Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
Wanabodi ,awali ya yote nawatakia Mfungo mwema wa Ramadan na Kwaresima inayoanza kesho.
Bado kama mtanzania naona kitendo Cha Mama kumpendekeza na kupitishwa kwa Dr Emanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza yaan running mate, ni salamu tosha alarming sign ya kuwa zama za "Mjomba" zinaenda ukingoni.
Logic inaeleza wazi hakuna namna Makamu wa Rais atoke kusini mwa Tanzania na Waziri Mkuu atoke kusini mwa Tanzania kwa wakati mmoja.
Kitendo Cha Mama kumwekea Waziri Mkuu naibu waziri mkuu ni ishara nyingine tosha kuhusu mustakabali wa PM wa sasa hatima yake kisiasa.
Wanadamu wameumbwa na soni aibu, waziri mkuu kama kweli atagombea atampa Mama wakati mgumu sana kuhusu kupendekeza jina la waziri mkuu ajaye,na ikiwa waziri Mkuu Bado ataendelea kushika tadi kugombea ubunge kama ambavyo alitangaza wakati wa Ruangwa Marathon mwaka Jana.
Kuna uwezekano mkubwa wa yeye kuwa Mbunge wa kawaida Bungeni,kuwa naibu waziri au waziri kamili,kitu ambacho hakipendezi kwa mtu aliyefikia rank ya juu ya Viongozi wa nchi yaani top three.
Natamani "mjomba" kwa nia njema na kutunza heshima yetu wanakusini ubadirishe gia angani kwa kutogombea Tena ubunge jimboni Ruangwa.
Natamani ufuate nyayo za Mzee Pinda, na makamu wa Rais Mh Daktari Philip Isdory Mpango.
Mpango wa mafao ya Viongozi wakuu wastaafu Bado ni mzuri Ina marupurupu ya kutosha,ni wakati wa kula hayo marupurupu na kupunzika.
Napoandika haya najua vizuri uchumgu wa kukaa nje ya siasa ili Hali una nguvu ya kutosha na kiu ya kufikia matamanio ya juu zaidi kama isemavyo Abrahm Maslow's theory, "Hierarchy of the need "kufikia self actualization.
Njiani kinakuwa na vipingamizi vingi, nakuomba sana Mjomba usome mchezo,zama zimebadilika, mazingira ya sasa hayakuruhusu kuendelea kuwepo ulipo au kupanda zaidi, labda kwa kudura ya mwenyezi Mungu.
"Mjomba" ushauri sio shurti una haki ya kukataa kuupokea,.
Nandagala One -Mpumalanga South Africa.🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿