungu atupe mwisho mwema maana wote na vyote vinapita....tusiumize wengine Kwa ajili ya Mali...tutaziacha...tuishi tukifanya kilakitu Kwa kiasi.ππππ