Uchaguzi 2020 Majaliwa anafanya Kampeni kwa kutumia ratiba ya nani? Kwa nafasi gani ya Kitaifa?

Masokotz

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
3,713
Reaction score
6,121
Pamoja na Cheo chake cha Uwaziri Mkuu, Tabia na kitendo cha Majaliwa kuzunguka Peke yake na kufanya Mikutano ya hadhara ya kuomba KURA ni ukiukwaji wa Taratibu. Anapswa kurudishwa Ruangwa akamtafutie Magufuli Kura kweli.

Msafara wa Majaliwa unatumia Mafuta na Rasilimali za Serikali kwa ajili ya shughuli za kichama. Haya ni matumizi mabaya ya Kodi zetu tunazolipa kwa tabu nyingi. Niseme tu CCM pamoja na Majaliwa acheni kabisa kutumia vibaya kodi zetu na nafasi zenu kuhujumu uchumi wa taifa.

Kama sasa hivi wakaibuka watu wakaanza kumfanyia Rungwe Kampeni kwenye Mikoa AMBAYO hajafika je Tume ya Uchaguzi itawazuia?Kama jibu ni ndio basi nafikir Pia ni Vyema Majaliwa kazuiwa.

Nawasilisha
 
Ni kinyume na sheria lakini anaachwa tu aendelee. Tuikatae tume ya uchaguzi kwa maandamano.
 
Pamoja na Cheo chake cha Uwaziri Mkuu, Tabia na kitendo cha Majaliwa kuzunguka Peke yake na kufanya Mikutano ya hadhara ya kuomba KURA ni ukiukwaji wa Taratibu. Anapswa kurudishwa Ruangwa akamtafutie Magufuli Kura kweli.

Msafara wa Majaliwa unatumia Mafuta na Rasilimali za Serikali kwa ajili ya shughuli za kichama. Haya ni matumizi mabaya ya Kodi zetu tunazolipa kwa tabu nyingi. Niseme tu CCM pamoja na Majaliwa acheni kabisa kutumia vibaya kodi zetu na nafasi zenu kuhujumu uchumi wa taifa.

Kama sasa hivi wakaibuka watu wakaanza kumfanyia Rungwe Kampeni kwenye Mikoa AMBAYO hajafika je Tume ya Uchaguzi itawazuia?Kama jibu ni ndio basi nafikir Pia ni Vyema Majaliwa kazuiwa.

Nawasilisha
.hoja fikirishi hii, naomba wajuvi wa sheria mtusaidie hapa
 
Unamzungumzia Majaliwa gani ? au Majaliwa Kassim Majaliwa wa CCM ? Vipi anawabamiza ?
 
Pamoja na Cheo chake cha Uwaziri Mkuu, Tabia na kitendo cha Majaliwa kuzunguka Peke yake na kufanya Mikutano ya hadhara ya kuomba KURA ni ukiukwaji wa Taratibu. Anapswa kurudishwa Ruangwa akamtafutie Magufuli Kura kweli.

Msafara wa Majaliwa unatumia Mafuta na Rasilimali za Serikali kwa ajili ya shughuli za kichama. Haya ni matumizi mabaya ya Kodi zetu tunazolipa kwa tabu nyingi. Niseme tu CCM pamoja na Majaliwa acheni kabisa kutumia vibaya kodi zetu na nafasi zenu kuhujumu uchumi wa taifa.

Kama sasa hivi wakaibuka watu wakaanza kumfanyia Rungwe Kampeni kwenye Mikoa AMBAYO hajafika je Tume ya Uchaguzi itawazuia?Kama jibu ni ndio basi nafikir Pia ni Vyema Majaliwa kazuiwa.

Nawasilisha
Ndio maana tunasema tume wamefeli sana, ilibidi waonyeshe ukali mwanzoni tu, kwa wote wanao kiuka. Sasa wakawa wanawaonea aibu ccm na lisu katumia mwanya Huo Huo na yeye kutibua,
 
wakuu tupeane na vifungu kabisa vya sheria vinavyokataa,ili tunapopiga spana huko kitaa tuwe na nondo kwenye pochi.
 
Pamoja na Cheo chake cha Uwaziri Mkuu, Tabia na kitendo cha Majaliwa kuzunguka Peke yake na kufanya Mikutano ya hadhara ya kuomba KURA ni ukiukwaji wa Taratibu. Anapswa kurudishwa Ruangwa akamtafutie Magufuli Kura kweli.

Msafara wa Majaliwa unatumia Mafuta na Rasilimali za Serikali kwa ajili ya shughuli za kichama. Haya ni matumizi mabaya ya Kodi zetu tunazolipa kwa tabu nyingi. Niseme tu CCM pamoja na Majaliwa acheni kabisa kutumia vibaya kodi zetu na nafasi zenu kuhujumu uchumi wa taifa.

Kama sasa hivi wakaibuka watu wakaanza kumfanyia Rungwe Kampeni kwenye Mikoa AMBAYO hajafika je Tume ya Uchaguzi itawazuia?Kama jibu ni ndio basi nafikir Pia ni Vyema Majaliwa kazuiwa.

Nawasilisha
Bahati mbaya Chadema haina figureheads wa kuweza kuzunguka na kumwombea kura mgombea wao. CCM itamtumia Mh. Majaliwa. Itamtumia Mzee Wassira na mwingine yeyote. Kanuni hazikatazi.
 
Mjomba kama huyo ataweza kumkemea nani?
Screenshot_2020-09-28-13-03-17-1.jpg
 
Pamoja na Cheo chake cha Uwaziri Mkuu, Tabia na kitendo cha Majaliwa kuzunguka Peke yake na kufanya Mikutano ya hadhara ya kuomba KURA ni ukiukwaji wa Taratibu. Anapswa kurudishwa Ruangwa akamtafutie Magufuli Kura kweli.

Msafara wa Majaliwa unatumia Mafuta na Rasilimali za Serikali kwa ajili ya shughuli za kichama. Haya ni matumizi mabaya ya Kodi zetu tunazolipa kwa tabu nyingi. Niseme tu CCM pamoja na Majaliwa acheni kabisa kutumia vibaya kodi zetu na nafasi zenu kuhujumu uchumi wa taifa.

Kama sasa hivi wakaibuka watu wakaanza kumfanyia Rungwe Kampeni kwenye Mikoa AMBAYO hajafika je Tume ya Uchaguzi itawazuia?Kama jibu ni ndio basi nafikir Pia ni Vyema Majaliwa kazuiwa.

Nawasilisha
Ni mjumbe wa kamati kuu anaruhusiwa kumpigia kampeni Rais Magufuli. Mnadanganywa na msaliti Lissu mnakubali kila kitu. Tumieni akili hata kidogo.
 
wakuu tupeane na vifungu kabisa vya sheria vinavyokataa,ili tunapopiga spana huko kitaa tuwe na nondo kwenye pochi.
Hakuna kifungu Msaliti Lissu anabwabwaja tu si unajua tena ubongo wake ulicheza na risasi.
 
This is what I see : since presidents who are ineligible to run again would lack any incentive to remain sensitive to constituents’ concerns, thus effectively as a country, Tanzania must return to the previous original constitutional framework that allowed presidents unlimited eligibility to seek reelection.
 
Hakuna kifungu Msaliti Lissu anabwabwaja tu si unajua tena ubongo wake ulicheza na risasi.
Wewe bado kujipigia hapa? Changamka dogo, unakwama wapi?
 
Attachments

  • KondaBoy.jpg
    KondaBoy.jpg
    15.6 KB · Views: 1
Back
Top Bottom