Pre GE2025 Majaliwa Mpe Mama Nafasi ya kupumua, ajiteulie Mwingine kuwa Waziri Mkuu baada ya uchaguzi mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Rais ndiye anayeteua Waziri Mkuu. Acheni kuremba.
 
Siyo lazima Majaliwa ateuliwe kuwa PM. Rais anayo mamlaka ya kumteua mtu yeyote amtakaye kuwa Waziri Mkuu. Kama rais anakosa huo uthubutu basi yeye ndiye dhaifu.
 
Hamna kampeni ya andiko la mwezi,
Sina nguvu wala uwezo wa kumlazimisha waziri Mkuu, mimi sio kampeni meneja wa Nampenya, wala Sina nia na jimbo, nachofanya ni kutia ushauri wangu kwake, kama political analyst,kulingana na political situation ndani ya chama, PM nafasi yake ni finyu mno.

Ana haki ya kupokea ushauri wangu ana haki pia ya kuukataa ushauri wangu.

Mna macho hamtami kuona.,mna masikio hamtaki kusikia.πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸš΄πŸš΄πŸš΄
 
Siyo lazima Majaliwa ateuliwe kuwa PM. Rais anayo mamlaka ya kumteua mtu yeyote amtakaye kuwa Waziri Mkuu. Kama rais anakosa huo uthubutu basi yeye ndiye dhaifu.
Ni kweli kabisa ndiyo maana nashauri busara itumike kwa kutogombea tena ubunge
 
Mungu si Athumani.
 
Majaliwa ashakaa awamu mbili akiwa kama PM hivyo hata asiporudi ni kawaida tu maana ma PM huwa wanakaa miaka kumi na wengine hawakubahatika kaa hata 5
Upo sahihi ndiyo maana nashauri asigombee ubunge tena!!
 
Nadhani tumshauri Mama amfikirie hata kumpa Ubarozi! Kassimu ni mwadilifu na ana msimamo! Sina hakika kama ana makandokando ya Ufisadi.
 
Ameshakuwa Waziri Mkuu kwa miaka 10. Nilishangaa sana kusikia bado anautaka Ubunge. Je anataka aendelee kuwa Waziri Mkuu kwa miaka 15? Atakuwa Waziri Mkuu wa kwanza kuhudumu miaka hiyo.Ni Waziri Mkuu mmoja tu aliyewahi kuhudumu miaka 10. Busara kuwaachia wengine

Au anataka awe Mbunge au Waziri wa Kawaida, ni kujishushia hadhi

Kwa yote mawili inaweza kuja tafsiri ya kuwa anatamaa na madaraka.
 
Aksante sana, kwa majibu kuntu yanayosawiri Uzi wangu!!

Huo ndio ukweli na utata, agombee awe mbunge na Waziri wa kawaida?? Haiwezekani upm wa miaka 15,

Tumaini pekee lilikuwa labda kuteuliwa kuwa running mate lakini sio uwaziri mkuu tena!!

Running mate Dr Biashara imeisha tayari.πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ˜…πŸ˜…πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…