Wahaini ni wezi kura,watekaji na wauaji wa raia na sio Lissu.Lisu ni mhaini, unavyosema hana hatia una maanisha nini? Una kichaa?
Uhaini wa Lissu ni upi?Lisu ni mhaini, unavyosema hana hatia una maanisha nini? Una kichaa?
Kwa hiyo unataka majaji waionee Jamhuri ??Majaji wanadanganya watoe hukumu ya kumuonea Lissu na kuhukumu anyogwe kwa kuwaambia pamoja na kwamba hana hatia Raisi atampa msamaha. Swali ni lini huyu Raisi fake amekuwa mkweli. Majaji ndiyo watabaki na historia ya hukumu ambayo itawaaribia record yako. Kibaya zaidi wasikubali wafuate sheria maana hii hukumu inaweza kumaliza imani ndogo iliyobakia kwa mahakama hii ya kisiasa
Kama unajua hivyo kwa nini unakwazana na utawala?Nchi ambayoo mahakama inaskiliza watawala wanataka nn ndo hukum itoke ni sawa na kuishi jehanam...
Kama unajua hivyo kwa nini unakwazana na utawala?
Hakuna makondoo wa kudumu, na muda wa mabadiliko ukifika umefika. Ukikaza fuvu lazima yakukute. Mahakama yenyewe itoe hukumu ya maagizo kama yale waliyopewa tume ya uchaguzi kumtangaza Samia kwa kura 31m za uongo. Tusilaumiane hapo mbeleni.Kama unajua hivyo kwa nini unakwazana na utawala?
Lisu ni mhaini, unavyosema hana hatia una maanisha nini? Una kichaa?
Kwa hiyo mnawatishia majaji?Hakuna makondoo wa kudumu, na muda wa mabadiliko ukifika umefika. Ukikaza fuvu lazima yakukute. Mahakama yenyewe itoe hukumu ya maagizo kama yale waliyopewa tume ya uchaguzi kumtangaza Samia kwa kura 31m za uongo. Tusilaumiane hapo mbeleni.
Endeleeni kumdanganya mama yenu nyie ndio mtasababisha anguko lakeLisu ni mhaini, unavyosema hana hatia una maanisha nini? Una kichaa?
Hofu ya nini lakini?Majaji wanadanganya watoe hukumu ya kumuonea Lissu na kuhukumu anyogwe kwa kuwaambia pamoja na kwamba hana hatia Raisi atampa msamaha. Swali ni lini huyu Raisi fake amekuwa mkweli. Majaji ndiyo watabaki na historia ya hukumu ambayo itawaaribia record yako. Kibaya zaidi wasikubali wafuate sheria maana hii hukumu inaweza kumaliza imani ndogo iliyobakia kwa mahakama hii ya kisiasa
Hatuwatishi majaji bali tunawapa ukweli wao. Majaji wanatishiwa na watawala wanaotumia makundi ya watekaji na wafiraji.Kwa hiyo mnawatishia majaji?
Kwa hiyo tuamini kuwa wewe akili yako iko sawasawa kweli?Lisu ni mhaini, unavyosema hana hatia una maanisha nini? Una kichaa?
Unajua maana ya uhaini?Lisu ni mhaini, unavyosema hana hatia una maanisha nini? Una kichaa?
Huu hapaUhaini wa Lissu ni upi?
Hofu ya nini lakini?