GE2025 Majaliwa: Rais Samia ana nia thabiti kwa Watanzania

GE2025 Majaliwa: Rais Samia ana nia thabiti kwa Watanzania

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Watanzania wanayo sababu ya kumchagua Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu kwakuwa nia yake ni thabiti kwa Watanzania.

 
Labda anamaanisha kwa wazanzibar wenzake, bara sa100 katulostisha sana!.
 
Huyu Majaliwa hana namna. Kama imewezekana kupigwa pini kugombea ubunge, atatuambia nini??
 
Back
Top Bottom