Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Naunga mkono hojaPolisi wampeleke Agnes hospitali. Hawezi kuwa mtu mwenye akili timamu. Muda mwingine tunawaonea bure watu wenye matatizo ya akili.
Aisee! Hili kanisa linapatikana ir. tu??Hatimaye mwili wa aliyekuwa Mchungaji wa Kanisa la El-Huruma (E.H.C), John Chida aliyetarajiwa kufufuka, umezikwa leo Desemba 6, 2024 katika makaburi ya Mlolo Manispaa ya Iringa...