Majaji in particular, na wataalamu wengine, wanachagulia kwa vile kuna uhaba wa wataalamu hao au kwa vile wana sifa?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Nilimsikia Lisu akisema kama tungelikuwa na utaratibu wa kuwachagua MAJAJI , basi ni majaji wachache sana na majaji wa Rufaa wangelikuwa katika ofisi hizo.

Mana yake to me ni kuwa no meritocracy is applied katika kuchagua majaji/majai wa Rufaa hao na wataalamu wengine!
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…