Dah wadwanzi wana gadhabu mpaka na maiti.Poleni ndugu wa marehemu sababu inasikitisha.
Ruto alitegemea nini alipowapeleka?Haiti magenge yanamiliki mitaa Polisi wanaua raia. Hapafai kabisa.
Ndio ajira hiyo na kupata Hela za kigeni.Ruto alitegemea nini alipowapeleka?
Alitaka kujionesha kuwa Mwanadiplomasia mtiifu kwa washrika wake.Ruto alitegemea nini alipowapeleka?
Mikataba gani hiyo?Haiti waliingia mikataba ya kuchawi ndiyo maana mabalaa yanawaandama ka siku