Uchaguzi 2020 Majaliwa anafanya Kampeni kwa kutumia ratiba ya nani? Kwa nafasi gani ya Kitaifa?

Uchaguzi 2020 Majaliwa anafanya Kampeni kwa kutumia ratiba ya nani? Kwa nafasi gani ya Kitaifa?

hapa ndipo natofautiana na lissu,kama swala ni spana beba yoyote.

habari za kujifanya unakagua vifungu vya sheria sasa hivi ni kupoteza muda.ana loose focus.

ccm ni watu wa vurumai,sio watu wa hoja nenda nao hivyo hivyo,ukijifanya wa hoja ni sawa na kupiga risasi maiti.

Mkuu acha kutudhihaki, sio wote. Wachache sana .
 
Tume ipo kimyaaaa!!! Kama haioni vile.
Majaliwa ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM wajumbe wa kamati kuu ya CCM wamesambazwa nchi nzima kufanyia kampeni CCM

Kwani Mbowe alikuwa akizunguka na Lisu kumfanyia kampeni Mbowe alimfanyia kampeni Lisu kama nani wakati yeye ni mgombea ubunge wa Hai ?
 
Muwe na adabu huko CCM, ukijipigia unakaa kimya tu. Kulikua na haja gani ya kupost picha? CCM mazuzu sana.

picha kapost master planner wa CHADEMA bwana kigogo.

na akaipa maneno ambayo alijua manyumbu hawatahoji.
 
Hukunijibu mimi,Ila nimemshangaa jibu ulilotoa juu ya hoja uliyoulizwa na jamaa hapo juu 🖕,haviendani kabisa.Napata wasiwasi juu ya uwezo wako wa kufikiri.
Lete hoja yako (KAMA IPO) ili nikujibu ipasavyo, yule mpumbavu amejibiwa kadiri ya upumbavu wake. Hata maandiko yanataka tufanye hivyo, wewe huna dini Mkuu?
 
Ni mjumbe wa kamati kuu anaruhusiwa kumpigia kampeni Rais Magufuli. Mnadanganywa na msaliti Lissu mnakubali kila kitu. Tumieni akili hata kidogo.
Kwahyo anapofika na kupandisha vituo vya afya hadhi n Kama Waziri au mnec?
 
Ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM wajumbe wa kamati kuu ya CCM wamesambazwa nchi nzima kufanyia kampeni CCM

Kwani Mbowe alikuwa akizunguka na Lisu kumfanyia kampeni Mbowe kama nani wakati yeye ni mgombea ubunge wa Hai ?

hapa mkuu umeamua kuwakwaza[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Lissu keshasema Waziri majaliwa anavunja taratibu za maadili ya Uchaguzi hivyo Tume wamuite waziri mkuu akajieleze mbele ya kamati ya maadili.
Kwavile kasema Lisu basi wewe ume meza lilivyo!

Huyo Lisu kakuwekea kifungu cha sheria iliyokiukwa?
 
Pamoja na Cheo chake cha Uwaziri Mkuu, Tabia na kitendo cha Majaliwa kuzunguka Peke yake na kufanya Mikutano ya hadhara ya kuomba KURA ni ukiukwaji wa Taratibu. Anapswa kurudishwa Ruangwa akamtafutie Magufuli Kura kweli.

Msafara wa Majaliwa unatumia Mafuta na Rasilimali za Serikali kwa ajili ya shughuli za kichama. Haya ni matumizi mabaya ya Kodi zetu tunazolipa kwa tabu nyingi. Niseme tu CCM pamoja na Majaliwa acheni kabisa kutumia vibaya kodi zetu na nafasi zenu kuhujumu uchumi wa taifa.

Kama sasa hivi wakaibuka watu wakaanza kumfanyia Rungwe Kampeni kwenye Mikoa AMBAYO hajafika je Tume ya Uchaguzi itawazuia?Kama jibu ni ndio basi nafikir Pia ni Vyema Majaliwa kazuiwa.

Nawasilisha
Nashauri asipokatiza ratiba zake second round baada ya tarehe 3/10 Zito,Mbowe,Membe na Msigwa.waingie kazini chi Nzima
 
Kwahyo anapofika na kupandisha vituo vya afya hadhi n Kama Waziri au mnec?
Unafikiri Uwazi Mkuu umekoma? Bado ni Waziri Mkuu mpaka siku Rais Magufuli atakapoapishwa tena mwezi Novemba 2020.
 
Dogo hata mama yako,kuna madogo wanamsolola namna hii.

sababu tu ni mwanamke na ni haki yake kupigwa.
ila hawaweki hadharani sababu haina maana.
Anamuonea wivu huyo mama anataman angekuwa yeye
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Umenikumbusha, miaka ya 89, nikiwa na miaka 21, niliwahi kumbandua mama mwenye umri wa Miaka 40-au zaidi (kwa makadirio), baada ya hapo nilikuwa nikiwaangalia watoto wake ambao ni jamaa zangu mtaani afu najiuliza "wakijua watanichukuliaje".
[SUP]Huyo jamaa uliyemquote si ajabu mama yake anaeza kuwa analiwa na vijana wadogo kuliko hata makonda,Ila hamwambii [emoji23][emoji23][emoji23][/SUP]
 
Umenikumbusha, miaka ya 89, nikiwa na miaka 21, niliwahi kumbandua mama mwenye umri wa Miaka 40-au zaidi (kwa makadirio), baada ya hapo nilikuwa nikiwaangalia watoto wake ambao ni jamaa zangu mtaani afu najiuliza "wakijua watanichukuliaje".
[SUP]Huyo jamaa uliyemquote si ajabu mama yake anaeza kuwa analiwa na vijana wadogo kuliko hata makonda,Ila hamwambii [emoji23][emoji23][emoji23][/SUP]
Mimi nmeelewa tofauti kwamba huenda huyu jamaa anamuonea wivu huyo mama.

Maana kwenye mada kama hii kisha analeta picha kama hiyo si bure
 
Back
Top Bottom