princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
The waves Kwa ndani mnakua wachache kawaida halafu kistaarabu ukitoka hapo nje unaweza shika kichwa kuna hizo Range rover kama kiwandani [emoji2]BMW /BENZ /Ford Rangers yani migari yote mikali unayojua halafu mipya ...Ila hii nchi kuna watu Wana pesa jamani.
kule mbezi beach kuna the waves.daah hayo magari yaliyomwagika pale.
masikini NI Mimi tu.
Nimetokeaga kupapenda pa kistaarabu sana ni mbadala wa kidimbwi!