Maison club

Lakn hii club ni ya mtz nafikiri
 
sema hzo pisi za kawaida sanaa, ht micassa zinapatikanaaa [emoji1][emoji1][emoji1]
Ndo hapo Sasa....yani unanunua Jack Daniels Laki Na nusu halafu unakutana Na pisi zinazidiwa Na watoto wa kitambaa cheupe
 
Drug business pia inafanyika sana maeneo kama hayo..

#MaendeleoHayanaChama
 
Yaani unaona huyo anamwangaza kabisa na ramli zake umesahau hawa ndio walisema efm sio ya majizzo kuna mtu nyuma mkubwa tu,
Tulia kijana,huu mji haujaujua vizuri unaanza kutunisha misuli tukikwambia kuna Club kubwa tu imejengwa specifically sababu ya mashoga watu wamefadhili bado utaleta ubishi.kipe fursa ya kujifunza na kupokea habari mpya kichwa chako.
 


Sijaona Pisi Kali Hapo Ila Hayo Ni Makamanda Yanyoweka Dawa Kwenye Matiti,Ukinyonya Umelala Kwisha Habari Yako. Utazindukia TMJ Hospital Na Drip ZA Maji

mi mwenyewe nimeshangaa mkuu. hao madem wabovu knoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…