MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
Je, ni kwamba hakuna njia nyingine ya kuingia goma ama kutoka goma zaidi ya Rwanda? Naona kila anaetoka goma anapitia Rwanda.Baada ya sintofahamu iliyotokea kuhusiana na usafirishaji za maiti za wanajeshi wa Afrika Kusini waliokufa wakipigana na kundi la waasi la M23, hatimae wamesafilishwa kupitia Rwanda.
Kamati ya bunge ilipokua ikimhoji waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi, walitangaza kwamba Rwanda ilikubali kutoa njia ili wasafilishwe, nchi yao ikakataa. Leo, gari lililobeba maiti hizo, limepitia mpaka wa Goma, La corniche, kuelekea mpaka wa Cyanika, wa Rwanda na Uganda. Itasafilishwa kwenda Kampala, kwa ajiri ya safari kuelekea Afrika Kusini.
View: https://x.com/Mamaurwagasabo1/status/1887814434908762398
Ukiwa Goma, mpaka wa ardhini ulio karibu ni wa hapo(ipo miwili), ipo umbali wa kama km3 )kati ya mpaka na mwingine. Ili uende Burundi, lazima uende Kivu kusini(kupitia ardhini au majini)ambapo ni mbali. Japo na kutoka Bukavu kwenda Goma, wengi hupita Rwanda maana ndo karibu. Kwa airoprt, Kigali ndo ipo karibu ukiondoa ya Goma. Km 165 hivi.Je, ni kwamba hakuna njia nyingine ya kuingia goma ama kutoka goma zaidi ya Rwanda? Naona kila anaetoka goma anapitia Rwanda.
Update za kubomoa madaraja mpaka wa burundi kaskazini,na sababu 'haswa'!?Miili ya wanajeshi wa Afrika Kusini, Malawi na Tanzania waliopoteza maisha Kongo imerejeshwa kupitia Rwanda ...
View: https://m.youtube.com/watch?v=eRNJ6k5Bqao
Mbona imechukua muda?Haitakiwi hasira, bali masharti kanuni na sheria za kimataifa zinazingatiwa na Rwanda.
Mbona imechukua muda?
No,hilo ni suala dogo sana,siyo la wiki tatuMamlaka nyingi UN, MONUSCO, SAMIR, AU, SADC na nchi husika zilibidi kushirikiana ili kuwezesha zoezi hili
Pia mji wa Goma uko karibu na mji wa Gisenyi ( Rwanda)Ukiwa Goma, mpaka wa ardhini ulio karibu ni wa hapo(ipo miwili), ipo umbali wa kama km3 )kati ya mpaka na mwingine. Ili uende Burundi, lazima uende Kivu kusini(kupitia ardhini au majini)ambapo ni mbali. Japo na kutoka Bukavu kwenda Goma, wengi hupita Rwanda maana ndo karibu. Kwa airoprt, Kigali ndo ipo karibu ukiondoa ya Goma. Km 165 hivi.
Update za kubomoa madaraja mpaka wa burundi kaskazini,na sababu 'haswa'!?
Acha waishambulie hata wakiwa Tz, then Rwanda arudishe majibu.Kuna askari watoro wa jeshi la Burundi wanakimbia kutoka Bukavu Kongo na silaha zao, wanaweza kuingia na silaha hivyo ni kufanya ugumu watoro hao wasio na nidhamu za kijeshi kuingia Tanzania na kufanya tatizo la kiusalama au kutumia ardhi ya Tanzania kuishambulia Rwanda na kuleta tatizo la kidiplomasia n.k
😅😅😅hawana hata Ndege?Baada ya sintofahamu iliyotokea kuhusiana na usafirishaji za maiti za wanajeshi wa Afrika Kusini waliokufa wakipigana na kundi la waasi la M23, hatimae wamesafilishwa kupitia Rwanda.
Kamati ya bunge ilipokua ikimhoji waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi, walitangaza kwamba Rwanda ilikubali kutoa njia ili wasafilishwe, nchi yao ikakataa. Leo, gari lililobeba maiti hizo, limepitia mpaka wa Goma, La corniche, kuelekea mpaka wa Cyanika, wa Rwanda na Uganda. Itasafilishwa kwenda Kampala, kwa ajiri ya safari kuelekea Afrika Kusini.
View attachment 3227884
Hi ya mwisho ndio?RIP Soldiers.
21 Gun Salute.
Hili si swala la siku mbili tu au tatu?Mamlaka nyingi UN, MONUSCO, SAMIDRC, AU, SADC na nchi husika South Africa, Malawi, Tanzania zilibidi kushirikiana na Rwanda ili kuwezesha zoezi hili kwa kuzigatia sheria za kimataifa, protokali na kanuni za Geneva
21 Gun Salute ni heshima wanayopewa wanajeshi waliofariki, marais, wakuu wa nchi etc.Hi ya mwisho ndio?
Nope,sababu hafifu,tuna kambi ya jeshi kigomaKuna askari watoro wa jeshi la Burundi wanakimbia kutoka Bukavu Kongo na silaha zao, wanaweza kuingia na silaha hivyo ni kufanya ugumu watoro hao wasio na nidhamu za kijeshi kuingia Tanzania na kufanya tatizo la kiusalama au kutumia ardhi ya Tanzania kuishambulia Rwanda na kuleta tatizo la kidiplomasia n.k