Uchaguzi 2020 Majaliwa anafanya Kampeni kwa kutumia ratiba ya nani? Kwa nafasi gani ya Kitaifa?


Mkuu acha kutudhihaki, sio wote. Wachache sana .
 
Tume ipo kimyaaaa!!! Kama haioni vile.
Majaliwa ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM wajumbe wa kamati kuu ya CCM wamesambazwa nchi nzima kufanyia kampeni CCM

Kwani Mbowe alikuwa akizunguka na Lisu kumfanyia kampeni Mbowe alimfanyia kampeni Lisu kama nani wakati yeye ni mgombea ubunge wa Hai ?
 
Muwe na adabu huko CCM, ukijipigia unakaa kimya tu. Kulikua na haja gani ya kupost picha? CCM mazuzu sana.

picha kapost master planner wa CHADEMA bwana kigogo.

na akaipa maneno ambayo alijua manyumbu hawatahoji.
 
Hukunijibu mimi,Ila nimemshangaa jibu ulilotoa juu ya hoja uliyoulizwa na jamaa hapo juu 🖕,haviendani kabisa.Napata wasiwasi juu ya uwezo wako wa kufikiri.
Lete hoja yako (KAMA IPO) ili nikujibu ipasavyo, yule mpumbavu amejibiwa kadiri ya upumbavu wake. Hata maandiko yanataka tufanye hivyo, wewe huna dini Mkuu?
 
Ni mjumbe wa kamati kuu anaruhusiwa kumpigia kampeni Rais Magufuli. Mnadanganywa na msaliti Lissu mnakubali kila kitu. Tumieni akili hata kidogo.
Kwahyo anapofika na kupandisha vituo vya afya hadhi n Kama Waziri au mnec?
 
Ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM wajumbe wa kamati kuu ya CCM wamesambazwa nchi nzima kufanyia kampeni CCM

Kwani Mbowe alikuwa akizunguka na Lisu kumfanyia kampeni Mbowe kama nani wakati yeye ni mgombea ubunge wa Hai ?

hapa mkuu umeamua kuwakwaza[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Rejea swali uliloliuliza, halafu uone kama sijakujibu accordingly

Na kitu kimoja cha kutambua, watu wanao kukupinga wakiwa hawapo mijadala itakosa utamu. Jaribu kuwaza wapinzani kwa wapinzani mnajibizana . . . . .
 
Lissu keshasema Waziri majaliwa anavunja taratibu za maadili ya Uchaguzi hivyo Tume wamuite waziri mkuu akajieleze mbele ya kamati ya maadili.
Kwavile kasema Lisu basi wewe ume meza lilivyo!

Huyo Lisu kakuwekea kifungu cha sheria iliyokiukwa?
 
Nashauri asipokatiza ratiba zake second round baada ya tarehe 3/10 Zito,Mbowe,Membe na Msigwa.waingie kazini chi Nzima
 
Kwahyo anapofika na kupandisha vituo vya afya hadhi n Kama Waziri au mnec?
Unafikiri Uwazi Mkuu umekoma? Bado ni Waziri Mkuu mpaka siku Rais Magufuli atakapoapishwa tena mwezi Novemba 2020.
 
Dogo hata mama yako,kuna madogo wanamsolola namna hii.

sababu tu ni mwanamke na ni haki yake kupigwa.
ila hawaweki hadharani sababu haina maana.
Anamuonea wivu huyo mama anataman angekuwa yeye
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mimi nmeelewa tofauti kwamba huenda huyu jamaa anamuonea wivu huyo mama.

Maana kwenye mada kama hii kisha analeta picha kama hiyo si bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…