Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 3,141 Reaction score 7,205 Sep 24, 2025 #1 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Watanzania wanayo sababu ya kumchagua Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu kwakuwa nia yake ni thabiti kwa Watanzania. Your browser is not able to display this video.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Watanzania wanayo sababu ya kumchagua Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu kwakuwa nia yake ni thabiti kwa Watanzania. Your browser is not able to display this video.
G goodluck5 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 9,103 Reaction score 15,613 Sep 24, 2025 #2 Labda anamaanisha kwa wazanzibar wenzake, bara sa100 katulostisha sana!.
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 27,705 Reaction score 65,343 Sep 24, 2025 #3 Huyu Majaliwa hana namna. Kama imewezekana kupigwa pini kugombea ubunge, atatuambia nini??