Uchaguzi 2020 Majaliwa: Mchagueni Dkt. Magufuli kwasababu ana uwezo wa kusimamia kazi ipasavyo, si mlalamishi

*KIONGOZI TUTAKAEMCHAGUA AWE NA SIFA HIZI*

_*Aweze kuwasalimia watu wa dini zote kwa salamu zao.*_

_*Aweze kusema CCM Oyeee, CHADEMA oyeee, ACT-WAZALENDO Oyeee, Vyama vyote oyee, wasiokua na vyama oyeee.*_

_*Aweze kuonesha maendeleo aliyowaletea watanzania asiwe anaimba maendeleo.*_

_*Aweze kumtaja Mungu kila wakati sio anataja Wazungu tuu.*_

_*Ajivunia Uafrika wake.*_

_*Asituletee tamaduni za ajabu.*_

Nadhani mshamjua mwenye sifa hizi.

#Oktoba28
#AtashindaTu
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
 
Alishakuja kuiua familia yako au kukuteka wewe au unaongea tu??
Una ushahidi kuku wewe acha uzuz wako mjomba we kama serikali yake ingekuwa ya kuuwa leo ungekuwepo hapa nchini unakenua tu hapa jamii forum
 
Majaliwa tuna imani na Lissu, alianza kuwatetea wachimbaji wadogo wa dhahabu Nyamongo na aliwatoa magereni walikowekwa na serikali ya CCM.
Mmmh mbona sijawahi sikia hii kotu, ila nachojua tu anty li yeye ameahidi akiingia madarakani ataweka rehani madini yetu tuliyokuwa nayo,
Inaonyesha jinsi gani huyu mtu hana uchungu na nchi yake,
Tukatae viongozi wa namna hii

Tusidanganyike !Maendeleo ni Mchakato, yapo mengi aliyofanya Rais wetu na Tunajivunia kua na Rais Mazalendo na Mchapakazi kama #Magufuli ..Tunaendelea Nae...!KURA KWA MAGUFULI
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
 
Magufuli ni kiongozi shupavu. kura zote kwa Magufuli ✅
 
Majaliwa jamii ilikuwa ina mheshimu sn sijui alikuja naye kupotelea wapi
Unajua maana ya heshima wewe ?
Kama humuheshimu ni ww ambaye bado tathmini zako zipo chini sana aisee.
Bado Majaliwa anaheshimika na ataendelea kuheshimika mjomba hahahah
 
Bila shaka dada, Watanzania tumechagua Maendeleo, bado tunahitaji zaidi, na Magufuli ndie kiongozi wetu Tutamchagua Oktoba 28
 
Jiwe si mlalamishi?

Hahaha huyu mzee amekunywa nini mapema yote hii? naona zimemruka. Jiwe liendelee kupiga magoti tu kura halipati ng'o, tumechoka drama zake
Unaweza nipa record ya uchaguzi ambao hata siku moja mlishawai kushinda nankuongoza nchi hii mjomba hahahah.
Hata Baba wa Taifa alishasema tutaipeleka nchi pabaya kama tukiwakabizi hii nchi mnaweza jiuza mpaka wenyewe hahahaha
 
Majaliwa tuna imani na Lissu, alianza kuwatetea wachimbaji wadogo wa dhahabu Nyamongo na aliwatoa magerezani walikowekwa na serikali ya CCM.
Hivi wewe ni mchimbaji wa madini mgodi gani vile eeeh??? Hahahah acha kuchekesha watu bhna
 
Alishakuja kuiua familia yako au kukuteka wewe au unaongea tu??
Una ushahidi kuku wewe acha uzuz wako mjomba we kama serikali yake ingekuwa ya kuuwa leo ungekuwepo hapa nchini unakenua tu hapa jamii forum
Ingizo jipya !!. Huna hoja za kujibu , unaleta ujinga tu humu . Bora ukajifunze kujenga hoja
 
Unaweza nipa record ya uchaguzi ambao hata siku moja mlishawai kushinda nankuongoza nchi hii mjomba hahahah.
Hata Baba wa Taifa alishasema tutaipeleka nchi pabaya kama tukiwakabizi hii nchi mnaweza jiuza mpaka wenyewe hahahaha
Niambie Tanzania imefika wapi miaka 59 baada ya uhuru?
Huoni kutokuongoza nchi vyama vingine labda ndiyo tatizo? unataka mfano wa nchi ambazo zimeongozwa na vyama tofauti zilipofikia sasa hivi? nikutajie?
Na kama unataka tum-quote baba wa taifa kuna quote nyingi sana zinazoonyesha ujinga anaoufanya jiwe, baba huyohuyo wa taifa alisema utii ukizidi unageuka uoga, nadhani unajua fika sasa hivi watu wanavyomuogopa jiwe. Baba huyohuyo wa taifa aliongelea sana maendeleo ya watu kuliko vitu, sasa hata maendeleo ya vitu hakuna mi nashangaa mnakaa kusema ndege ndiyo maendeleo, kiflyover kimoja na daraja moja hahaha, em acheni ujinga. Hakuna kitu CCM imefanya zaidi ya kuua watu tu na kuiba kura kila uchaguzi, shenzi sana
 
Unaweza nipa record ya uchaguzi ambao hata siku moja mlishawai kushinda nankuongoza nchi hii mjomba hahahah.
Hata Baba wa Taifa alishasema tutaipeleka nchi pabaya kama tukiwakabizi hii nchi mnaweza jiuza mpaka wenyewe hahahaha
we niaje mbona unajichekelesha arfu mixa kujch--knoa na kunusa acha umbanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…