Maison club

Maison club

Iyo club na nyingine za hao foreigners ni chaka la top dogs kwa maana wapigaji specifically wapopo,ni sehemu ambayo wakishabutua ndio wanakuja kusplash wengine ni moja wapo ya njia nzuri ya kufanya money laundering with experience husifikiri hao vijana wanakuja hapo kutumia na cash kulipa wengi wanakunywa kiasi wanachoona kinatosha kwa siku iyo nyingine inakuja kwenye risit wanapewa cash,ogopa sana muhindi,muiran au mpakistan kwenye biashara ya club kuna vingi vinatokea back door.
Lakn hii club ni ya mtz nafikiri
 
sema hzo pisi za kawaida sanaa, ht micassa zinapatikanaaa [emoji1][emoji1][emoji1]
Ndo hapo Sasa....yani unanunua Jack Daniels Laki Na nusu halafu unakutana Na pisi zinazidiwa Na watoto wa kitambaa cheupe
 
Iyo club na nyingine za hao foreigners ni chaka la top dogs kwa maana wapigaji specifically wapopo,ni sehemu ambayo wakishabutua ndio wanakuja kusplash wengine ni moja wapo ya njia nzuri ya kufanya money laundering with experience husifikiri hao vijana wanakuja hapo kutumia na cash kulipa wengi wanakunywa kiasi wanachoona kinatosha kwa siku iyo nyingine inakuja kwenye risit wanapewa cash,ogopa sana muhindi,muiran au mpakistan kwenye biashara ya club kuna vingi vinatokea back door.
Drug business pia inafanyika sana maeneo kama hayo..

#MaendeleoHayanaChama
 
Yaani unaona huyo anamwangaza kabisa na ramli zake umesahau hawa ndio walisema efm sio ya majizzo kuna mtu nyuma mkubwa tu,
Tulia kijana,huu mji haujaujua vizuri unaanza kutunisha misuli tukikwambia kuna Club kubwa tu imejengwa specifically sababu ya mashoga watu wamefadhili bado utaleta ubishi.kipe fursa ya kujifunza na kupokea habari mpya kichwa chako.
 
Sijaona Pisi Kali Hapo Ila Hayo Ni Makamanda Yanyoweka Dawa Kwenye Matiti,Ukinyonya Umelala Kwisha Habari Yako. Utazindukia TMJ Hospital Na Drip ZA Maji

mi mwenyewe nimeshangaa mkuu. hao madem wabovu knoma
 
Back
Top Bottom