Hizi 'Likes' zinapumbaza!! unaweza kuamini kwamba umeandika ya maana kumbe wanaosoma ni aina yako.Ukimya uliotanda juu ya maendeleo ya majadiliano ya makinikia yana mshindo Mkuu. Taarifa nilizopenyezewa na mtu ninayemwamini inasemekana jamaa wamekomaa kwelikweli na wanajua kupangua hoja. Inasemakana kuwa Hoja zetu zinazojikita kwenye tuhuma na siyo uhalisia zinasagwa na kuyeyushwa kama chuma.
Kana kwamba hiyo haitoshi hata maprofesa walioko kwenye kamati ya Makinikia kutoka Tanzania wameanza kuzilaumu kamati zilizoundwa kuchunguza Makinikia hayo kwani wanashindwa kupangua hoja za Mzungu katika majadiliano hayo ambayo yametawaliwa na rejea kutoka katika matokeo ya kamati mbili za Rais ambayo yalitiliwa shaka na wengi .
Ngoja tusubiri trilioni 300 na zaidi. Tanzania isipokuwa tajiri kwa pesa zote hizo tutakuwa tuna laana.
Hizi 'Likes' zinapumbaza!! unaweza kuamini kwamba umeandika ya maana kumbe wanaosoma ni aina yako.
Mbona unaandika kama mtu wa nchi jirani? Una maana Taznania inayopumlia mashine iko nje ya nchi yako? Siyo ninyi munaolilia ajira? Siyo wale munaodhani pesa haipatikani? Siyo ninyi munaolia-lia eti biashara haziendi?
kwahiyo tusiseme ukweli kwa sababu tunalilia ajira? ukweli usisemwe kwakua uchumi umeshuka? kuharibu muharibu nyie ila wakati wa kulia tulie wote.tuondoleeni upumbavu hapa.kila mtu atabeba msalaba wake.Hizi 'Likes' zinapumbaza!! unaweza kuamini kwamba umeandika ya maana kumbe wanaosoma ni aina yako.
Mbona unaandika kama mtu wa nchi jirani? Una maana Taznania inayopumlia mashine iko nje ya nchi yako? Siyo ninyi munaolilia ajira? Siyo wale munaodhani pesa haipatikani? Siyo ninyi munaolia-lia eti biashara haziendi?
NIambie indictors zako kwamba uchumi umeshuka. Uchumi?kwahiyo tusiseme ukweli kwa sababu tunalilia ajira? ukweli usisemwe kwakua uchumi umeshuka? kuharibu muharibu nyie ila wakati wa kulia tulie wote.tuondoleeni upumbavu hapa.kila mtu atabeba msalaba wake.
Sasa mkuu sanya juu unaenda kulima ngano kule west au kiazMimi nina wake wawili. Watoto wawili. Dada wa kazi. Nasubiria NOAH 6. Nahama DSM naenda SANYA JUU
Sent using Jamii Forums mobile app
UpooooooooUkimya uliotanda juu ya maendeleo ya majadiliano ya makinikia yana mshindo Mkuu. Taarifa nilizopenyezewa na mtu ninayemwamini inasemekana jamaa wamekomaa kwelikweli na wanajua kupangua hoja. Inasemakana kuwa Hoja zetu zinazojikita kwenye tuhuma na siyo uhalisia zinasagwa na kuyeyushwa kama chuma.
Kana kwamba hiyo haitoshi hata maprofesa walioko kwenye kamati ya Makinikia kutoka Tanzania wameanza kuzilaumu kamati zilizoundwa kuchunguza Makinikia hayo kwani wanashindwa kupangua hoja za Mzungu katika majadiliano hayo ambayo yametawaliwa na rejea kutoka katika matokeo ya kamati mbili za Rais ambayo yalitiliwa shaka na wengi .
Ngoja tusubiri trilioni 300 na zaidi. Tanzania isipokuwa tajiri kwa pesa zote hizo tutakuwa tuna laana.
Kiazi mkuuSasa mkuu sanya juu unaenda kulima ngano kule west au kiaz
Leo sijaona ukichangia kokote!kwahiyo tusiseme ukweli kwa sababu tunalilia ajira? ukweli usisemwe kwakua uchumi umeshuka? kuharibu muharibu nyie ila wakati wa kulia tulie wote.tuondoleeni upumbavu hapa.kila mtu atabeba msalaba wake.
teh, nakuhurumia sana .HELA YA NIA NJEMA,SIO FAINI. NI km kumsaidia mwenzio aliyemaliza mgao wake kisha akapata majanga ktk familia.Wameachana kiutu uzima.Ila mkiendelea kukosa adabu jamaa wanaanika.Wametoa vifaa vya kusaidia kupumua. Na leo TANZANIA wanapumua yenyewe. Milioni 300 tayari zinaingia bongo
Umeamka unaota ndoto na tamaa yako na kuishia kuandika unachotamani kiwe kinatokea.. subiri wenzako mdamganyane. Jaribu tena lingine.. kumbuka makontena bado yapo paleeee..