Tetesi: Majadiliano ya Makinikia: Tanzania inapumulia mashine

Makanikia kama yanathamani iliyonwa na mapřofesa wetu basi twatajirika
Na kama walitumia mahabara duni wakapata taarifa duni hapo tuombe tuhurumiwe.
Lakini na hesabu Z TRA nazo ni za shaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimya uliotanda juu ya maendeleo ya majadiliano ya makinikia yana mshindo Mkuu. Taarifa nilizopenyezewa na mtu ninayemwamini inasemekana jamaa wamekomaa kwelikweli na wanajua kupangua hoja. Inasemakana kuwa Hoja zetu zinazojikita kwenye tuhuma na siyo uhalisia zinasagwa na kuyeyushwa kama chuma.

Kana kwamba hiyo haitoshi hata maprofesa walioko kwenye kamati ya Makinikia kutoka Tanzania wameanza kuzilaumu kamati zilizoundwa kuchunguza Makinikia hayo kwani wanashindwa kupangua hoja za Mzungu katika majadiliano hayo ambayo yametawaliwa na rejea kutoka katika matokeo ya kamati mbili za Rais ambayo yalitiliwa shaka na wengi .

Ngoja tusubiri trilioni 300 na zaidi. Tanzania isipokuwa tajiri kwa pesa zote hizo tutakuwa tuna laana.
Hizi 'Likes' zinapumbaza!! unaweza kuamini kwamba umeandika ya maana kumbe wanaosoma ni aina yako.
Mbona unaandika kama mtu wa nchi jirani? Una maana Taznania inayopumlia mashine iko nje ya nchi yako? Siyo ninyi munaolilia ajira? Siyo wale munaodhani pesa haipatikani? Siyo ninyi munaolia-lia eti biashara haziendi?
 
Umejuaje kama analilia ajira? poor you, jibu hoja hapa mambo ya ajira yanahusikaje?
 
kumbe watu Wa Lumumba wapo mnaojitambua ingawa ni wachache
 
Hizi 'Likes' zinapumbaza!! unaweza kuamini kwamba umeandika ya maana kumbe wanaosoma ni aina yako.
Mbona unaandika kama mtu wa nchi jirani? Una maana Taznania inayopumlia mashine iko nje ya nchi yako? Siyo ninyi munaolilia ajira? Siyo wale munaodhani pesa haipatikani? Siyo ninyi munaolia-lia eti biashara haziendi?
kwahiyo tusiseme ukweli kwa sababu tunalilia ajira? ukweli usisemwe kwakua uchumi umeshuka? kuharibu muharibu nyie ila wakati wa kulia tulie wote.tuondoleeni upumbavu hapa.kila mtu atabeba msalaba wake.
 
NIambie indictors zako kwamba uchumi umeshuka. Uchumi?
 
Ukimya uliotanda juu ya maendeleo ya majadiliano ya makinikia yana mshindo Mkuu. Taarifa nilizopenyezewa na mtu ninayemwamini inasemekana jamaa wamekomaa kwelikweli na wanajua kupangua hoja. Inasemakana kuwa Hoja zetu zinazojikita kwenye tuhuma na siyo uhalisia zinasagwa na kuyeyushwa kama chuma.

Kana kwamba hiyo haitoshi hata maprofesa walioko kwenye kamati ya Makinikia kutoka Tanzania wameanza kuzilaumu kamati zilizoundwa kuchunguza Makinikia hayo kwani wanashindwa kupangua hoja za Mzungu katika majadiliano hayo ambayo yametawaliwa na rejea kutoka katika matokeo ya kamati mbili za Rais ambayo yalitiliwa shaka na wengi .

Ngoja tusubiri trilioni 300 na zaidi. Tanzania isipokuwa tajiri kwa pesa zote hizo tutakuwa tuna laana.
Upoooooooo
 
Wametoa vifaa vya kusaidia kupumua. Na leo TANZANIA wanapumua yenyewe. Milioni 300 tayari zinaingia bongo
 
Majitu mengine sijui yanawaza kwa kutumia nn? Haya tumeshatoka ICU jana tunapumua wenyewe bila msaada wa mashine
 
kwahiyo tusiseme ukweli kwa sababu tunalilia ajira? ukweli usisemwe kwakua uchumi umeshuka? kuharibu muharibu nyie ila wakati wa kulia tulie wote.tuondoleeni upumbavu hapa.kila mtu atabeba msalaba wake.
Leo sijaona ukichangia kokote!
Wenzio wamejaribu lkn kote wako hoi
Magu kawatekenya kweli kweli
 
Wametoa vifaa vya kusaidia kupumua. Na leo TANZANIA wanapumua yenyewe. Milioni 300 tayari zinaingia bongo
teh, nakuhurumia sana .HELA YA NIA NJEMA,SIO FAINI. NI km kumsaidia mwenzio aliyemaliza mgao wake kisha akapata majanga ktk familia.Wameachana kiutu uzima.Ila mkiendelea kukosa adabu jamaa wanaanika.
 
Mbona mlinoa sana midomo hata bungeni,na kumchamba Lisu ? Sasa mnataka tufunge midomo kwakua Tanzania inayopumulia machine iko ndani ya nchi yetu !! Mbona hai ingii akilini ? Misifa,mikurupuko na matambo mlituonyesha nyie leo mnataka aibu na vilio tushirikiane ! Wehu kwelikweli nyie.ooooh vita ya kiuchumi,Lisu hata survive, mbona ana survive na ACACIA imewanyang'anya taulo mkitoka bafuni,mbele ya wakwe na watoto zenu ? Na uchumi hamjaupata wala hamjachuma kitu ! Paka wa muhimbili nyie mnaokula mimba zilizoharibika ! Kunywa damu za watu tu ndo mnachojua,tumewashtukia,kunywa damu mwisho muhimbili,tena ya mimba zilizoharibika,wachawi wa kijani nyie.
 
Nimesoma mara kumi ili na mm ni like ila bdo sielew ulicho andik coz akielewk nashindwa kuelew izo 40 likes wher are they from au ndo ziduuuum fikra??
Umeamka unaota ndoto na tamaa yako na kuishia kuandika unachotamani kiwe kinatokea.. subiri wenzako mdamganyane. Jaribu tena lingine.. kumbuka makontena bado yapo paleeee..
 
Back
Top Bottom