princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
The waves Kwa ndani mnakua wachache kawaida halafu kistaarabu ukitoka hapo nje unaweza shika kichwa kuna hizo Range rover kama kiwandani [emoji2]BMW /BENZ /Ford Rangers yani migari yote mikali unayojua halafu mipya ...Ila hii nchi kuna watu Wana pesa jamani.
kule mbezi beach kuna the waves.daah hayo magari yaliyomwagika pale.
masikini NI Mimi tu.
Yea jamaa mmoja na mkewe Anajiita WEOUTCHEALakn hii club ni ya mtz nafikiri
Bora wewe ten bia 2.. mi hiyo ten natoa na ofa ya bia moja kwa mtoto mzuri ataekuepoKwa hiyo natoa 220,000-12,000,000 halafu baadae nanunua kinywaji?
Mi nshazoea kiingilio 10,000 napewa beer 2
The waves Kwa ndani mnakua wachache kawaida halafu kistaarabu ukitoka hapo nje unaweza shika kichwa kuna hizo Range rover kama kiwandani [emoji2]BMW /BENZ /Ford Rangers yani migari yote mikali unayojua halafu mipya ...
Nimetokeaga kupapenda pa kistaarabu sana ni mbadala wa kidimbwi!
Bei ya kawaida 2500 local Flying fish ndio nmeona 3000Tupe bei za Beer tusijefika tukaanza kuSongesha
[emoji2][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji1][emoji1]Kwa hiyo natoa 220,000-12,000,000 halafu baadae nanunua kinywaji?
Mi nshazoea kiingilio 10,000 napewa beer 2
Na unapigwa na mhuri mkononii ukitoka nje walati wa kurudi unawaonesha mhuri wako[emoji23][emoji2][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji1][emoji1]
Looh!…[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na unapigwa na mhuri mkononii ukitoka nje walati wa kurudi unawaonesha mhuri wako[emoji23]
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hakuna mkuu, pesa mingi hio
2500? Acha bhana, kumbe tunaenda samaki samaki tunanunua 7000 bure tu, umesema panaitwaje hapo?Bei ya kawaida 2500 local Flying fish ndio nmeona 3000
beer tower zipo ila sijajua ni ef25 kama Ctfm ama vipi...
na hayo ma Whiskey & Champagne
The waves /beach Bar2500? Acha bhana, kumbe tunaenda samaki samaki tunanunua 7000 bure tu, umesema panaitwaje hapo?
Iko maeneo gani?The waves /beach Bar
samaki samaki si ndo hadhi waliojiwekea kama Restaurants
hizi beach bar tukiachana na waterfront slipway zote wanauza bei rafiki
Mbezi beach karibu white sandIko maeneo gani?
Lini utakuwepo nije?Mbezi beach karibu white sand
sijapata ratiba yangu badoLini utakuwepo nije?
Muwe mnataja na machimbo basi