Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameingilia sakata la wakuu wa mikoa na wilaya kutumia nguvu na madaraka vibaya ambayo amesema kuwa ipo sheria ya viongozi hao inawaruhusu kuwakamata watu na kuwaweka ndani, hii ni kwasababu ya kulinda usalama wake au usalama wa huyo aliyewekwa ndani kwa saa 24.
Majaliwa amesema kuwa Serikali inaendelea kuwapa elimu wateule wote wenye sheria hizo wazitumiue kwa weledi bila kuleta migongano na misuguano isiyokuwa muhimu kwenye jamii.
Waziri Mkuu ameyasema hayo wakati akijibu swali la Mbunge Viti Maalumu Mkoa wa Songwe, Stellah Fiayo leo Alhamisi Agosti 29, 2024 bungeni jijini Dodoma