Majaji wasikubali kudanganywa na msamaha wa Raisi kwa Lissu!

Majaji wasikubali kudanganywa na msamaha wa Raisi kwa Lissu!

samia ameshachelewa,hatopata hata sekunde moja ya kutoa msamaha kwa mtu ambaye hana hatia kama Lissu.Kati ya Lissu na samia,samia ndiye atakaye kufa kutokana na kesi hii.

Lissu atashuhudia kifo cha rais samia.

Swali ni Je,Deogratias Ndejembi anatosha ? Jiandaeni kupokea.
Naitunza hii comment
 
Majaji wanadanganya watoe hukumu ya kumuonea Lissu na kuhukumu anyogwe kwa kuwaambia pamoja na kwamba hana hatia Raisi atampa msamaha. Swali ni lini huyu Raisi fake amekuwa mkweli. Majaji ndiyo watabaki na historia ya hukumu ambayo itawaaribia record yako. Kibaya zaidi wasikubali wafuate sheria maana hii hukumu inaweza kumaliza imani ndogo iliyobakia kwa mahakama hii ya kisiasa
Alishasema ROSTAM AZIZ,mimi siwezi kubisha.
Tena jaji mwenyewe ni MMATENGO!
Hapo ni maelekezo tu hakuna wa kubisha,uzuri ni kuwa TAL yuko tayari kwa lolote.
 
samia ameshachelewa,hatopata hata sekunde moja ya kutoa msamaha kwa mtu ambaye hana hatia kama Lissu.Kati ya Lissu na samia,samia ndiye atakaye kufa kutokana na kesi hii.

Lissu atashuhudia kifo cha rais samia.

Swali ni Je,Deogratias Ndejembi anatosha ? Jiandaeni kupokea.
Tawireeee!
 
Kuna ulazima wa Lissu kuvaa sare za orange kwanza ndo msamaha ufuate.
 
Muhimili wa mahakama nchi hii upo kwa maslahi ya ccm tu, na siyo kwa ajili ya kutimiza matakwa ya kisheria, unatumika kisiasa zaidi wanaongozwa na maagizo kutoka juu na siyo matakwa ya kisheria
 
Lisu ni mhaini, unavyosema hana hatia una maanisha nini? Una kichaa?
Usivyo na akili unaonesha umbumbu wako mchana kwenye jua kali. Under what circumstances una rule hiyo kesi? u want to pre empty Mahakama IFO interest of the unknown!
 
Hakuna makondoo wa kudumu, na muda wa mabadiliko ukifika umefika. Ukikaza fuvu lazima yakukute. Mahakama yenyewe itoe hukumu ya maagizo kama yale waliyopewa tume ya uchaguzi kumtangaza Samia kwa kura 31m za uongo. Tusilaumiane hapo mbeleni.
Kuna watu ni wajinga mpaka kero,haelewi Nini hapo!
 
Back
Top Bottom