Majaji wasikubali kudanganywa na msamaha wa Raisi kwa Lissu!

Atawachomoka Lissu ila watamuhukumu
 
Naitunza hii comment
 
Alishasema ROSTAM AZIZ,mimi siwezi kubisha.
Tena jaji mwenyewe ni MMATENGO!
Hapo ni maelekezo tu hakuna wa kubisha,uzuri ni kuwa TAL yuko tayari kwa lolote.
 
Tawireeee!
 
Kuna ulazima wa Lissu kuvaa sare za orange kwanza ndo msamaha ufuate.
 
Muhimili wa mahakama nchi hii upo kwa maslahi ya ccm tu, na siyo kwa ajili ya kutimiza matakwa ya kisheria, unatumika kisiasa zaidi wanaongozwa na maagizo kutoka juu na siyo matakwa ya kisheria
 
Lisu ni mhaini, unavyosema hana hatia una maanisha nini? Una kichaa?
Usivyo na akili unaonesha umbumbu wako mchana kwenye jua kali. Under what circumstances una rule hiyo kesi? u want to pre empty Mahakama IFO interest of the unknown!
 
Hakuna makondoo wa kudumu, na muda wa mabadiliko ukifika umefika. Ukikaza fuvu lazima yakukute. Mahakama yenyewe itoe hukumu ya maagizo kama yale waliyopewa tume ya uchaguzi kumtangaza Samia kwa kura 31m za uongo. Tusilaumiane hapo mbeleni.
Kuna watu ni wajinga mpaka kero,haelewi Nini hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…