Lucy Joseph
Member
- Sep 20, 2020
- 47
- 31
*KIONGOZI TUTAKAEMCHAGUA AWE NA SIFA HIZI*1 Mkichagua wapinzani sitoleta maendeleo.
2 Mwanamke mweupe nitampa kipao mbele kuliko mwanamke mweusi.
3 Kwani serikali ndio ilioleta tetemeko? Hela iliochangwa kwa wahanga naijengea airport Chato.
Kiongozi anatakiwa awe mnyenyekevo na hana ubaguzi kwa raia wake Magu hatufai mbaguzi na mlafi wa hela za waathirika.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
_*Aweze kuwasalimia watu wa dini zote kwa salamu zao.*_
_*Aweze kusema CCM Oyeee, CHADEMA oyeee, ACT-WAZALENDO Oyeee, Vyama vyote oyee, wasiokua na vyama oyeee.*_
_*Aweze kuonesha maendeleo aliyowaletea watanzania asiwe anaimba maendeleo.*_
_*Aweze kumtaja Mungu kila wakati sio anataja Wazungu tuu.*_
_*Ajivunia Uafrika wake.*_
_*Asituletee tamaduni za ajabu.*_
Nadhani mshamjua mwenye sifa hizi.
#Oktoba28
#AtashindaTu
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli