Maison club

Sawa, mimi wikendi hii nitaenda, sasa usichoke nielekeze tena, nikipita tripple seven nanyoosha hadi kwa Zena au kwa Zena sifiki?
nyoosha mpaka pale kwenye karound about ka kutokea Africana, una round unaelekea na barabara ya mkono wa kulia ( pembezoni mwa bahari) ni hatua kadhaa kutoka Ramada Resort
 

Hawapo serious hawa jamaa kuna siku nmeenda mpaka mzuka ukakata mziki unazima mara unawaka walinikata mzka sana
 
Naona maison kaanza kuwachukua wasanii wa bongo wakatumbuize maana kaanza na mario, leo naona atakuepo Darasa
Kumbe ndo utaratibu wao siku hizi? Nilikuwepo hapo tarehe 30 October Darasa alipanda kwenye saa tisa/ kumi hivi kama sikua nimelewa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…