Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

Kapicha basi japo ka Jambazi kamoja tu? hivi Kibiti ni Majambazi au Magaidi? maana Sijasikia wakiiba hao wauaji wa Kibiti!
 
Majibizano hayo hakuna Polisi aliyejeruhiwa duh! pengine hao Jamaa walijificha na Njaa ikawaumbua wakajitokeza kizembe na kichovu
 
Kwahyo bado ngap ili polisi wasawazishe iwe droo...maana kuna msemaji wa polisi mmoja alikuwa analeta utani...btw gud move
 
Kama Majambazi Watupa Risasi Polisi Watawakamataje?
 
sijui kilichotokea, ila kama wewe ni raia mwema kwanini urushiane risasi na polisi?

mwananchi SMG unamiliki ya nini?
 
Jamani mi mwenzenu saivi bila kithibiti chochote siamini maneno ya Siro maana na yeye Ni mwasaniasa kama CCM wengine tu. Naomba niondoleeni huu mkanganyiko wa mawazo!!!!!!Naombeni picha zao maana ndo utamaduni wenu.
 
Ina maana majambazi yalikua na bunduki za kufyatulia gas cannisters

Maigizo maigizo
Haa haaa aaa ,nimecheka sana.Sirro na Kova kwa kick hawana tofauti!
 
Siku hizi hatuwafikishi watumwa mahakamani?
 
Safi sana IGP Siro, hayo majitu yamesha kengeuka sio binadamu wa kawaida na hawatakiwi kuishi kwenye jamii.

Mwendo huohuo, yakikutwa hakuna kupoteza muda ni kuyanyanga'nya silaha haraka haraka kabla hayajasababisha madhara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kila siku wanauwawa tu,maiti ziko wapi basi hata majina yao.Kwanini hawakuachwa basi ili wafikishwe mahakamani.Kila wakati wote wameuwawa.Siro napata mashaka na taarifa hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…