Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Kwamba mizimu inawatesa
Kwamba mizimu inawatesa
Ni kweli !! Kwa kuwa wao Haiti na kisiwa kimoja cha Hispaniola, wote wana mazingira sawa kijiografia na wote walikuwa chini ya mkoloni mmoja na wana idadi sawa ya watu. Lakini Haiti ni nchi maskini sana, inapata mabalaa ya dunia kama yote na haijatulia kisiasa.Kwamba mizimu inawatesa
Haiti inafanyiwa figusu kwasababu ya mapinduzi ya 1804. Na kamwe hawawezi samehewa na wakubwa kwa hio, ndiyo nchi pekee ya western hemisphere ambapo watumwa walipindua mabwana zao. Kwa hiyo Kila juhudi inafanyika kuifanya isiendelee.Ni kweli !! Kwa kuwa wao Haiti na kisiwa kimoja cha Hispaniola, wote wana mazingira sawa kijiografia na wote walikuwa chini ya mkoloni mmoja na wana idadi sawa ya watu. Lakini Haiti ni nchi maskini sana, inapata mabalaa ya dunia kama yote na haijatulia kisiasa.
Dominican ni nchi yenye maendeleo na ambayo iko na utulivu kisiasa. Vilevile Dominican siyo wahanga wa mabalaa ya vimbunga wala matetemeko ya ardhi
Uvivu tu wa kufikiri. Kila kitu ni kulaumu wakoloni??Haiti inafanyiwa figusu kwasababu ya mapinduzi ya 1804. Na kamwe hawawezi samehewa na wakubwa kwa hio, ndiyo nchi pekee ya western hemisphere ambapo watumwa walipindua mabwana zao. Kwa hiyo Kila juhudi inafanyika kuifanya isiendelee.
Unafikiri Dominica republic, ambayo iko kwenye kisiwa hicho hicho iliyopo Haiti, imeendelea kwasababu ya wao kuwa na uwezo wa kufikiri?Uvivu tu wa kufikiri. Kila kitu ni kulaumu wakoloni??
Waliwezeshwa kama vile South Korea ilivyowezeshwa kiuchumi kwa kupatiwa mitaji na soko la magharibi huku jirani zao wakipatiwa vikwazo.Tupe basi mtazamo wako nini kimeifikisha Dominican Republic hapo ilipo