Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hivi kweli Rais angekuwa Mwanaye kafia Angola angekuja na lori? Imagine. Ramaphosa kakosea sanaNi kweli wanapenda kututumikisha bila kula matunda yanayostahili kwa kivuli cha kuita uzalendo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kweli Rais angekuwa Mwanaye kafia Angola angekuja na lori? Imagine. Ramaphosa kakosea sanaNi kweli wanapenda kututumikisha bila kula matunda yanayostahili kwa kivuli cha kuita uzalendo.
Ni aibu sana kwa viongozi wetu wanasahau kwamba maaskari pia ni binadamu na wana familia zaoHivi kweli Rais angekuwa Mwanaye kafia Angola angekuja na lori? Imagine. Ramaphosa kakosea sana
No,hilo ni suala dogo sana,siyo la wiki tatu
Nakupita ile njia ya kamanyola kwakweli ni mbaya sana haina lami na mlima mkali kona nyingi. kwahiyo njia rahisi ni kupita mpaka huo huo.Ukiwa Goma, mpaka wa ardhini ulio karibu ni wa hapo(ipo miwili), ipo umbali wa kama km3 )kati ya mpaka na mwingine. Ili uende Burundi, lazima uende Kivu kusini(kupitia ardhini au majini)ambapo ni mbali. Japo na kutoka Bukavu kwenda Goma, wengi hupita Rwanda maana ndo karibu. Kwa airoprt, Kigali ndo ipo karibu ukiondoa ya Goma. Km 165 hivi.
Je, ni kwamba hakuna njia nyingine ya kuingia goma ama kutoka goma zaidi ya Rwanda? Naona kila anaetoka goma anapitia RwanAirports
09 February 2025
Kampala, Uganda
Mzozo wa DRC: Miili 18 ya Wanajeshi wa SAMIRDC Yawasili Uganda kwa Uchunguzi wa Postmortem.
View: https://m.youtube.com/watch?v=d70-spxi5eg
Miili ya wanajeshi 18 kutoka Misheni ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imefikishwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali Kuu ya Taifa Mulago Kampala Uganda kwa ajili ya uchunguzi wa upasuaji kabla ya mpango wao wa kurejea katika nchi zao.
Waliofariki ni pamoja na Waafrika Kusini 14, Wamalawi wawili na Watanzania wawili. Samuel Ssenono anaripoti