Maison club

Maison club

Sawa, mimi wikendi hii nitaenda, sasa usichoke nielekeze tena, nikipita tripple seven nanyoosha hadi kwa Zena au kwa Zena sifiki?
nyoosha mpaka pale kwenye karound about ka kutokea Africana, una round unaelekea na barabara ya mkono wa kulia ( pembezoni mwa bahari) ni hatua kadhaa kutoka Ramada Resort
 
The waves Kwa ndani mnakua wachache kawaida halafu kistaarabu ukitoka hapo nje unaweza shika kichwa kuna hizo Range rover kama kiwandani [emoji2]BMW /BENZ /Ford Rangers yani migari yote mikali unayojua halafu mipya ...
Nimetokeaga kupapenda pa kistaarabu sana ni mbadala wa kidimbwi!

Hawapo serious hawa jamaa kuna siku nmeenda mpaka mzuka ukakata mziki unazima mara unawaka walinikata mzka sana
 
Naona maison kaanza kuwachukua wasanii wa bongo wakatumbuize maana kaanza na mario, leo naona atakuepo Darasa
Kumbe ndo utaratibu wao siku hizi? Nilikuwepo hapo tarehe 30 October Darasa alipanda kwenye saa tisa/ kumi hivi kama sikua nimelewa sana.
 
Achana na Maison tukutane Havoc guyz[emoji123]
Screenshot_20211130-211738_Instagram.jpg


Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom