Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

Naona ni comedy tu hapo, majibizano makali ya kurushiana silaha,ina maana hakuna hata Polisi aliyeheruhiwa?

Haihitaji hasira wala akili nyingi au elimu ya chuo kikuu kubaini hii comedy.

Napita tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu

ktk picha zote hizo sijaona damu au wala maganda ya risasi yaliyotumika.... pia hata viashiria vya hao majambazi kuishi porini hamna... huu ni usanii...
 
Majina bandia hayo tuwekeeni sura zao tutawajua kwa urahisi.Wameyatimba na kongole sana jeshi la polisi
 
Back
Top Bottom